Wana JF na hasa wapenzi wa jukwaa la MMU.Kila binadamu huwa anajisikia vibaya anapomkosea mwenzake. achilia mbali inapokuwa ni kulipa kisasi. Kwa wapenzi wengi iwe ni uhusiano wa ndoa au gf na bf...
ZAIDI ya nusu ya wanawake walioulizwa wameonyesha kutoridhishwa na tabia ya wapenzi wao kupuuzia umuhimu wa kuchezeana kimwili kabla ya kufanya-sex. Hii ni kwa mujibu wa dondoo za utafiti...
Kwenu wana Jf
Yawezekana babako ni kama wangu aliekomaa kuttotoa urithi mpaka siku ya matanga..kumekuwa na watu wengi wakilalama kuhusu kwa nini wazazi wao awaapi urithi..nimekuwa nikitafakari...
...za wikiendi wanajamii?
Haya, leo nitashare nanyi video hizi mbili,...angalia kwa makini;
...Can you relate the two? hapana?
Domestic Violence against men should be reported jamani,
sio...
Dears I hope you had a very nice week after election stresses I want to dedicate this to you all. Its just a way of saying that I AM FALLING FOR YOU guys........All of YOU ........ very special...
Huwezi amini kuwa katika tafiti zilizofanywa inaonyesha 99% ya wanawake do fake orgasm. Katika pita pita yangu nimekutana na nukuu hii:"I'd really like to try to have an orgasm tonight.""What do...
rEMEMBER THESE 5 things uwe happy....1.free ur heart from hatred2.free ur mind from worries3.live simply4.give more5.expect less are u disappointed?dnt let tears drop from ur eyes...u knw y?bcoz...
Verbal abuse (matusi),
Physical abuse (kimwili),
Sexual abuse(unyanyasaji wa ki jinsia,)
(Neglect)kutelekezwa)
Hate (chuki)
Ni vitu ambavyo viko sana kwenye jamii yetu
ni vitu ambavyo...
Thread ya Afrodenzi Abuse.. (Dhuruma) ilinigusa sana. Mwanzoni wakati ninaanza kuisoma haikunigusa sana lakini baadae niliposoma comments nyingi za wana jf ilinisisimua.
Nilikumbuka wakati...
Ni fursa kwa wakina dada na wakina mama, uwanja wenu
Personally (sijui kama wapo na wengine) ningependa kufahamu ni aina gani ya mazungumzo (Neno au theme yenyewe) ambayo mara nyingi (kama sio...
Juzi kati nilijikuta napatanisha ugomvi fulani wa mtu na demu (sijui mchumba?) wake. Case ilikuwa mwanaume analalamika kuwa kila ikishafika usiku wa saa nne(hawaishi pamoja), sim ya demu inakuwa...
Wanaume/mwanaume awe kapera au ameoa akijisikia kutoka nje ya nyumba kupata huduma kama ya mkewe au gf huwa anaenda tu na kununua kirahisi tu tena anachagua anayemhitaji...
If a man wants you, nothing can keep him away.
If he doesn't want you, nothing can make him stay.
Stop making excuses for a man and his behaviour.
Allow your intuition (or spirit) to save...
Huwa nashawishika kusema wanawake wa JF huko mnakoishi ni mabingwa kwani maskil mnayopata humu yanawasaidia ku run life kwani uhisi hamuwezi kudanganywa na mtu yeyote yule kuhusu swala la...
Former California Gov. Arnold Schwarzenegger and his wife of 25 years, Maria Shriver, announced Monday that they are separating. The statement, issued by a spokesman for Schwarzenegger, said the...
Kama kuna kitu cha kukwambia tukiendele kuazimisha sikukukuu ya wamama dunian ni kama una mke anakunywa pombe mbaya kwa kweli imekula kwako......najua unaweza ongea mengi lakini nawaasa kabisa...
Yes ladies.. Try it.. Nayapenda sana macho yangu the day nikipata chakula cha uzima asubuhi.. Guys try to your partners the problem is baada ya hapo mnatawanyika mnaelekea kwenye majukumu lol...
Katika repoti zinazoendelea kutoka kumuhusu Osama, moja inasema hivi "YAGUNDULIKA OSAMA ALIKUWA ANATUMIA VIAGRA KUIMARISHA UHUSIANO NA WAKE ZAKE".
Suali nililonalo juu ya hili, uhusiano unaweza...
Naweza nikaeleweka vibaya lkn sio nia yangu bandugu, swali langu ni kuhusu maneno haya mawili, mwanamke na mwanaume, hivi uke na ume uko wapi? Sura ndo hutambulisha vyote hivyo au Maumbile...