Embu tumsaidie jaamaa yetu jamani
Kuna kijana wangu amependena na binti mmoja pale afrikasana..sasa wana muda gani sijui na sitki kujua
sasa amekuwa akiongelea sana maswala ya ndoa jana tukiwa...
Kwamba watu wawili mnaopendana mnaamua kuoana na kuishi maisha ya pamoja bila kutaka kuwa na watoto au kupanga kuwa na watoto. Je hili linawezekana katika jamii yetu au kila ndoa inapimwa kwa...
Kuna familia moja hapa niishipo ndoa yao imevunjika baada ya mwanamke kukuta pieces 2 za kondomu ndani ya suruali ya mume wake. Hadi sasa ni mwezi mmoja umepita tokea kizungumkuti hicho kitokee...
Matokeo ya kidato cha nne yanaonyesha wazi kuwa kwa sasa wavulana (wanaume) sasa ni midebwedo kwa watoto wa kike. Katika shule 10 bora, za kike ni saba, kama sijakosea. Aidha katika wanafunzi 10...
Hivi ni kweli mtu wako wa kwanza uliyeanza nae mahusiano ya mapenzi huwa hamdumu hadi kufikia ndoa?
Ataanza wa kwanza halafu atakayefatia wa 2,3,4.... Ndiye utakayemuoa/atakayekuoa.
Halafu ni...
Nimeshuka wanajamvi baada ya kukaa manyasini nikichungulia chungulia jamvi. Nimejaribu kujiuliza bila ya kupata jibu, hivi katika karne hii bado kuna mababa wanapiga wake zao!!.
Imenitokea mimi...
1)KANUNI YA NENO LA KUPENDEZA
Usipitishe siku nzima bila kutamka neno la kupendeza na la kukumbukwa na mwenzio.
2)KANUNI YA NENO "NIMEFURAHI KUKUONA"
Usikutane na mwenzio bila kumkaribisha...
Bandugu nawasalimu.. Nina miaka 30 sasa, sijaoa kwa kuwa bado antena ya maisha haijakaa sawa, nakamata chenga.!
Kuna tatizo linanisumbua sana, yaani haupiti usiku bila "kujikamua". Ninapopanda...
What Goes Around Comes Around
One day a man saw an old lady, stranded on the side of the road, but even
in the dim light of day, he could see she needed help. So he pulled up
in front of her...
Watani habari gani, nawasalimu jamani,
Kumi na moja i ndani, nakuja na hizi ghani,
Limenijia kichwani, wazo hili si utani,
Ndege akilia sana, karibu kutunguliwa!
Akijelengesha tungua...
My dear Brothers and Sisters
Greetings from the very bottom of my heart....
Nimekuwa nikiwaza kwa nini kina kaka huwa wanatuaccuse kina dada kuwa tunatumia 'Vitendea kazi" vyetu kuwanyanyasa...
I am like I said doing something abominable and I know. But I cant help myself. I am an existing member of (...) but I cant post this using my ID for fear of the stigma cos some of friends in...
Facebook is an addiction for many.
By Darius Mugisha (email the author)
Your Email Message Send Cancel
Posted Monday, January 24 2011 at 00:00
My friend Dedan recently realised that his...
wanajamvi,mi nimeoa.mke wangu kapata mimba ina mwezi mmoja.sasa naogopa kwamba nikifanya naye tendo tutamdhuru au kumuua mtoto wetu.mke wangu anasema hamna madhara ila mimi nimekataa kwani naona...
Ukiota unafanya mapenzi na mama au baba yako mzazi maana yake unatakiwa uharakishe mipamgo yako ya biashara.
Mwanamme akiota anafanya mapenzi na mwanamme mwenzie ni ishara ya kupoteza heshima...
Nimepokea salamu kutoka kwa mchungaji Masanilo kwa kupitia ujumbe mfupi anawasalimu sana, anasema yeye anaendelea fresh na kifungo alicho pewa, kifungo kikiisha Inshallah tutawakuwa nae tena. Ila...
HALELUYA!!!HALELUYAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
BWANA ASIFIWE WATU WA MUNGU LEO HII ASBH NINAO UJUMBE MWEMA MAISHAN MWAKO
NAO NI
LINDA SANA KINYWA CHAKO
NdUGU MPENDWA...