Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

KITUO CHA KUTIBU NDOA NA MAHUSIANO. KWENU WADAU, NIMEFIKIRIA KWA UNDANI NA NIMEUONA NI MUHIMU SANA NIANZISHE KITUO CHA KUTIBU NDOA ZILIZO PASUKA NA MAHUSIANO YANAYO SUASUA. HUDUMA ZOTE ZITAKUWA...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
HUU NI UWONGO MKUBWA KABISA, TATIZO NI WANAUME TATIZO NI WANAUME NA SI WANAWAKE. Kwa nini wanaume wengi wanaamini huu uwongo nab ado hawataki kuelewa. 1. Hofu ya kutokuwa na sauti katika...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Hugh Hefner's Christmas was extra, extra jolly this year: He's engaged again! The Playboy founder, 84, is engaged to Crystal Harris, his 24-year-old girlfriend and Playmate, a Playboy rep...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu mnakumbuka michezo yetu utotoni? Mimi kila mchezo nilikuwa either Baba, jogoo, Ng'ombe lile dume au Mbuzi dume, au chochote ilimradi iwe dume tu, then mama lazima awe yule mdada mzuri sasa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
.. Mie ni mtu wa makamo kiasi. Nimeachwa (japo si kwa mambo ya kushindwa ngono - na kumtoa mtu (mwanamke) out sishindwi-, je kuna mwanaJF (mwanamke) anaetafuta mwanaume alie-serious (Tigo situmii...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
BINTI MMOJA ALIBAHATIKA KUWAHI KUOLEWA NA KAHENDISAMU KAMOJA ILA SIO KAPIGA MIZNGAKALE KABINTI KALIOLEWA NDANI YA AJIRA GAFLA IKASITISHWA AKIKA AKAKAA KAMA MIEZI 7 BILA AJIRA AKAKAUTANA NA RAFKIE...
0 Reactions
54 Replies
5K Views
Njia sita za kutibu majeraha yatokanayo na maumivu ya kumfumania mpenzi wako.................. 1) MUDA...................ndiyo tiba nambari moja............wahenga waliposema wakati ukuta walijua...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Una mpenda mumeo? Unampenda mkeo? Inasemekana: huanzia utotoni. Mtoto wa kike ampendaye sana babake atakapokuwa mtu mzima atakuwa na mapenzi makubwa kwa mumewe. Mtoto wa kike ampendaye sana...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Siri nzito za akina mama............ 1) Wenye vichanga na hawawezi kuvihudumia au wana mipango mingine ya masafa marefu kama kuolewa.....................huvitupa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
"katika ugomvi wa mke na mume, mke aliamua kwenda kutafuta udi na kufukiza chumbani na mwilini mwake" mume aliporudi na kupata mshituko wa harufu iliyotanda ndani, mke alidanganya kuwa ni...
0 Reactions
28 Replies
7K Views
Dunia haiishi vya kushangaza,mwenzenu jana nimepata mgeni mtoto wa kijerumani,na kwa kuwa tulipanga anitembelee nikamwambia nitakupikia chakula cha kiafrika.Na kweli mtoto wa kiume nikapitia kwa...
0 Reactions
77 Replies
7K Views
Nimeshawahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanawake mbalimbali kwa nyakati tofauti na pia katika vipindi hivyo nimejaribu kuwa na wapenzi wa pembeni (Sub) kwa siri sana na sijawahi kushtukiwa...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Wale waloishi au kukaa maeneo ya Dodoma mnajua samaki wa kule jinsi walivyona shombo, wale wa kanda yetu ya ziwa Victoria mnajua Sato na Chengu zinavyochengua, kwa wale wa Pwani mnajua pweza...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Natumai wote mu wazima wa afya njema. Wakati tunapoelekea mwishoni mwa mwaka 2010, nimeona nitoe pongezi zangu za dhati kwa wanajamii forum wote(mods &members), hakuna ubishi kuwa JF imetufungua...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
God is Love Christmas is all about love Christmas is thus about God and Love Love is the key to peace among all mankind Love is the key to peace and happiness within all creation Love needs...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
  • Closed
Wapwaz na binamuz wote.Ni matumaini yangu kuwa wote mko salama na wengine wako mapumzikoni/ baada ya safari ndefu ya mwaka mzima. Mwaka ndio unaelekea ukingoni naamnini wengi tumejifunza mengi...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Ndoa ya wake wengi ina mambo.....................hebu angalia huyo jamaa kagoma kumzika au hata kupokea maiti ya mke wake kwa madai ya kuwa itatia mikosi nyumba mbili za wake wake wengine walio...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna mambo mawili ambayo nimeya-experience ktk mahusiano. Mfano wanawake wanaweza wakakutana njiani, wakaanza kusalimiana kwa kubusiana ktk mashavu then ukasikia "Jamaniii mpenzi wangu...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
wapwaz, binamuz, ladies and gentleladies, Nawatakia heri na baraka tele katika sikukuu hii ya xmas. mkafurahi kwa jinsi mlivyopanga, hata jambo baya lisitokee miongoni mwenu.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jaman mi nawaza nawazua lakn jb cpati? Nimpe zawad gan mpenz wangu(ke) ajisikie furaha? Nisaidien jaman
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…