Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

wanawake wengi wamekuwa wakiwaachia waume zao au ma bf wao kazi ya kuosha vyombo baada ya mechi na wengine kwa kisingizio cha kuchoka husahau hata kuosha vyombo huamua kuvilia vikiwa vichafu je...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Gay kiss pub protest at Soho's John Snow...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habar zenu wangwana humu ndani! Na2main mpo poa, na kwa wale wanaojisikia vibaya poleni..Sasa nina rafiki yangu wa kike hapa chuoni, ambae anapend sana kunishirikish katik mambo yake kama marafiki...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Waheshimiwa Na wataalum wote wa mambo ya mahusiano,mapenzi na urafiki naombakuuliza ni nini au ni kitu gani Kinacho mfanya mtu kuoa au kuolewe? Je ndoa zote ni matokeo ya upendo wa hali ya...
1 Reactions
201 Replies
13K Views
salaam alkum wandugu...naomba kuwakilisha,hivi we una boy/girl lover wako,inakuwaje mnapo kuwa mnado majambozi unakujaa kuadisia rafiki...mara ooh!yuko hivi ana nanii mda mfupi/mrefu.ni ulimbukeni...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ungependa kuwa na mwenza wa aina gani?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wapendwa wangu Its my greates hope kuwa mu wazima kabisa. Nimewamisije mwenzenu? Nway nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu kuhusu mahusiano najikuta natoka kapa. The more you struggle to...
9 Reactions
208 Replies
14K Views
hebu fikiria una Gf wako ambae mna aminiana sanaa na huko nyuma mlisha wahi kupima na kukutwa mpo safi hali hii imewapelekea kuwa mnacheza mechi bila refa but sikumoja katika pekua pekua kwenye...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwenu wana jamvini naja kwenu kama kawa na mada hii hivi karibudi kumezuka tabia ya ajabu ndani ya ndoa wanawake wengi wamekua wakilalamika kuwa waume wao wamekua wakitaka mtindo wa kuruka ukuta...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Life can be pretty amusing, depends on how you live it! Two sides to a story(Husband vs Wife) Two women are chatting in the office. Woman 1: I had sex last night, did you? Woman 2: Yes...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani, nina rafiki yangu wa kike, yeye anapenda sana kufanya mapenzi.Yaani kama siku sijaenda kazini, anataka mchana apate round kadhaa, usiku tena round kadhaa, ikiwezekana anataka si chini ya...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Kuna maada ilipatwa kuzungumzwa na kituo cha radio mahali. Wanawake walio kwenye ndoa walikuwa wanajieleza jinsi wanavyopanga kuwaacha waume zao - mara jambo fulani wanalolitegemea likikamilika...
0 Reactions
50 Replies
4K Views
wasalaam wana mmu....! nimekuwa nikikumbana na wimbi la kila msichana ninayetaka kuanzisha naye uhusiano kunambia 'nina mtu'...na hata ninapo muonyesha kuwa niko "for real" bado "hujishebedua" tu...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nishasikia kina dada kibao tu mtaani,makazini na kwingineko wakisema kwamba ni bora upate mume asiye na pesa au mwenye pesa ya wastani tu kiasi cha kubadilisha mboga.Wengi wa hawa akina dada ni...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wapendwa habari za jioni.!!! Hapa kuna kitu nimekigundua JF especially MMU. Watu tulitoa ushauri wa kuanzishwa jukwaa la kutafuta wachumba maana hizo thread zilizidi sana na kuudhi kwa kiasi...
10 Reactions
104 Replies
8K Views
kwenu wana jamvini hapa home kuna mchiz wangu tokea long time ameona na ana mtoto mmoja na mkewe wametoka mbali mno but kadem flani ambacho kanaishi maisha ya kubangaiza kalijenga ukaribu sana na...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Binafsi hua nafikiria siku nikiwa kwenye mahusiano alafu mwenzangu akawa sio mwaminifu...mtu wangu yeyote wa karibu akajua ningependa aniambie.Na ikitokea asipofanya hivyo nikaja kugundua alijua...
4 Reactions
98 Replies
7K Views
Kuna hili swali linanisumbua sana kichwani mwangu: Hivi inakuwaje msichana anaweza kutoka kuongea na shoga yake kuhusu habari za msichana mwenzao ambaye amepewa ujauzito na lijamaa tu la mtaani...
0 Reactions
100 Replies
6K Views
Ngd wanajamvi ashakum si matusi ila naomba nitoe kidogo mawazo yangu juu ya matumizi sahihi na salama ya BAKORA na MASHINE. Nikianzia na Bakora- Sote tunajua kuwa bakora ni kifaa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…