Mambo kama ujumbe mfupi wa kuambiana nakupenda, unafanya nini sahizi, karibu tule. Ni maneno ambayo wapenzi huyapenda sana lakini wakizoeana ...mh...
SIJUWI!
Mambo kama haya hukatisha sana tamaa...
Naamini kabisa starehe ni gharama lakini siku hizi wakina dada (wepenzi wetu) wamezidi kutunyonya yeye siyo mke wangu siyo mwanangu wala siyo mama yangu lakini invoice/bill yake kwa mwezi ni kubwa...
Siyo kwamba nahisi, nimeshuhudia mwenyewe baada ya kubahatisha marembo wawili wa kimasai. Mmoja nilimuuliza kwa nini ametulia wakati mwenzie napanda mlima aliniambia eti hajazoea. Mwingine...
Mwenzenu nilivunjwa moyo miaka miwili iliyopita, Tangu moyo ulivyovunjika nimekuwa nikimuomba Mungu aniponye na nina Imani ameniponya kabisa, manake najiona sina kinyongo, wala uchungu na huyo...
Hili swali nimelikuta kwenye Blog ya Dina Marios.
Leo kwenye kipindi tulikuwa na ishu moja ambayo ilipelekea kutokee mjadala ufuatao.Hivi ni kweli kuna wanawake wanakuwa na kismati flani...
eti wanakojoa kitandani sana, kila siku kuanika godoro na wake zao wanawavumilia na kuwapenda. enyi mlioolewa na walevi mnasemaje????????? kuna ukweli hapo. du kazi ipo. Hii ameniambia mtu wa...
Wanaume wakishaoa ni wavivu sana kwenye mapenzi kuliko awali kabla hawajaoa.unakuta zamani kabla hajaingia kwenye ndoa dume lilikuwa linajituma mpaka mtoto wa kike anakolea,ila akiingia kwenye...
Kuna suala lilizua mjadala mahali kwamba,woaji sikuhizi hawapatikani wengine wakasema no!waoaji wapo ila waolewaji wamekua na vigezo vingi mno kumchambua huyo muoaji ndio maana suala la...
Mimi ni kijana mwanamume, nina rafiki yangu wa kike tumejuana kwa njia ya mtandao. Tumetokea kupendana sana hatuwezi kabisa kupita muda kidogo bila kuongea. Sikua na mpango wa kumtafuta mtu kwa...
Inasemekana kuwa, kama ukiinjoi sana maisha yako ya ujana, basi hutakuwa na ndoa inayodumu, lazima utaacha au kuachika tu.
Wanaomudu ndoa zao ni wale ambao wakati wa ujana wao walikuwa hawana...
Afande Manyota kaja Boston kutoka Bongo kwenye Mkutano Longwood Medical Center. Amefikia CHARLES HOTEL mjini Boston. Afande Manyota (AM) amempigia simu Chiku kumsalimia. Wanapanga Chiku Aende...
Ukiacha mabo ya mboga na matumizi mengine
- Nyumba ndogo hazitembelewi na zimezidi kubipu
- Waliotongozwa siku za nyuma wakachomoa sasa wanajilengesha na mijibaba haiwataki
- Baadhi ya...
habari za kazi ndugu zangu wana jf?kwakweli nimepatwa na msongamano mkubwa wa mawazo amabyo mimi binafsi nimeshindwa kufanya maamuzi sahihi hivyo basi nimeona nilete matatizo yangu hapa jamvini...
Eti ni kweli kuwa gari ni ufunguo alam mbwembwe tu:
1. ukitafuta mpenzi uangalie mambo ya msingi ikiwemo upendo wa kweli?
2. Mwanamke tabia sio sura
3. Mwanaume pesa si suruali
Prepared by : Muhammad AlShareef
1. Dress up for your wife, look clean and smell good.When was the last time us men went shopping for designer pajamas? Just like the husband wants his wife to...
Jamani Hapa JF ni sehemu yakupata maskill haijalishi hata kama umezeeka elimu aina mwisho!!
Naomba mtaalamu amwage masikil yake hapa au hata ile flashback jinsi alivyotongoza!!:decision...
Hamjambo wanajamvi wote pole na mgao. Mwenzen kuna tatizo lanikwaza na kunikondesha kwa kweli. Niko kwenye mahusiano huu mwezi wa nne. Katika maongez na huyo mwenzangu akaniambia mambo yake...
The following is a summary of the book "How to make your wife happy by Sheikh Mohammed Abdelhaleem Hamed. Beautiful Reception
After returning from work, school, travel, or whatever has...
Habari zenu wanajamvi,ni hivi mimi nafanyakazi na jamaa ambaye mkewe naye anafanya kazi ktk kampuni hiyo hiyo,tatizo ni kwamba huyo mkewe mwenyewe hajatulia hata kidogo ktk watu ambao niko nao...
Ndugu wapendwa
asaalam alheikum,BWANA YESU ASIFIWE...wapendwa naomba leo hii tuanze kutafuta chanzo cha ndoa kuharibika ovyo ..ndoa nyingi za leo hii zimepewa jina la kileo azikai muda wanaachana...