Wakuu,kama una mpenzi,anaesoma saintaugustine,malimbe CAMPUS mwanza,kuwa makini,kuna kahosteli kamoja karibu na barabara ya kwenda chuoni,wadada wanaoishi hapo ni baraa tupu,they are just...
niaje ndugu zangu? Hope kila mtu yupo safi. Ebana kuna rafiki yang mmoja anaface tatizo ambalo nimeona niliwasilishe hapa Jf kwa ushauri. Unajua issue ikoje? Huyu rafiki yang amefall in luv kwa...
Kwanza samahani kwa kuweka mada hii hapa, lakini kule kwa Dini hadi upate ufunguo toka kwa MOD na Chit-chat sio mahali pake. All said:
Ninawatakieni Wakristo wote Jumapili ya Matawi takatifu...
Kunguru wanalalamikiwa sana kwa kunyakua vitu ovyo. Lakini linapokuja swala la nguo wananyakua mno nguo za ndani za kike hasa chup*. Sasa wadau nielimisheni kuna uhusiano gani kati ya kunguru na...
Mchawi kakamatwa lakini nikiangalia mbele yake naona miguu ya wamama tu,wanaangalia nini hapo? halafu ni usiku ina maana wote wapo lonely(picha kwa hisani ya kakakiiza)
Wana JF,
Hii ni maalum kwa wanaume wanaosafiri nje ya nchi yetu ama kikazi au kimasomo hasa safari za muda mfupi (mwezi na chini ya hapo). Kuna tukio limetokea usiku wa kuamkia leo. Samahani...
Long-distance dating: In love, will travel
By A. Pawlowski, CNN
April 15, 2011 12:27 p.m. EDT
Chandra Thomas and Joe Whitfield, who are engaged but live in different cities, vacation...
Habari zenu wana Jf,
nimepata kisa cha kusikitisha muda si mrefu na nimeamua nikiweke hapa jamvini kinaweza kutusaidia katika kufanya maamuzi yakikukuta.
Kuna mkaka namfahamu yeye ni mume wa...
What your heart and brain are doing when you're in love
By Elizabeth Landau, CNN
February 12, 2010 2:16 p.m. EST
The hormones oxytocin and vasopressin make you feel deeply attached to someone...
MSICHANA Jacklin [24] mkazi wa Kinondoni jijini Dar es Salaam amejitokeza na kutoa ushuhuda mbele ya wanawake kwa kujisifia kuvunja ndoa ya bosi wake kwa kujiita ni mwanamke wa kuigwa katika...
anaishi na mwanamke miaka kumi sasa, wamejaaliwa kuzaa watoto 2, mume ana watoto zaidi ya 5 kabla ya kuishi na mwanamke huyo. hivi karibuni kumekuwepo kutoelewana baina yake na mwenzake, mwanamke...
Pamoja na kuwa mapenzi
yanaundwa kutokana
na hisia, na huwa hayachaguwi ni kwa
nani na wakati gani yajitokeze bali huwa yanatokea aotomatic.
Mbali ya kuwepo hali hali
hiyo nina maswali...
Someni hii :
How Facebook Became My Dating Nightmare
By: AG Editorial Team Member (July 1, 2009)
I had an eerie feeling that facebook had something to do with me still being single. I...
Jamani naomba kuuliza, hivi kwa mfano umekutana na mtu then mkawa wapenzi ila wewe huna nia ya kuwa nae maishani, je ni makosa kumwambia kuwa hauko tayari kuwa nae maishani ila unapenda awe rafiki...
Siku hizi haombwi mtu hela ya chips ni vocha kwenda mbele. Hivi, kuna haja ya kuwa na simu ya mkononi au kumnunulia mtoto simu wakati hauna uwezo/hutaki kununua/kumnunulia vocha? Vipi mmeshakutana...
Last time tukiwa kazini, kabla muda wa kazi haujaanza from nowhere ukatokea mjadala kuhusu Condom, kwanini wanaume wanasisitiziwa sana kutumia wakati wakiana dada si kwa sana, so wadada wa hapa...
Naombeni ushauri wenu tafadhali.
Nina binti wa kazi ambae nimekaa nae kwa miaka mitatu,kwakweli ni binti mzuri sana mpaka nilifikia uamuzi wa kumpeleka shule.Lakini ghafla baada ya miezi...