Dear WanajamiiForum
Ningependa nichukue nafasi hii kuwatakia Happy Easter 2011 na Happy Muungano Day......... Tuendelee kushauriana, kusaidiana na kupendana........Its all about Mapendo Mapenzi na...
Leo nimekutana na boyfrendi wangu wa zamani. Tuliachana tukiwa form six mwaka 98. Nilipopeana nae mkono kwa ajili ya kumsalimia nikajikuta kama nimepigwa shoti ya umeme. Nikayakumbuka mapenzi yetu...
Mdogo wangu anahangaika, anataka kuoa. Ana mabinti wawili hawajuani, ila mie nawajua wote. Mmoja ni mlevi kupindukia na mwingine ana bwana pembeni (kaka yangu hajui hili). Je kati ya hawa yupi...
helows, naombeni ushauri wenu, mimi nina bf ambaye soon atakuwa mume wangu lakini tatizo ni kwamba kila tukikutana faragha kufanya tendo la ndoa akichomoa tu lazima ntokwe na damu ukeni sijui...
10th Grade:-
As I sat there in English class,
I stared at the girl next to me.
She was my so called 'best friend'.
I stared at her long, silky hair,
and wished she was mine.
But she didn't...
From the very beginning, the
girl's family objected strongly
on her dating this guy. Saying
that it has got to do with
family background & that the
girl will have to suffer for the rest of...
Nilimpenda kwa mara ya kwanza akanipenda. Nilikuwa mwaminifu kwake na kimsingi tulipendana sana. Ni miaka 11 hatujaonana. Tulitengana baada ya masomo yetu, barua na picha alizonitumia baada baada...
Ilikuwa ni juzi tu mida ya asubuhi wakati nikiwa niko bize na kazi za hapa na pale huku nikiwa nimefungulia station ya radio ilikuwa inazungumzia mada inayohoji ivi:
Je ni sawa kwa wanawake...
Habar zenyu wanathnker. Ma2main yangu wate wazma na 2po kwenye mchakato ya maandaliz ya pasaka mungu awatakulie wote na 2sherekee kesho salama. 2kiacha hlo nimekutana maongez kwenye upata maj ya...
Juzi kuna kapindi kilinisikitisha kweli!Kuna baba ambae ana tatizo la figo..zimefail kabisa kwahiyo anategemea mashine kuishi!Huyo mzee ana dada na kaka zaidi ya watatu na hamna hata mmoja...
I wish I could promise you that we will always be together..Or what we have will last forever!All I can promise you is to always have your back..Be your light whenever it gets dark!Make you the...
Nimepokea taarifa sasa hivi kuwa Member mwenzetu (Bishanga) amefiwa na Baba yake Mzazi.
Napenda kutoa pole za dhati kabisa kwa Familia nzima ya Bishanga.
Mungu ailaze mahala pema peponi roho ya...
Napenda kuudedicate wimbo huu kwa wanaJF wote mtakaotoka out na wapenzi wenu wapya leo Easter2011.
Verse 1
SAJINA :
Umechagua adhabu ya kujiua,
Iweje sumu umezee maziwa,
Si ndoto alinacha...
kwakeli nashindwa kujua kuwa ni nini hasa ambacho wanawake wanataka katika maisha hasa walio katika ndoa! nimelazimika kuongea hivi baada ya kugundua uchafu unaofanywa na rafiki yangu wa kiume...
There was a blind girl who hated herself just because she's blind. She hated everyone, except her loving fiance. He is always there for her. Blind girl said that if she could only see the world...
hello wakuu,its ma hope everyone is ok. Am gonna go straight to the topic. Sometimes it happens that you can no longer feel passion/love to your lover. So how can you put an end to the...