Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Sielewi nini kinachotusababisha tuwe na ubinafsi Fikiria weweunamfumania mkeo kwanza usipo muua utamua uliyemkuta naye au kumdhuru au kitu chochote kinachokaribia hapo!!Sasa inapokuja kwa Wewe...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
please meet me i love all beautiful gd
0 Reactions
10 Replies
1K Views
This is the best and most civil way to have a fight between husband and wife instead of resorting to physical force... Poems written by WIFE and HUSBAND. WIFE: I wrote your name on sand it got...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Mume ana mtoto wa kiume na mke ana mtoto wa kike (au kinyume chake), wanaoana. Katika mazingira hayo watoto wakikua na kupendana wanaweza kuruhusiwa kuoana? Kwa hali ya kawaida ni lazima...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
hawayuu JF! jamani naomben tushee experience kidogo. hivi kile kinachoitwa learn to love (kujifunza kupenda) kama nimepatia kiinglish, ni kitu ambacho kinawezekana kweli?? me nimepata hii doubt...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nawapenda nyote, na ninawasalimu pia!!! katika soma soma ya habari wapendwa kuna habari na picha nimekutana nazo zimenitoa machozi, nimesikitika sana, na nimeumia sana, sijui wewe mwenzangu ndio...
0 Reactions
40 Replies
6K Views
Wana FJ. Katika ndoa kuna mambo mengi kuna wakati wa furaha na karaha kuna kupeana na wakati mwingine kunyimana pia. Utasikia mchana mtu na mke wake wanatupiana maneno makali hadharani. mr...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Imekuwa ni kawaida kusikia ugomvi baina ya wamama na wake za watoto wao wa kiume(wakwe zao) Hii ni kutokana na wamama wengi kutotambua nafasi yao pindi watoto wao wanapopata wake. Kwani kabla ya...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
In Kenya , wives have resorted to putting their (meso-meso) men in the newspapers:-
0 Reactions
7 Replies
1K Views
It is an old error of man to forget to put quotation marks where he borrows from a woman's brain! - Anna Garlin Spencer
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Sijawahi kuwachukia wanaume wote kama kundi...ila kuna baadhi wenye tabia za ajabu ajabu nawachukia sana.Hawa ni wale wenye maneno mengi....ya ukweli au ya uongo...mwanaume akishaanza kutumia...
6 Reactions
206 Replies
13K Views
Penzi la dhati ndiyo bidhaa adimu kuliko zote maishani. Haiuzwi kokote, ukiipata unaweza usiithamini, thamani yake ukaiona ukisha ipoteza. Ukipendwa kwa dhati nawe thamini penzi unalopewa.
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Mchumba angu alisafiri wiki 2 zilizo pita kwenda Loliondo kunywa kikombe kwa babu. Nilivyo muuliza gonjwa gani sugu linalo kupeleka huko kwa babu akasema Kisukari huwa kinamsumbua mara kwa mara...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Hivi kawa nini kwenye mapenzi ikitokea umeambiwa au umemwambia mwenzio niko bize sana....... Always huwa inaleta ugomvi au kutokuelewana?????????? I mean kama mtu uko bize sana kikweli...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Heloooooooooooooooooo wapendwa nimedaka hii. Kuna moto unafuka chini kwa chini. Kwa kuwa mimi nanusaga harufu kali nikainasa. Kama ambavyo niliwahi kusema huko kuwa nilikuwa na mke wa kwanza na...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Yesterday I was ago between, trying to resolve a conflict between my friend and his girlfriend. The subject was abortion. The guy started showing his dubious acts to his girlfriend when she told...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Pengine watanzania tulio wengi huwa hatupo makini sana na mambo ambayo yanaweza kutujenga au kutuathiri sana maishani. Kwa sasa imekuwa ni desturi kama si kawaida kwa wengi wetu kuwatumia...
2 Reactions
14 Replies
7K Views
You are watching a live promotion, take for instance Vodacom promotion, a representative announces that X had won 10m prize. 1st phone rings 10 times but the owner doesn’t pick it up. (Tayari...
6 Reactions
27 Replies
3K Views
Wana JF lipi ni la busara kati ya haya mawili kuhusu simu ya mkononi. Je, ni busara kufuatilia (kupokea) simu au meseji za mwenzi wako au ni busara kila mmoja aweze ku maintain simu yake na kuacha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
1. Ukipenda sipopendwa, adhabu wajitakia, Moyo utapondwapondwa, maradhi wajitakia, Utachekwa na watawa, aibu itatukia, Usilazimishe penzi, hata kama umependa. 2. Usilazimishe kupenda, majuto...
1 Reactions
9 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…