Hivi utaratibu wa kupima ngoma unakuwaje?
Tunaambiwa kabla hatujaoooa inabidi kupima sasa protokali inasemaje?
hospitali zipi poa
na je utaratibu wa kuchakachua (kama sababu zipo) ukoje?
Habari za mchana wana jamvi.
Hebu sikilizeni kisa hiki, huwa nina ki-grocery changu, sasa hapa huwa nina mashoga zangu kibao, kila mtu anakuja na la kwakwe kuhusu kutendwa, mengine naona ya...
Jaman naombeni msaada wanaJf.
Nina msichana ambaye nimempenda sana, ni muda kitambo nimekuwa nikiwasiliana naye kama rafiki yangu! Kiukweli huwa tunachat naye sana, hana kinyongo kabisa! Kuna...
Mdomo ni kwa ajili ya kulia chakula,pia unasaidia kutoa na kuigiza hewa,sasa pale unapotumika kwenye maadalizi ya kuamsha hisia inakwaje?mfano kuswaki na uchimbaji madini.
Ina maana viungo...
GB ya mwanaume ni kubwa kuliko GB ya mwanamke. Sasa basi katika mahusiano, mwanaume hutafuta kitu kimoja tu kutoka kwa wanawake wooooote wakati mwanamke hutafuta vitu viiiiingiii toka kwa mwanaume...
Mimi ni mwanaume wa miaka 26,nimekuwa kwenye uchumba kwa muda wa mwaka sasa.Niliamua kumpenda huyu bibie pamoja na kuwahi kuumizwa na bwana mwingine kiasi cha kumharibia maisha hilo...
Habarini wana JF, Tar.17.05.2002 Nilifiwa na mchumba wangu kipenzi. Toka wakati huo mpaka kufikia 05/06/2011 Nimekuwa mwoga wa kwenda kucheki Afya. Mwaka jana nilikimbia majibu yangu pale kituo...
Yaana kinachonishangaza, kila unayeongea naye, anasema mwaka wa tatu usiishe kabla cjapata mke/mme, sasa nashindwa kuelewa hv huko mtaan hamna wachumba, au ndio vyuoni kumegeuka kuwa INDUSTRY 4...
Hi wana jamvi, mi mwenzenu nina tatizo kidogo naombeni mchango wenu wa mawazo.
Ni binti, mtoto wa marehem shangazi tumeishi naye toka mdogo tulipendana sana na hatukuwai kumbagua. ivi...
Mwenzenu nilitamani, gari kulisafiria
Laonyesha la thamani, kwa nje na ndani pia
Kiumbo li wastani, mfano wa gari KIA
Gari hili gari gani, najuta kulipandia
Gari hili lavutia, kwa hilo...
In addition to its ability to cheer you up in times of need, porn has some useful lessons to impart to its viewers. On the other hand, some of these are hideous faux pas that every man should...
"Love in the heart was not meant there to stay. Love is not love till you give it away". For love to be ever lasting and eternal every one should be aware of the different stages of love and know...
Jamani tangu nikiwa mtoto naogopa sana kula pilipili.
Wiki iliyopita nimepata mdada na kuanzia jana hadi leo niko nae uchi tukidunguana bila mpira.
Dada huyu ananiambia niweke pilipili mdomoni...
Utafiti uliofanyika mwaka jana unaonyesha kuwa asilimia 54 ya wanawake wa Tanzania wanaamini kuwa mume anayo haki ya kumpiga mkewe. Asilimia 38 tuu ya wanaume wanaamini hivyo. Uhalali wa mume...
Kanga zina mambo mengi, zina mengi hizo kanga,
Kanga zinaficha vingi, vinavyofichwa na kanga,
Kanga zina siri nyingi, zina siri hizo kanga,
Kanga unapoachiwa, ana penzi mwenye kanga!
Kanga...
wapendwa wanablog, naomba msaada wenu,
Kuna shost yangu kakutwa na jambo hili wadau mnashaurije?
Huyu shost wangu alikuwa na jamaa yake, but with time, penzi lao likawa linayoyoma. Jamaa yake...