Jamaa anademu wake ambaye wamefahamiana sio zaidi ya miezi miwili iliyopita, katika kumwaga sera jamaa alimhakikishia dem kwamba yupo serious na relation ikiwezekana izae ndoa. Katika kuweka mambo...
Katika Pitapita Kijana alimchukua mchumba wake mpaka kwa ndugu zake,
Ndugu zangu nimekuja kuwatambulisha mchumba wangu?
Ndugu. Ahsante tumemwona,
Kaka mkubwa akuuliza maswali haya
1. Please...
Kijijini kuku wa kienyeji wengi sana, na mbuzi nimekula vya kutosha na nimerudi wapendwa. Rose1980 njooo uchukue magimbi nimekuletea mamaa, wengine wooote mtapata viazi mviringo!!!! Halafu maviazi...
Kuna watu wamekuwa wakisisitiza eti kama una mpenzi ambaye unakusudia kuoana nae, ni muhimu uwe umewahi kufanya nae mapenzi kabla hamjapelekana hata kwa wazazi. Wanadai hii inasaidia kumjua...
Asalaam aleykum wana JF wenzangu jamani mwenzenu nimekuwa nafuatilia jinsi desturi ya kuchangia na kufanya sherehe kubwa inavyozidi kushika kasi, ikipelekea ule wigo wa kuomba michango kupanuka...
Umekua huaminiki kwa muda mrefu, unadaiwa madeni hulipi, unatoka nje ya ndoa, unatembea na wake/ waume wa watu, unatapeli. Umejitenga na uso wa Mungu, huna hofu ya Mungu hata kidogo, huabudu tena...
Nimewahi kufanya kazi kwa kipindi fulani katika Hospital ya Muhimbili, nikiwa pale nilikuwa nikisikia habari ambazo ni ngumu kidogo kuzirasimisha kutokana na unyeti wake.
Kuna daktari mmoja ambaye...
Sikukuu za Christmas na Boxing Day zimeisha. Wengine wamejirusha na family zao marafiki ndugu na jamaa, wengine ndoa zimevunjika, wengine wamekamatwa kwa fujo, wengine wametolewa bikira, wengine...
Mambo vipi familia kubwa ya JF!!
Kwanza naomba samahani kwa hii maada lakini nipo serious kupita maelezo!!
Nilikuwa na demu wangu 2lipendana sana lakini wazazi wake walimpenda zaidi coz waligoma...
TUMEDANGANYWA NA UTANDAWAZI
1. Hivi ni kweli kuwa kila tunacho kiona kwenye medi ndio maisha halisi ya Mzungu .
2. Je kuna umihimu wowote kuendeleza tamaduni zetu ambazo tuliachiwa na babu zetu...
Niwieni radhi kwa swali hili. Wengi hata hawafungi milango sometimes. Hivi mkikutwa mpo kama mlivyo zaliwa na mpo kwenye shugli na mtoto wenu wa miaka 8 mtafanyaje.
1. Mtamwambia mlikuwa...
Habari za mikesha Bandugu zangu!!!
I hope wote 2me enjoy Xmas, Mimi nilitengwa kidogo na nimpendaye siku hizi 2 then niliamua kutoka na kwenda sehemu 1 ya starehe!!
Wakati nipo pale nikawa...
WASHINGTON - German researchers who used a bone marrow transplant to treat a cancer patient with the AIDS virus, have declared him cured of the virus - a stunning claim in a field where the word...
Ghasia aagiza anayeambukiza Ukimwi abanwe
Na Martha Fataely, Moshi
MWENYEKITI wa baraza la wafanyakazi wa ofisi ya taifa ya takwimu ameagizwa kumchukulia hatua za kisheria mtumishi...
SHANGHAI - A free clinic offering sex education and advice for youths, which has operated in the city for five years, was closed this week because it was not attracting enough visitors.
The...
Jamani kwanza kama nitakuwa ninavuruga Taratibu za Kupost hii thread hapa nisameheni, Leo nimemla bata, kumbe kweli kama unataka kufaidi Mle Ukiwa umempakata....Ile nyama ilosemwa ya nyuma kiama...
Kuna rafiki yangu kaniambia kuwa mkewe amemuomba watengane vitanda kwa kuwa mama hataki harufu ya pombe na sigara. Rafiki yangu hataki kufanya hivyo kwa kudai ndoa ni kuvumiliana; na zaidi kuwa...
Wanajamii salaam,
Nimepatwa na mshtuko wa kumalizia mwaka..siamini macho yangu mpaka sasa hivi!
Ilitokea jana jioni,
Nimetoka kwangu mida ya saa kumi na moja jioni kwenda kununua viungo vya kupika...
Sijamaliza miezi sita tangia nioe, na kwa bahati nzuri mke wangu ni mjamzito .
kila siku huwa nafanya nae mapenzi napiga bao moja au mawili;
nimewahi kusikia ukiendekeza unaweza kudhoofisha afya...