Sina kawaida ya kupost new post usiku ila hii imenibidi.
Ni hv nina rafiki yangu kipenzi wa kike tulikuwa wote mzumbe ikatokea dada yake anachakachuliwa na prof wa hapo chuo nje ya ndoa, mume...
hivi katika maisha ya sasa ambapo unakuta mwanaume ameoa mke mwenye kipato eg. mhasibu, mhandisi, au ambaye ana shughuli zake binafsi za kumwingizia pesa ya kutosha kwa wao kama mke na mume...
Ladies and Gentlemen,
Hili swali linaweza kujibiwa na wanaume na wanawake walio kwenye ndoa. Ebu tuwe wakweli, hivi katika siku ambazo bahati mbaya ulianguka kwenye uzinzi kama ni mwanaume je...
Habari zenu ndugu zangu wa jf. Nina rafiki yangu alimaliza 4m four 2005 akapata D mbili2 kwa kua wazazi wake hawakua na uwezo alienda kufanya kazi za ndani. Baada ya miaka 3 akaamua kurudia...
kwa miaka ya sasa sioni kama kuna haja ya kumbembeleza mwanamke kwa ajili ya mapenzi ili ama awe mkeo/mchuma au gf
Kuna wanawake wengiii mno and fresh love is always tamu sana.Mwanamke ukimsihi...
Salamu kwenu nyote Mabibi na Mabwana, natumaini mko Salama kabisa.
Kuna jambo moja nimeliona likanipa maswali mengi, halafu nikawa sipati majibu mazuri.
Kuna ndoa moja ya mume moja na mke mmoja...
Ni ndoa changa ina miaka mitano tu, maisha yao mazuri kwa Baba na Mama wote wanafanya kazi nzuri tu na kimsingi ndoa yao ina amani na utulivukwa kiwango kikubwa.
Tatizo lao kubwa ni moja tu. Mama...
Wakuu,
Nipo Arusha sasa hivi na crew ya members wa JF toka Arusha na Dar. Maandalizi ni mazuri sana na maswali mengi yameulizwa na kujibiwa live. Ndo tunapata viburudisho baada ya session ya...
Unapoamua kuianza safari hii ndefu huna budi kuzikubali changamoto zake,Mapenzi ni matamu sn iwapo kwa wkt huo kila mmoja anampenda mwenzake huyo ukimuuliza atakwambia yeye hatamani kutoka tena...
Ana watoto wa tatu mmoja std 3 wapili std1 watatu kindergarten. Anataka watoto zaidi kwani anadai haoni sababu ya kuwa na watoto wachache. Jamaa anasema mwanzoni alidhani ni utani lakini sasa...
Kuna ndugu anatabia za ajabu, anamtindo wa kufanya mapenzi na wanyama, mara ya kwanza alibaka mbuzi,wazazi wakamsema na akawa ametulia,ivi juzi amebaka nguruwe na wazazi wameamua kumwamisha kijiji...
Ni vigumu kujuana kwa kina ndani ya uchumba maana kuonana kunakuwa kwa mara chache sana tunakoishi, na mara nyingi tunakutana bar, migahawani,bustani za mji, kwenye miti nk.
Unaweza tambua tabia...
Love is holding hands in the street.
Marriage is holding arguments in the street.
Love is dinner for 2 in your favorite restaurant.
Marriage is a take home packet.
Love is cuddling on a sofa...
habari wana jf
Leo nilikuwa mahali napata chakula cha mchana,ghafla wakaingia wadada wawili,tukasalimiana vizuri tu,baada yahapo kila mmoja akaendelea na makulaji yake,sasa wakawa wanapiga story...
Ndugu zangu,
Inasemekana kuwa ni rahisi sana kwa mwanaume aliyeoa kumshawishi hawala yake wafanyie mapenzi nyumbani kwa mwanaume kuliko mwanamke aliyeolewa kumshawishi hawala yake wafanyie...
Nimegundua JF hutakiwi uwe mkweli ila siku zote unatakiwa kusema uwongo na kuwa mnafiki. Mimi kama mdada nimekuwa mkweli sana katika mambo ya kijamii ambayo yanamuhusisha kila mtu. ila shida...
Jamani hebu niambieni namsaidiaje huyu kiumbe.
Few years ago nilikuwa na boyfriend where we loved each other to death, yeye mwenzangu alikuwa ni mtoto wa mama(familia bora, mboga saba),school...