Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Wakuu nimekaa na kutafakari hii tabia mpya ya hawa kinadada zetu.. Unamkuta msichana mzuri ana kazi nzuri na elimu ya kutosha, ukimtaka anakwambia eti alishaumizwa sana na anaogopa kuumizwa tena...
0 Reactions
64 Replies
6K Views
Video hii ya youtube ina views 122,740,775 what are your answers kuhusu maswali ya huyo mrembo.??
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna mama mmoja ameolewa kwa ndoa ya kiislamu. Ana watoto wawili. Mtoto mmoja wa kwanza kamzaa na mume wake wa Kwanza, mtoto wa pili kamzaa na mume wake wa Pili. Huyu mwanamke anafahamika kabisa...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Kwa wanandoa tu, haihusiani na uhusiano wa aina nyingine. Epuka maneno yenye mkao wa ki-selfish; Mfano- vyangu, changu, yangu, wangu, langu nk. Usiyaone madogo lakini yanaweza mfanya mwenza wako...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wana JF, kuna huu wimbo wa kiduku (Aladji) sijui kama nimepatia jina lake, kwa maoni yangu hauna maadili ya kitanzania ingawa unarushwa laivu kwenye Ma TV. Kuna siku nimekaa sitting room na...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
utajuaje kama mtu anakupenda?
0 Reactions
56 Replies
5K Views
Great thinkers, kuna yeyote yule aliyepata taarifa ya kikao cha Waziri wa Elimu na Ufundi Dr. Shukuru Kawambwa na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam? Kuna lolote jipya lilofikiwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wife and Girlfriend Wife is like a TV, Girlfriend is like a MOBILE. At home u watch TV, But when u go out u take ur MOBILE. Sometimes u enjoy TV, But most of the time u play with ur MOBILE...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Nilikutana na rafiki yangu jana jioni..katika mazungumzo yangu aliniomba ushauri..nikaona ngoja niwashilishe kwa wadau.. Rafiki yangu huyu ana umri wa miaka 32.siku zilizopita alikuwa na...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Nawasalim wote dadazz na kakazz bila kuwasahau wamama na wababa!!! Natumaini jumatatu mmeianza vyema na wiki itaendelea kua nzuri. Kama wimbo tunasikia kila siku mwanamke alivyo na nafasi kubwa...
0 Reactions
46 Replies
4K Views
Huyu kaka nafanya nae kazi ametokea kweli kuuteka moyo wangu, sidhani kama anaelewa hilo ila ninaongea nae kama marafiki wa kawaida. Yani sijawahi kujisikia kama hivi kwa mwanaume mwingine. So...
0 Reactions
177 Replies
17K Views
Wajemeni unajua ni rahisi kua playa kuliko kua na mke. Maana nakumbuka huko zamani kuwaridhisha madem wakupita ilikua rahisi sana. Sasa na staajubu inavyokua vigumu kwa wife. Nawaza nimpe nini au...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
knock knock JF , leo niko kivyengine Commited to the life, yangu mimi na wengine About beautiful wife, wala si kitu kingine She makes my half, sikieni na muone Mpe...
0 Reactions
64 Replies
6K Views
Najua hujaolewa ndio kwanza unaghilibiwa, nakuomba ufikiri utofautishe mapenzi niliyonayo juu yako. Naandika huku nalia sina wakunifuta machozi enyi wanaJF hamunionei huzuni??? Wanawake wote...
0 Reactions
375 Replies
23K Views
There was a blind girl who hated herself because she was blind. She hated everyone, except her loving boyfriend. He was always there for her. She told her boyfriend, 'If I could...
0 Reactions
31 Replies
2K Views
Chukua karatasi, halafu andika jina lake lote....na kama unaweza pia weka jina la mwisho la mama yake kabla hajaolewa, halafu malizia na jina la utani la wife. Kwa mfano: Jackline James Mwamtambo...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Of all love songs out there I would propose that this one is the best one for me!!! It works everytime.. wimbo pekee uliowahi kunifanya nilengwe machozi..! Please enjoy!
0 Reactions
14 Replies
1K Views
WANA JF HABARI? Ni wakati sasa umefika wa kuwa nae mwandani.ili tuliondoe hili gurudumu la upweke.binti yeyote ambaye yuko tayari ani PM. nitamueleza uhalisia wangu na km tutakubaliana basi...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Najivunia kuwa na mpnz anipendae sana, kwa ujumla tunapendana bt da problem mwezangu yupo mbali na mimi, na sielewi ifanyaje ili niweze kuhisi yupo karibu yng ksb mara nyingi nikifikiria nahisi...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Habari za weekend wana JF Kuna hili suala la sitaki nataka hasa kwa wanawake..yani mtu unaweza kujikuta unatongoza karibu mwaka mzima mtu hata haeleweki. Sasa nashindwa kuelewa sijui ndio...
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…