Wapendwa
Mashemeji zangu mabbibib na mabwana,Kwanza nawapongeza kwa nyimbo zenu zinavyopendeza na
haswa jinsi mnavyocheza kwa kweli ukiangalia nyimbo za wahaya wasukuma hata kama una hela...
Katika sehemu mbalimbali nilizowahi kupita, Nimekuwa nikifuatilia mabinti ambao hutumia ulabu na nimegundua wengi wao ni wepesi kjieleza kwa wenza wao jinsi wajisikiavyo kimapenzi na hisia zao na...
Una kidemu chako kitaa, ambacho umedumu nacho kwa miaka kama miwili hivi ghafla siku moja unakutana na Bro wake mara anakuambia kaka nashukuru kwa kuwa unammega Dadaangu, hongera kaka kwa hilo...
1.Mwanaume akiagiza kuku mzima, chipsi sahani tano, mayai kumi, na soda kubwa (2ltrs) mbili, miwa, ndizi mbivu, n.k na akala na kuvimaliza watu wanamsifia kuwa mwanaume anafukia. Akifanya hivyo...
jamanini, my little angel landed at 9.30am...scored 9/10. We are gud, maumivu tu from the incision.
Thanks alot for your prayers n thoughts.mbarikiwe...
....Nimetokea kumhusudu...tunafanya naye mazoezi kila w/end.....pia tunajumuika katika mitoko mbalimbali....ni msichana mrembo, kaumbika, anakazi yake na msomi.... lakini nashindwa kumuingia...
Wana JF naomba tusaidiane mawazo hapa:
Huu ni msimu wa sikukuu ambapo wengi wanapenda kutoa zawadi za aina mbalimbali kwa wenza wao. Tukiweka roho za uchoyo pembeni, kila mmoja atajitoa kwa...
Umewahi kutumia dawa yoyote ya kuongeza nguvu za kiume ili kukuwezesha kufanya mapenzi kwa muda mrefu na mtu asiyemke wako au mke wako zinazotokana na wachawi?
· Umewahi kutumia dawa...
Habari ndugu wapendwa wana Jf, heshima kwenu wote. Naomba mchango wa mawazo juu ya hili: nina girl friend ni mzuri sana,kazaliwa 87, ila tayari anawatoto wawili ila ukimuona ni kama hajawahi kuwa...
Wengi wao ni watenda dhambi wakubwa walio kosa soko mtaani wakaingia kanisani ili kupata ndoa, ukimuoa anarudia tabia zake zilezile za zamani.
Mwisho wa siku ni ndoa ya mateso na majuto.
Kua uyaone jamani...mama mkwe wa rafiki yangu ambaye pia namuita mama Mkwe kila siku ananinengulia jamani, mara ananikaribisha kwa maongezi na anajua kabisa mie na mke na sijawahi msikia akimsifia...
Umeoana na mwenzako kidini,kimila au kiserikali.Kimila naingiza umo wale wenye ku cohabit.Unaona mambo yamebadilika.
Mara mwenzio kabadilika sura, tabia na kila kitu. Anakukera mwanzo...
Haipiti wiki bila kusikia jinsi wanawake tulivyo viumbe vya ajabu!!Hatueleweki...tunasema hili tukimaanisha lile...tunafanya hili wakati tunataka lile, yani hatuna moja.
Ila ukweli ni kwamba...
Ndugu wana JF
Wengi nadhani mliliona tangazo hili
"natafuta mpenzi wa kike kwa ajili ya mahusioano ya kudumu,
mimi ni mwanaume single na ninaumri wa miaka 25, ningependa awe na umri wa kuanzia...