wakuu hapa nilipo maleria hadi imepanda kichwani baada ya demu wangu niliyekuwa namwamini kumegwa na mshkaji wangu wa karibu sana ambaye nilishamsaidia sana (kifedha) na hadi kupata kazi
sasa...
Watu wengi hasa vijana waliofiksha muda wa kuoa au kuolewa wengi wanatamani sana maisha ya kuwa na wenza wa maisha yao. Harusi nyingi huandaliwa kwa gharama kubwa kiasi ambacho kwa mtu ambaye huna...
Hii Soda vipi wana jf? nikianza kuinywa tu gesi inakwisha hasa nyakati za usiku, wakatimwingine nakunywa mpaka nusu, kabla sijamaliza ishaflet, mwanzoni haikuwa hivyo nilikuwa nakunywa mpaka...
Ukienda baa peke yako kama wewe ni mwanaume utapewa huduma kwa unyenyekevu sana na wahudumu hawa wa kike hadi utajiona kweli wewe ni mfalme kama ule usemi usemavyo "mteja ni mfalme". Kabla...
Tarehe fulani, binti alisherekea siku yake ya kuzaliwa!
Siku mbili baadaye,pacha wake ambaye ni mvulana, akawa anasherekea siku yake ya kuzaliwa vile vile!
Inawezekana vipi hii?
Maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua. Wapo wa2 waliochagua kua wataishi peke yao bila kujihusisha na jinsia nyingine. Ktk maisha haya m2 awe mwanaume ama mwanamke huwa hana mshikamano na m2...
Wakaka tupeni kila kitu kwa volume,quantity and quality mnayoweza iwe pesa, gari, tununulieni nguo,viwanja incase kabla ya kutuoa rasmi (kuishi pamoja)
ila musifanye hili
Msitusomeshe/Lipia...
Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Filauni! Nilikuwa na mpangaji mwenzangu katika nyumba moja Dar. Jamaa alikuwa ni rafiki yangu sana na alitokea kuniamini sana kwani alikuwa ananihadithia mambo...
umeshawahi kujiuliza?
Hivi hasa kwa ambao hawajaolewa umeshatoa penzi kwa wanaume wangapi? na umepata faida gani? au kwa kumsaliti mumeo umewahi pata faida gani?
Kwa nini isifikie mahali...
Jamani cku zote wanaume ni wabishi kwenye magari.Lakini juzi nimepanda gari flani konda alikuwa bonge la msichana.bac wanaume walikuwa watiifu kama wanapokea sakrament kwa padre.Whyyyyyý jamani?
Ndugu zangu wanaJF hii imekuwa siri yangu ya muda mrefu bt leo naiweka wazi, ikiwezekana mnipe ushauri. Mwenzenu kwa muda sasa nimekua nikipatwa na yale matatizo ya kiume wakati wa mambo fulani...
Pendo ninakupa pole
Kwa yote yalokusibu
Nakupa haya na yale
Ni miye wako habibu
Pole nyonda pole, kutoka kwa pendo pole!
Yamenitoka machozi
Mawazo yajaa tele
Nimeshindwa fanya kazi,
Nikiyawaza...
Mpenzi msomaji, wiki iliyopita nilikuletea mada iliyohusu penzi la kweli halionekani kwa macho. Bila shaka bado unatafakari ili uweze kutoa maoni yako kuhusiana na yale niliyochombeza kama...
halooooo.
Hope mko ok wote. Jamani mwenzangu amenipiga stop ya kunido eti anasema kwa 7bu ya kwaresma, kila ninapomuhitaji hataki kabisaaa, hvi inawezekana kweli hyo ikawa 7bu au analake jambo...
Wanajamii mimi naomba kuuliza kwenye ndoa kama kuna mgogoro mama kumnyima baba tendo la ndoa ni sahihi au ndio kubomoa zaidi?mimi nadhani hapo tunakaribisha nyumba ndogo au?au hapo baba...
Wakuu, nimepata message toka kwa jamaa yangu tunayeheshimiana sana akieleza mkasa uliompata jioni ya leo...
....baada ya kumpima huyo demu kwa kutumia kipimo cha mkojo, akaonyesha yuko...
MSIBA MINNEAPOLIS- RIP SHEDRACK BALIRA
Ndugu, Jamaa na Marafiki,
Tunasikitika kutangaza kuwa Watanzania wenzetu Meshack Balira amefiwa na mdogo wake Shedrack Balira aliyefariki...
Kuna jamaa mmoja amezidi sana kuchakachua,sijui ana pepo la ngono au amechanjia!!!Hivi kweli ni halali kuchakachua watu watatu wa familia moja???Jamaa alianza kutembea na dada mmoja(rika...