Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Habari JF! Wanajamvi msaidieni hiyu ndugu yetu! Amenieleza kwa urefu shida yake kuhusu dada mmoja ambae anachukua degree yake chuo kimoja humu Tanzania. Mambo yao yalikua kama hivi: Dada...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Nataka kujaribu (kufanya nae mapenzi) amenikatalia. Ninampenda, nifanyaje?
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Habari ya leo wana jf,mbona wa2 walio kwenye mahusiano huwa hawapendi kusema kweli wakiulizwa?mfano ukikutana na mdada mkawa mnapiga story ukimuuliza vp shem hajambo anakuambia sina pia hata...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Wimbo wangu ijumaa hii Banana Zoro …Pressure
0 Reactions
48 Replies
7K Views
Kwa nnavyoelewa mimi neno ''gubu'' hua linatumika kuongelea ile hali ya mtu kukumbushia makosa au kutosahau kwa maana nyingine.Wanaosemwa kwa kua na gubu mara nyingi ni wanawake.Wanaume hawachoki...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nina tatizo sugu nahitaji msaada wenu. Mimi ni mdada na nimekulia kwenye familia ya Kikristo sana na hadi namaliza Form 6 simjui mwanaume nimekuja kumpata nikiwa chuoni. sasa nikapata Bf na...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
ahsaaaanteni majawabu
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hivi mapenzi ya kweli bado yapo au kunalongolongo tu na wizi mtupu wa kupotezeana mda? Maana mie mwenzenu sielewi naona kizungumkuti tu na hekaheka huku mitaani. Leo wanaoana kesho wanaachana...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
habari ndugu zangu, poleni na majukumu ya kutwa. Jamani hebu tusaidiane kwa hili, kwa asilimia kubwa baadhi ya wanaume hupenda kuchelewa kurudi nyumbani, hivi ni muda gani ambao mwanaume anapaswa...
0 Reactions
93 Replies
6K Views
When you see a woman... And want her badly.. Please consider the following.... No matter how beautiful she is..... No matter how sexy she is... No matter how seductive she is... No matter how...
0 Reactions
94 Replies
5K Views
Hivi utafanyaje?umeishi na mkeo ktk ndoa,mkajaliwa kupata watoto watatu.Siku moja bahati mbaya unapata ajali na kuumia sana sehemu za mgongoni.Daktari anakucheki na kugundua huwezi kuzaa tena...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habar zenyu wanathnker ninaomba mnisaidie jaman ninarafik yangu wa karbu anaumri 30 na anauwezo na kila ki2 na ananisaidia katka biashara zangu. Mara ya mwisho baada ya kuona hana jins akaniambia...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
A newfound or increased interest in their appearance. This can mean they’re trying to impress someone. Look for things like a new interest in working out or buying new underwear. A change in...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimeulizwa swali na mdada mmoja inaelekea kuna shida amempata (sikupenda kudadisi zaidi) na sijampa jibu kamili. Mara nyingi na inaendelea kutokea hadi leo kwamba kwenye mahusiano kukawa na ugomvi...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Nimejiunga nami nyakanga wa jando babu kijana nimefurahi nami kuwepo kundini kwa wahenga wa jamii hii ni changa moto nipokeeni nami ni mmoja wa makungwi wazuri wa vijana wa kileo tuwaelimishe na...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
How do you explain to a 5 yr old kid that you can't afford something he/she wants.....something which you were able to provide in the past?...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
What makes a relatinship? How do u know theres is relatinhsip btn two ppl? sex and gender orientation what are forces that operates betn or within coples relationship Managing...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wanajf napenda kujua maana ya maneno haya "tunapendana sana ( We love each other)" mtu ana mpenzi wake na wanapendana sana lakini anakwambia kwamba gf/bf wangu nina wasiwasi ana...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Kweli wanaume tunatofautiana, unakuta eti Mwanaume anampigia simu demu anapiga naye story kwa masaa manne hadi sita. Story zinazopigwa ni kuhusu Birthday, mahusiano, nguo za rangi gani zinavutia...
0 Reactions
62 Replies
5K Views
Huwa nataabika sana!! najiuuliza sipati majibu!! ni kwanini watanzania tupo hivi??? ni kwanini serikali yetu ipo hivi?? Tumelogwa sie???????? nani katuloga??????? kwanini ukimuona mwenzio...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…