Kuna watu huwa wanapat vigugumizi katika mambo haya:-
Mosi: Unakaa mahali na wanawake,siku mdada amefua na kuanika nje nguo zake za ndani,Je inaruhusiwa kama imeanguka kumuinulia au kama mvua...
Katika kuifikia Tanzania isiyokuwa na ukimwi kama kampeni iliyozinduliwa na Mhe. Rais miaka michache iliyopita "Tanzania bila ukimwi inawezekana" ninapendekeza kiapo cha ndoa kiwe namna hii:-...
Jamani kama ni wewe ndiyo umeambiwa hivi utafanyaje mwanzoni
"...inaumiza hata kukueleza mpenzi, najua utalia ukickia, ni siri ambayo niliificha kwa muda mrefu, ni kwamba mwenzio nimeathirika na...
Hivi kama mume wako anakupenda na kukujali kwa kila kitu kisha huko nyuma hukuwa mwaminifu na ukakubali na akakusamehe. ukarudia tena mara 2 au tatu na akakuonya na kukusamehe. Je akikukukuta tena...
It may sound ridiculous to say that a total man has a woman in him. But Im referring to the womanly qualities in a man. Those admirable behavior of a woman that a man can borrow a leaf from...
Habari zenu za usiku huu wanajamvi,
Ni hivi mimi nina My girlfriend wangu ambaye teyari ana mtoto na jamaa mwengine,ila huyu mtoto wake hajatulia kwa kweli na huyu mama yake simuoni kuchukua hatua...
Wana Jf kuna jirani yangu hapa
Mtaa wa maweni ni bomba sana,
midume karibu yote ina mmezea mate,na ni msomi ametoka chuo karibuni,
Asubuhi leo wakati naenda grocery nikakutana nae akanisalimia...
Kwa asili wanaume wanapenda sana kuwasikia wake au wapenzi wao wakikiri kuwa wanawapenda na kufurahia tabia zao nzuri wema walio nao, vipaji walivyo navyo na sifa nyingine lukuki.
Wanaume...
Nimepitia taarifa nyingi juu ya tiba zitolewazo a huyu Babu wa Loliondo....................mlionyeshewa mvua zake hebu mtupashe habari...................zaidi...
habari yenu JF!
Nimekua nafuatilia mambo mengi humu utaona wengi wetu tunapeana salam za upendo na tuna-enjoy sana.
Sasa nikikaribia ndoa yangu nawaalikeni mhudhurie...inshaallah ntaweka eneo...
Kuna jamaa yangu mtanzania amebahatika kupata mtoto wa kiume na mwanamke wa kisomali. Mtoto ni mzuri kwa kweli na anavutia, lakini kila nikimshika sijui kwa nini mawazo hayanitoki kufikiria ya...
Katika khali icyo ya kawaida ucku wa kuamkia leo nimejikuta nikimuota mama mwenye nyumba nikiibanjua amri ya 6.na wakati nimeamka nakwenda mawaliton nikamkuta uani nikajkuta nainamisha kichwa kwa...
Jamani samahanini wanajf hivi huwa najiuliza kama mwanaume kuwa ugonjwa wa kisukari ukikupata mwanaume mambo huwa hayaendi (jogoo inawezekana akawa hapandi mtungi) na kufanya sex kiujumla inakuwa...
Eti jamami mtu unaweza kuwa umechanganyikiwa
Lakini huhisi au huoni kama umechanganyikiwa??
Kila anayekuzunguka ndugu,jamaa na marafiki wanakwambia your not normal..
lakini we unahisi uko...
When you go fishing and you
catch something, that's good. If
you're making love and you
catch something, that's bad.
Fish don't compare you to other
fishermen neither and don't
want to know...
Find few minutes to read this beautiful story...It´s never late, you can save your relationship!
When I got home that night as my wife served dinner, I held her hand and said, I've got something...
Wajameniee ndoto wote najua mwazijua au kila mtua hapa alishaota.
Me hua naota nimemega sometime Maria Roza, first lady, lizzy, miss judy, Dena Amsi n.k ila sijawahi kuota hata mara moja kua...
MUME MWANGU SI MWAMINIFU KABISA NA DAWA YA BABU AMESEMA UKIWA NA NGOMA UKINYWA IKATOKA UKIRUDIA NGONO OVER..HAYA NDOA VS BABU AMBILIKILE
Wakati Mchungaji akizungumzia hilo, mwanamke mmoja ambaye...