Out of the ministry of luv relations for sometimes just for mantainance of a free heart and mind to be a paradise for a certain unknown girl. Fair decission?
Kuna house girl mmoja alibuni mbinu ya kutoka na njemba wake na kuchakachuana bila kujali kazi yake hasa ya kulea mtoto mdogo!!!Sokomoko lilitokea juzi wakati mama mwenye mtoto alipogundua kuwa...
naanza maisha ya ubachelor wadau naomba msaada wa vitu muhimu ninavyotakiwa kuwa navyo chumba nimeshapata rum(master) na sebule nna kitanda teyari 5 kwa 6
Mtoto amepewa u governor wa siku moja baada ya kurekodiwa na wazazi akilia kwa kutokuwa governor kwa sababu ni too small(4yrs) .na record kurushwa You tube na kuvutia watu wengi. Governor ameona...
I face difficultness to choose a right girl friend!Most of the girls nowadays share love with more than 1 man!This is before they get married!They say'U dont know who u will mary!have many,one of...
Habari Zenu wote haijalishi ni shikamooo, hujambo, mambo vipi, mzima wewe, nk salamu ni salamu nawasalimu kwa heshima kubwa niliyofundishwa na Wazazi wangu(nieleweke siwasifii wazazi wangu)...
Hii ni njia ya kukeep husbands safe, hope it will help you gals.
Sorry wanted to just paste the picture, but I couldnt so I have attached it, but believe me it is worlth the trouble of opening.
Todays woman is full of surprises. A lot of things can result in a woman stealing her husbands money, but the most common excuse is when a man does not cover his responsibilities at home and the...
Habarii wana JF. Naombeni wajuzi wa mambo mnijuze ktk hili na nifanye nini hasa niweze kuondokana na hizi ndoto. Ni hivi, mimi ni mwanamume wa miaka 31, toka mwaka 2008 nimekuwa nikiota ninafanya...
Siri za kufanikiwa chochote unachotaka
Send to a friend
Thursday, 07 April 2011 08:17
Na Dismas Lyassa
KWANINI katika maisha kuna watu wengine hawafanikiwa na wengine wanafanikiwa? Ni...
Mimi ni mwanaume miaka 33. Natafuta rafiki wa kike awe mwanachuo, awe serious kwenye masomo na maisha kwa ujumbe. Lengo ni kuwa na urafiki wa kawaida, tufahamiane, tusaidiane. Huhusu sifa zangu...
Jamani nimekuwa na my wife, ambaye tumekuwa tukiishi vizuri sana, japo kama ilivyo kawaida katika maisha tumekuwa tukipishana hapa na pale na baadaye tunarudi vema kabisa.... Lakini kikubwa zaidi...
Ingawaje mada ni afya, nimeona bora kuituma hapa kutokana na umuhimu wa siku hii,
pia kutokana na mapenzi yangu kwa Familia yangu ya JF.
Ninawatakia Wana Jamii Forum, Watanzania na Walimwengu...
Mabibi na mabwana iviii haiwezekani mie kumpata mwenza toka eneo hili..... maaana nakutana na picha za wadada warembo wakichangia mada zao.......kuna sura nyingi nimevutiwa nazo... I LURV U...
Hi...,
jamani kwa wale ambao hua wanafanya kazi chini ya usimamizi au menejment, hivi mahusiano yenu na mabosi wenu yapoje??
Kwa mimi nina bahati mabaya kidogo.kwanza wa kwangu ni she.
-hajui...
Waheshimiwa habari zenu!
Nina jamaa yangu mmoja ambaye tumesoma wote chuo. Ameoa na kwa sasa ana mtoto m1. Kutokana na kupunguzwa kazini kwa sasa anahangaika kutafuta kazi mikoani. Kodi ya Chumba...
kweli wanawake hampendan,madem wawili marafiki,mmoja kaolewa ,huyu alie olewa ameanza kutoka na boyfriend wa rafiki ake,tena katafuta sababu wakavunja urafik wao,pia anamshaur uyu boy friend...
mimi ni msichana nina boyfrend wangu ambaye mapenz yetu yameanza tangu tukiwa udsm mwaka 2004-2007na mpaka leo tunaendelea,mimi nilikuwa wa kwanza kupata kaz 2009 na yeye kipindi chote alikuwa...