habar zenu wakuu? Hope ijumaa kuu imekaa fresh na kdogo wale wakristo leo tumegeuka marastafarai kwakuipotezea nyama espeshali mbuzi katoliki. Swali lang je,kwa wale wana ndoa ni vyema kweli...
Wanajamii naomba ushauri namna ya kumsahau mtu niliyempenda sana then akanisaliti, i have try many things still i remember her, we were in 5 years rlshp suddenly everything got to an end its a...
Wanajamii naomba ushauri namna ya kumsahau mtu niliyempenda sana then akanisaliti, i have try many things still i remember her, we were in 5 years rlshp suddenly everything got to an end its a...
kuna dem wa rafiki yangu ambaye 2likuwa 2kiishi rum moja 2lipokuwa high xcul now amekuwa akinipigia cm ucku na kunitaka kimapenzi huku akijua kabisa mm na boyfrnd wake ni marafiki wakubwa na...
Wanajamii, hivi inakuwaje pale unapokuta mtu kaoa au kaolewa, lakini bado anamng'ang'ania mpenzi wake wa zamani kabla hajaingia katika ndoa? Je hii ni afya kweli katika mapenzi? Kwanini usiridhike...
Maji yananukia harufu tamu haina mfano, anaanza kwa kukalishwa kwa namna ambayo sehemu za kati zinatulia kwenye kisos, zinaanza kukandwa taratibu na maji ya nazi yenye machicha yake, kisha...
Hili si story, tunawaambia kaeni Uswazi ujue maisha!!! Ni true story kwa jirani yangu hapa ninapoishi!!
Shemeji wa kike, mdogo wa mke kaenda kumwambia rafikiye huko mtaani kuwa;
`Shem...
oyaaa mazeee na mchumba wangu ila sijui kama nampenda b'se nikikaa huwa some times namuona waukweli tena nikikaa some times namuuona wakiuwongo kama nime ingia choo cha kike vile nifanyeje sasa...
"
IF I COULD GET,
ANOTHER CHANCE,
ANOTHER WALK,
ANOTHER DANCE WITH HIM
I'd PLAY A SONG,
THAT WILL NEVER EVER...
HOW I'd LOVE LOVE TO DANCE WITH MY FATHER AGAIN.."
Thats Luther Vandros,2003...
salama wakuu? Naomba tushee experience. Mara ya kwanza kutongoza/kutongozwa na k2 kikakubali ilikuaje? Aisee nakumbuka mimi nilikua darasa la 7,mtoto alinisumbua lakini nikaja kumuweza baada ya...
Salamuni wandugu!
Swali la "kama ni sawa watu kuishi pamoja bila au kabla ya kuoana" lilishaulizwa hapa jamvini zaidi ya mara moja.Kama maswala mengine tunayojadili hapa wapo waliopinga...
It still feels like our first night together Feels like the first kiss and It's gettin' better baby No one can better this I'm still hold on and you're still the one The first time our eyes met...
Maisha yanaendelea kama tunavyojua dar yetu tena, kamvua kananyesha mdogo mdogo kipindi hiki,
trii triii..... napokea simu, mshkaji wangu ananiambia kuna dili posta so niwahi mda huo mapema tu...
-Mwanamke anaruhusiwa kumpa mme wake talaka kama atagundua kuwa viungo vya mwanaume havifanyi kazi na kama hawatafanya mapenzi kwa mda wa miezi sita.
-Mwanamke anaruhusiwa kumpa mme wake talaka...
unakuta mtu unaempeda sana na unamtegemea katika maisha yako awe mkeo,alafu unasikia kafunga pingu za maisha na rafiki yako wa karibu sana. utafanya nini na unakuta alikupromic kua mtaoana?
Wanakwetu habari zaidi. Ni mara ya kwanza kuwepo jukwaa hili baada ya muda mrefu wa kuwa observer tu bila kuchangia.
Jamaa yangu wa karibu kaja na lake jambo. Amekuta mkewe ana urafiki kwenye...
Hebu niwaulize wana JF. Wewe ukiona wako wa zamani (ex) anatoka na mtu mwingine eti utajali? Kuna jamaa mmoja kwa kweli simwelewi. Sielewi kabisa mantiki yake na jinsi mchakato wake wa kufikiri...
wapendwa, nimekua nikisoma sana post na coments zenu za humu JF, lakini sijawahi waza kupost Topic au coment kwa sababu ninazozijua...ila leo imenibidi niwashirikishe hili...
Jamani nina...
Habari za weekend waheshimiwa? Ni hivi nina shemeji yangu (mdogo wa kiume)kwa my wife wangu ambaye c rizki watu wanamuhemea mgongoni/gay ambaye anataka kuja kunitembelea ckukuu ya pasaka,binafsi...