Im not asking "when" to say it as i think the question is "when you mean it'' i dont want to throw an awkward wrench into things by saying to early or freakin her out unneccessary !is a...
Ndugu wana jamii kuna dada ameniomba ushauri kutaka kujua hasa ni kwa nini mumewe anapenda kuangalia picha za ngono. Anauliza au ni tabia za wanaume wengi au mumewe ana kitu gani?
Anasema hivi...
Wasalaaaam,
Jaman mimi nimenasa demu katulia ile mbaya, nimependa sana anakazi yake fresh namimi ninakazi yangu fresh! Huwa nachati naye sana yaani sana! Katika maongezi yetu yeye hataki kabisa...
Wana jf, kuna msichana ambaye nimekuwa naye toka 2008, mazingira yalitukutanisha wakati huo nikiwa na maumivu ya kuachwa. Niliamua kuwa naye nikiamini pengine moyo wangu uliovunjika utabadilika na...
Nilishangaa baada ya kusikia makelele usiku wa jana nilipokua narudi nyumbani kutoka kwenye pilika za kutafuta mkate wa kila siku,kelele zile zilikua baina ya jamaa mmoja na dada mmoja wakabishana...
Tunaishi na Msichana wa kazi karibu miaka 2 sasa, Mwezi huu my wife wangu alifiwa na shangazi, hivyo tukaenda kwenye msiba kwao. Ambako ndio anakotoka binti yetu. Nikamwambia Wife ni muhimu twende...
Nawasalimu tena kwa mara ya pili wakubwa shikamooni wadogo habari zenu.
Wakubwa naombeni msaada wenu wa mawazo,kuna mdada rafiki yangu na jirani yangu pia mumewe yuko nje ya nchi mie sikujua...
asalaam aleykum wanajamvi, kuna jambo huwa linanitatiza saaana kuhusu ndoa nyingi (si zote) za kitanzania.
Hivi kuenda na mke wako kwenye sherehe na kukaa nae ni kinyume cha maadili yetu...
Kwenye vijiji vyetu na baadhi ya makabila wamekuwa wakibishana ubora wa hii kitu,hasa wanawake,wengine wanasema bora ibaki kama ilivyoumbwa wengine wanasema bora imenywe,je ni wa JF mnasemaje????
Wana JF salam? Ni wangapi tuna amini kwenye MONOGAMY relationship? according to Oxford dictionary "the practice of being married to or having a sexual relationship with only one person at at...
Habari zenu wote wapendwa...........................
Rafiki wa dada yangu amekuwa akilalamika hivi majuzi kuwa mume wake,
amekosa uungwana/upendo na uvumilivu. Huyu dada pamoja na kuwa anaishi...
Simple woman aged from 20-25,
Education Level: atleast 4m 4 or 6.
Religion; CHRISTIAN
TRIBE: SUKUMA
COLOR: Simple white o black beauty
see me on francismabina@yahoo.com
Wakuu hapa nawapa 100% watu wa Bukoba...hii kitu katerero si mchezo, mtu hutelezwa mpaka tope zinaishiwa maji.....mikoa mingine hebu na nyie mna katerero ya aina gani? ielezea tuone kama...
Sijui kama ni swali la kizushi au uchokozi: Wote mlikuwa na njaa, mkaenda jikoni na mkapika kwa kushirikiana vilivyo na mkakipenda chakula. Mkakaa chini mkala kwa furaha zote na kuteremshia na...
Hi! Mamboz..." naishi ktk nyumba ya kupanga, kuna jirani yangu anaishi na mke wake chumba kinachofuata, kosa ni cku wanapofanya mapenzi yani majirani wote hata usingizi hatupati ni kilio cha utamu...
Kwa wale wote ambao mkiachwa au mkitaka kuacha lazima mtumie matusi na kejeli kibao, kuharibiana vitu au kupigana, kutukaniana wazazi na kuharibia mitaani au kazini.
Jifunzeni ustaarabu, dunia...