Kama wengi tunavyojua mafanikio ya baadhi ya wanaume hua yanategemea wanawake walio nao.Siwezi kusema wengi kwasababu wapo wengi wanaofikia kiwango kikubwa cha mafanikio bila wanawake...tho...
Kwa hadhi na taadhima,kwangu wewe malaika,
Nilipopatwa hujuma,moyo wangu sisimka,
Ya kwanza yetu miama,yako sikuwa hulka,
kwako yangu ni hifadhi, ya milele si ya muda,
Nilikuwa mkimbizi...
Napenda kuchukua fursa hii kujisifu,kwa sababu huu ni mwaka wa 11 ndani ya ndoa bila kutoka nje ya ndoa yaani kuwa na mahusiyano na mwanamke mwingine nje ya ndoa yangu,je ni wanaume wangapi...
Nina girlfriend wangu ambaye amekuwa ni mchumba wangu ila huenda kuanzia sasa uchumba umeisha baada ya kugundua kuwa nimemdanganya.
Nilipokuwa chuo nilizaa na wanawake wawili tofauti si unajua...
Ni msomi mwenye shahada ya sheria. Anakunywa mpaka anapoteza ufahamu.
Anajikojolea popote na hachagui neno. Wazazi wake wamechoka, wameongea sana na wamepiga sana.
Je tumsaidieje mtu huyu?
Today before you say an unkind word -
Think of someone who can ' t speak.
Before you complain about the taste of your food -
Think of someone who has nothing to eat.
Before you complain...
What come first in ur mind utaniuliza SOURCE...!!
Go n search, do simple study ya wanandoa uwajuao, hudhuria semina mbalimbali za HIV/AIDS, etc, so up to 79% ya wana ndoa either both or one of...
mambo JF...
Nimesikia tu sina uhakika na hili,kuwa moja ya sababu zinazofanya watoto kuwa bullied mashuleni ni kutokana na kuwa na facial features ama maumbile yaliyo tofauti kidogo,kwa mfano...
Leo, mida fulani hivi nasikiliza wimbo wa Mzee Cosmass Chidumule, "Neema"
Kutoka kwenye huo wimbo napata tafakuri fulani juu ya alichokuwa anakilalamikia mwimbaji, mtoto Neema.
Binafsi nimekuwa...
You met an incredible woman, and you really hit it off at the beginning. But the more time you spent with her, the less interested she became...but the MORE interested you became.You could feel...
...kumradhi kwa wataokwazika. Binafsi sijajua/sijalipata neno sahihi
la kiswahili lenye maana ya pushy parents.
Hivi, Unapomlazimisha mwanao mafanikio uyatakayo wewe mzazi, ni sahihi...
Vuta picha unatoka kwenye chumba cha guest ulikuwa unado na dem mwingine,kufika mlangoni unapigwa na butwaa mimacho inakutoka kidogo idondoke chini unapomcheki dem wako nae anatoka kudo na njemba...
Wapendwa wana JF, mie ni mgeni na hii ni post yangu ya kwanza. Naomba msaada wenu wa mawazo ili ni-epuke hii adha ninayoipata.
Ni hivi wapendwa: Nilikuwa na girl friend wangu toka 2007 but...
Dhahiri naweza kuwa sahihi kuamini kuwa siku hizi hakuna mapenzi ya kweli na ya dhati. Pesa huamua mahusiano ya wapenzi. Vipi kuhusu Elimu? je kuna umuhimu wa kuzingatia kigezo cha elimu kwa...
NAHISI DUNIA IMENIGEUKA,
muda wangu wote,juhudi zangu zote,ndoto zangu zote,
maisha yangu yote naona kama ndiyo yamefikia mwisho.
Nilifanya mtihani wa kidato cha sita kama private candidates...
jamani mimi leo nataka kuuliza kuhusu haya mambo ..
maana yanakua kwa wingi sana
ni kweli si kila mwanamke amejaliwa kupata mtoto wake mwenyewe
utakuta mtu na mumewe wanaishi pamoja lakini...
Habari zenu mabibi na mabwana,
Kwa kuokoa muda na bila kupoteza wakati, niende moja kwa moja kwenye swali. Eti kudeka ama kudekezwa ndo kukoje jamani?
Mara nyingi nimesikia, iwe kwa inda au nia...