Kuna rafiki yangu aliniambia kuwa yeye hupendelea mapenzi ya "one night stand"
sikumuelewa afu nilijisikia noma kumuuliza.
Mwenye kujua au aliyewahi kufanya naomba utujuze.....
wanajf hivi 2kisema mtu amemcheat mpenzi/mume/mke wake ni lazma awe ame DO na msichana/mvulana/mwanaume/mwanamke mwingine au hata kuchat na msichana/mvulana/mwanaume/mwanamke mwingine kwa...
Wakuu, pleni sana.hata hivyo ni wakati wakujipongeza kwa wiki yote hii kuwajibika.
Kwa mimi nimejadili binafsi, nikafikia hitimisho kua mapenzi ni yana independent mandate kuliko kwamba ni suala...
JF Ladies and Gents
THOSE WERE THE DAYS WHEN MEN WERE REALLY MEN AND WHEN BROTHERS USED TO WRITE LETTERS WITH DICTIONARIES!
WHERE WERE YOU? IF YOU NEVER RECEIVED LETTERS LIKE THESE...
Hivi ni kwa nini wanawake WENGI hata wawe na pesa kuzidi waume/maboifrendi wao lakini wanakuwa wagumu sana kuwapa au kutumia pesa yake na mwenzie??Hata kama mwanaume wake ana mshahara mdogo kuzidi...
Bandugu bapendwa, safari siyo kifo na Mungu siyo Athumani wala Abdallah!
Babu DC karudi salama
Kamkuta bibi mzima kama malaika
Hakuna uchakachuaji hata kidogo
Wajukuu hawajambo wote...
Habari zenu binafsi kwa ujumla wenu;
Jana wakati napata kifunga kinywa pale kingstaa kaunta ya juu wakaja wadada wawili wanapiga stori ya mwenzao waliyetoka kumwombea azidi kulala pahala pema...
Jamaa ana mpenziwe wamependa kiukweli wanavodai wao nakuelezana hivyo kiasi kwamba,password za bank card,e-mail wamepeana.Wameahidiana hawatakuja kusalitiana milele.
Wote hawa wana ujuzi kutumia...
Wanaume mnaopenda kuchukua wasichana warembo hususani kama umekutana nae siku moja na kumtaka kimapenzi ikibidi kusex nae siku hiyo hiyo ni hatari sana.
mtaani sasa hivi majini wanawake yamejaa...
Baada ya visa vichache vilivyotokea siku za usoni kutoka kwa mke wangu na kujikuta maganzi na faraja zimepungua, Imenitokea tu nampenda sana dada mmoja ambaye ninafanya naye kazi. Nilikuwa...
Mambo zenu waheshimiwa?ni hivi mie nina my girlfriend wangu ambaye nimepanga chumba kwa ajili ya kwenda kufurahishana inapobidi,lkn mara nyingi napokutana naye baadae nikihesabu hela zangu nakuta...
Jana usiku amekuja rafiki yangu ameolewa na ana watoto 2 wiki mbili zilizopita mumewe alikuja na mgeni mwanamke nyumbani bila taarifa kwa mkewe akamtambulisha ni mwanafunzi walisoma nae wakati...
Kuna ndugu yangu kaniomba ushauri naomba munisaidie. Huyu ni msichana mwenye miaka 22 sasa ameolewa miaka 4 iliyopita tatizo lake nikwamba mumewe kamwambia akakae kwao mpaka atakapomuhitaji...
Salut!!
Nimesikia hiki kisa kimenisikitisha sana.
Mwanaume alikuwa na mpenzi wake wakakorofishana mwanaume kamweleza msichana kuwa kuanzia sasa mimi na wewe basi kwa njia ya simu.
Msichana...
Jamani naomba mnisaidie hili,mdada mmoja amepitiliza miezi mitatu bila kupata MP ,amekuwa na hofu sana mpaka akaamua kuujua ukweli,
Kwanza ametumia Litmus Paper kupima kama ni mjamzito na kwa...
Wapenzi wa JF, kwa heshima na taadhima ninawasalimu wote.
Nimejikuta ninawaza jinsi mimi kama mtoto wa kike ndani ya familia yetu ambaye nina majukumu ya not only to take care of my own family...
hivi mabib na mababu kama wewe ni mume/mke wangu halaf me nikalala na mwanamke/mme mwingine lakii kwa kuondoa maganzitu, ila moyo upo kwako kwa dhati, utanichukulia kua nimekusaliti??