jamani wanajamvini mnalipi la kusema juu ya hili? Jamaa yangu hapa home ana duka siunajua mpemba so amempiga marufuku mkewe kuvaa kufuli ili atakapo jisikia mzuka tu ajimwage kwa raha zake lakini...
Nimepata mgeni jana wa kike, amelala kwangu na kesho anaondoka kuelekea kituo alipoajiriwa. Tulisoma wote kigoma na kwa sasa ameajiliwa hapa kijijini kwetu kikazi. Hamjui mtu huku tofauti na...
hellow everybody! Jamani hii ni mara yangu ya kwanza kuwa humu, so naombeni mnipokee,! Mimi ni msichana wa miaka 25,nimemaliza chuo kikuu mwaka jana. Tatizo nililonalo ni kwamba,nilipata...
Hebu fikiria siku moja umemtoa mkeo out alafu huko mnakutana na mabinti warembo kupindukia ghafla unaanza kukodoa mijicho mkeo nae anakushtua kila saa but huelewi mwishoe anaamua kuondoka kwa...
Wana Jf naombeni ushauri.
Je ni vibaya kutolewa mahari muda huu harafu harusi ikafuata baadae, labda mwaka kesho kutwa hivi ndio maandalizi ya harusi yawepo?
:angry::angry::angry:
New York (CNN) -- A 10-year-old boy escaped out of the window of a sinking minivan after his mother drove the vehicle with her three other children into the Hudson River...
kuna mdada mmoja sikuwahi kumtongoza
nilifahamiana nae kikawaida.kiofisi zaidi....
sasa juzi nimekutana nae...nikamwambia karibu weekend
moja maeneo ya kwetu...
akanijibu subiri nilee...
Hii ni mila imetapakaa haswa nchi za africa magharibi(nigeria,ivory coast,liberia etc).Binti akipevuka,vititi vikianza kuchomoza tu,akina mama watu wazima huchukua jiwe la kusagia...
H abari wapendwa,si mgeni sana humu ila huwa nasoma zaidi kuliko kuchangia mada mbalimbali za jf na naridhika na michango ya wachangiaji karibia wote wa forum hii.Leo nna tatizo langu si kubwa...
Wanasema tu mapenzi huja na kukaa au kuondoka yakitaka.
Na akupendae mpende lakini hii hutegemea na type yenyewe.
Mimi nashangaa, najiuliza sipati jibu.
Ninapoishi kwasasa nimezungukwa na...
Dalili ya mvua ni mawingu ingawaje baadhi ya wakati inaweza kunyesha bila ya hata kuonekana mawingu ya kuridhisha kama dalili yake. Na ni kama hivyo, kabla ya kuachwa huwa zipo dalili tofauti...
Mi naona kama sio vizuri kwa wanandoa au wapenzi kulala kitanda kimoja huku mmevaa night dresses. Sijui mi mshamba!!!!!!!! Hebu kwa wenye maoni tofauti watoe ili labda nifikirie upya...
Please help me get rid of this manipulative woman
Your remarriage is not the issue here. The issue is whether you had healed enough and were emotionally ready to make such a...
msaada wa mawazo wadau. Nina rafiki yangu kaachwa na mpenzi wake sababu ni kwamba hakumwambia ukweli kuhusu mahusiano yake ya zamani sasa jamaa kajua ukweli na kamwambia hawezi kuendelea kuwa nae...
Hivi inakuaje unafika home na kukuta mkeo anachat na mtu kupitia facebook,unamuomba ucheki unakuta jamaa kamtumia meseji eti ni x wake na anamlaumu kwa nini hawakuagana rasmi.....unataka...