Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

. 1. NI MZIGO?? 2. SIYO ESSUE??? 3. HAKUNA JIBU SAHIHI?? 4. JE KUNA VITU FULANI VIKIPIKWA NA WANNAUME NI BOMBA ZAIDI?? 5. JE KUPIKA KWA ZAMU NI INALETA RAHA NAYO KWA WANANDOA?? 6. JE KUNA...
1 Reactions
49 Replies
5K Views
Ni kwel kumtambua mwanamke inachukuwa muda kuliko mwanamke kumtambua mwanaume katika mahusiano ndan na nje ya maisha yako hv inasababishwa na nini hii ki2 wana jf
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nina umri wa miaka 67, lakini tangu nikiwa kijana mdogo nikiingia chumbani na mwanamke kavaa kufuli jekundu kitu huwa kinasimama imata kama mnara wa Paris kwa muda wote. Je wewe umeshawahi...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Huwa natafakari sana hali inavyokwenda; Hivi miaka hamsini ijayo mavazi hasa ya wanawake yatakuwaje, maana kwa sasa ni karibu zaidi ya nusu uchi, kama maziwa wanazuia ili sehemu ndogo tu ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Katika kufikiria mwanamke Halisi wa Kiafrica dhahili hujua nini mmewe amfanyie au nini nyumba yake inataka, sasa hapa, mie mwenzenu mama mkwe ndo amekuwa na wasiwasi wa ndoa yangu kati yangu na...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Jamani habr zenu wadada. Naombeni kujua hili, wenzangu ktk maraha waweza mwamaliza mara ngapi yani ile raha ya ukweli huwa inajirudia mara ngp hafu hutaki paguswe tena? Nawasilisha.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Actress Jaime Winstone is warning young people about the risk of getting cancer through oral sex and is promoting a vaccine which can prevent it. In a new BBC Three documentary the...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Niliwasikia baadhi ya kina mama wakiteta kuwa ukiona mwanaume anaulamba kila wakati na anajipiga vitu vya bei mbaya, basi ujue ni mkware sana. Of course, tetesi hii ikanifanya nikumbuke...
0 Reactions
51 Replies
6K Views
Kuna classmet wangu wa zamani anahitaji ushauri wangu; yeye aliwahi kuolewa miaka minne iliyopita lakini aliachika kwa kushindwa kupata mtoto.miezi mitatu iliyopita aliolewa tena huku akiwa na...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Jamani nisaidieni, talaka inaandikwaje? Ni maneno hani hutumika? Au ipo kama fomu so wewe ukikosana my wife wako unajaza tu? Hebu tuelimishane.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
1. KITCHEN PART HAKUNA. 2. HAKUNA ANAYE JALI MAFUNDISHO KABLA YA NDOA KAMA ULIPEWA UNA BAHATI LAKINI MAJORITY YA WANAUME WANAINGIA KAVUKAVU. 3. TUNAJIFUNZA KAMA KUKU WA KIENYEJI ANAVYO TAFUTA...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Jamani kwa wale mlio katika ndoa na wote wawili mnafanya kazi. Mnafanyaje katika kuchangia budget ya familia yenu na kutatua matatizo ya familia zenu mliko toka bila upande mmoja kulalamika au...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Wana JF mpo? Nashindwa nifanye kipi niache kipi? Yule mchumba ninayetaka kumuoa amenipa kali ya mwaka, amenitembelea leo jioni,tukapiga story kwa cna tu,ila akataka kujua kitu kimoja kama...
0 Reactions
57 Replies
4K Views
It was lovely, loving and lovable A rose that loves me The petals that opened up And the honey that filled me With sweetness, with tenderness And firmness of a beauty So incredible So adorable So...
0 Reactions
32 Replies
2K Views
. KAMA KUNA VIUMBE VINAVYO JUA KUONYESHA VINAJALI MAMBO MAPYA BASI NI HIVI VIUMBE WANAUME. UKIWA UNAANZA URAFIKI, UCHUMBA ETC NA MWANAUME YOYOTE UTAHISI PARADISO YA DUNIANI, LAKINI KADRI MUDA...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
wadau nipeni ushauri kuna dem moja nimetokea kumzia kinoma kiasi kwamba nahisi ameshafahamu hilo.huu ni mwezi wa tano sasa tangu nifahamiane naye.nimeshamweleza kilicho moyono mwangu anadai...
0 Reactions
54 Replies
7K Views
... Kati ya: inkoskaz view profile view forum posts private message view...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
:heh: Wandugu ukweli kabisa hakuna mwezi siupendi kama wa January. Hii January ni kero jamani (japo sijui kama na kwa wengine pia ni kero). Mimi bado kid wangu mdogo ndo kwanza anagonga shule...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna jamaa mmoja alioa mke mrembo ambaye wazazi wake waliishi kama kilomita 20 toka alipokuwa anaishi jamaa huyo.Tatizo lilijitokeza siku ya kwanza mke alipoingia ndani,ile kuandaa ugali mezani...
0 Reactions
189 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…