Wana Jamii shaurini,
Ndugu yangu anampenda msicana mmoja ambao wote ni wadogo 1st year chuo.Cha ajabu yule msichana hamtaki lakini jamaa analazimisha hadi amewahi kutaka kujiua....
Cha...
Dear Wana MMU,
Habari za siku kadhaa......nimewamiss sana wapendwa! Natumaini wote mu wa zima
Nimekuwa nikisikiliza Powerbreakfast ya Clouds kwa siku kadhaa sasa (Tangu issue ya Babu wa...
Mjukuu wangu wa kwanza, Mjukuu Mtiifu salamu.
Mimi babu yako, kwaniaba ya wanajamvi, wapwa na wajukuu wenzako wote nimekuja hapa hadharani kukupongeza kwa dhati na upendo mkuu kabisa.
Miaka...
mimi ni baba wa familia(nimeoa) kabla ya kuoa nilikuwa na rafiki yangu wa kike ambae nilidumu nae kwa miaka mitatu hivi. nilipokuwa tayari kuoa nilimtaarifu mwenzangu kuwa nataka kujitokeza kwao...
Katika vitu vinavyonipa wakati mgumu kwenye mahusiano ni kuombwa picha eebwana inanipa taabu sana.nakumbuka mala ya mwisho kupiga picha ilikua namaliza standard 7 sasa akiomba picha inabidi...
Kuna wakati unaweza kumkuta mtu yupo kwenye mahusiano yenye kila aina ya karaha na unyanyasaji lakini bado yupo tu na wala hafikirii kuondoka.Unakuta mtu...
Siku hizi vijana wengi hasa walio soma ushaurina eti lazima kutafuta mwenzi aliyesoma,kwa kuangalia sababu za kiuchumi, tatizo kwangu sijaweza kuelewa kuwa na msicha unaye mpenda mpaka kuzingatie...
Ile siku ya kwanza umeahidiana na mwenzio kwenda kula tunda aka kuchakachua ulikuwa unawaza nini?Hadi leo ukiwa na ahadi hiyo huwa unafikiria nini katika kuifikia shughuli yenyewe hasa ukiwa na...
wakuu JF , Rafiki yangu wa karibu sana na wa siku nyingi yupo kwenye matatizo makubwa . Miezi minne tu baada ya kufunga ndoa na shamrashamra nyingi sana za kukata na shoka .ilibidi atangaze ndoa...
Ni Bint wa wa 23 Years old,anatarajia kumaliza chuo (UDSM) July 2011.
Huyu mtoto mi mwenyewe ndo nimeonesha "DIRA",nimeanza nae tokea akiwa kidato cha sita, tumekubalia akimaliza tu Mwanaume...
coat of many colors
dolly parton
Back through the years
I go wonderin' once again
Back to the seasons of my youth
I recall a box of rags that someone gave us
And how my momma put the rags...
'I Just Shut Down'
On the heels of her edgiest, smartest album to date, popstress Rihanna is gracing the March 2011 cover of Vogue. And inside the mag, she's offering her fans a peek into her...
Habari zenu wanajamii,
Ni hivi nina mdogo wangu alikuwa anafanya kazi kwa hawa watu wa kushikashika bunduki sasa alikuwa anajifanya anawapinga sana mafisadi basi wakamtengenezea scandal na...
Mimi naamini elimu ni kitu cha msingi kwa mwanamke ili aweze kusimamia maisha yake mwenyewe, familia yake hata kukwepa manyanyaso yanayosababishwa na baadhi ya wanaume ndani ya jamii. Hata ndani...
Habari wanajamvi.
Kwa kweli hilo swali huwa linanisononesha sana.
Nina umri wa miaka 30, sijaolewa, sina mchumba wala mpenzi yapata mwaka na miezi kadhaa sasa.
Mdogo wangu anayenifuatia ana miaka...
Habari wanaJF!
Dunia hii imejaa mambo kila aina...kila mtu anautashi wake..wengine wanatekeleza kwa usiri mkubwa...wengine wanayaweka bayana.
Yoote hii ndio dunia.
Sasa nlikutana na jamaa yangu...
Ni saa sita na dk hamsini na moja usiku. Nimejiegesha kupata usingzi wa mang'amung'amu baada ya uchovu na mawazo mengi, simu nimeishika. Mara simu ina vibrate na kutoa mlio. Nashituka na kuona...
Habari za mchana wana jf wenzangu!!!!!!
Wengi tumeamini katika tiba anazozitoa BABU!!! Saratani, ukimwi, kisukari, shinikizo la damu.
Nimekaa hapa ofisini nimewaza hivi, kuna hili tatizo kubwa...
Wandugu wapendwa,natumai mko sawa popote pale mlipo.
Nina swali moja tu fupi.
Hivi inawezekana mtu akaacha kumpenda mpenziwe eti kisa kachanganyikiwa kutokana na kutakwa kimapenzi na viumbe...