Salaam jamiiforum
Biashara ndiyo mfumo wa maisha tangu enzi na enzi,watu wananunua na kuuziana bidhaa,
Wengi nadhani tunajua habari za Trans Saharan trade,bater trade n.k.
Leo tuangazie...
Bhana uku na uku uku na kule nikajuana na single mama mmoja mzuri sana sura trakon 👍 yaani yupo kamili kweli
Kijana nikatema vocals nikakaziwa nikawa na force nikimsisitizia kuwa Mimi nimemuelewa...
Wadau hivi hizi dawa za mapenzi wanaouza wamasai zinafanya kazi kweli? Kuna rafiki yangu aliniambia kuwa ukitumia zile hata demu awe mgumu vipi atakubali tu.
Je, kuna ukweli wowote na hazia madhara?
Hii tabia ya mke wangu ya kunisearch na kuchukua pesa zangu kila nikilewa inaniumiza sana!
Na kila nikimuuliza anaruka mita Mia! Kwa ambaye alishawahi kutana na hii kadhia aliisolve vipi wakuu...
Mwanamke wa kuoa ni muhimu kwao na kwa mwanaume kuwe na uwezo sawa kiuchumi,, kielimu na kidini???.
Wanajukwaa habari zenu,natumaini mu wazima wa afya .mada ni kama ilivyotajwa hapo juu.
Katika...
Sasa mtu ukute amesoma, ila ajira hana, mume wa kumuoa hana, anafika miaka 30, window ya kupata kupata ujauzito inazidi kushuka, mnataka afanye nini?
Kuliko kukosa vyote anaamua japo apate...
Wakuu,
Mjue hamna kitu kigumu sn Kama kukatisha penzi jipya, Kwa mtu uliemuelewa Sana, eti kisa TU changamoto za maumbile yake.
Kiukweli inaumiza mno,
Unakutana na Binti umempenda, Ila ukisex nae...
Inatia hasira sana unaponyimwa haki na mke wako wa ndoa, wao hawajui tu ni kiasi gani tunakua na hasira.
Halafu mtu amelunyima anakuuliza, "umekasirika" Sasa unajiuliza hivi huyu anaakili kweli...
Halafu ilikuwaje katika Harusi yako ukanisahau kabisa Kunialika Mimi Kaka yako kutoka Mkoani Kwetu Mara kwa Wababe?
ANGALIZO
Tafadhali ukijijua Wewe ni Mhaya, Mnyaturu, Mrangi, Mnyiramba, Muha...
Habari zenu vijana wapambanaji.
Nimeikuta sehemu nimecopy na kuiwasilisha kama ilivyo, twende sawa hapo chini kwa kuangalia mambo 25 ya kuzingatia unapoenda kununua Utelezi.
Mambo haya pengine...
Kama una tatizo la kiuchumi kwa muda mrefu jaribu kupata mtoto...
Mtoto anakuja na sahani yake mambo Yako yanaweza kufunguka. .......
Wa kwanza asipoleta pandikiza mwingine ..jaribu kuleta...
Nimekuwa kwenye mahusiano na wanawake wa kibongo kwa miaka kadhaa, na kwa kweli, nimejifunza vitu vingi vya kunifanya nijute. Sio kwamba wote ni wabaya, lakini wengi wao wana tabia ambazo...
asilimia 99 ya wanawake wanaingia kwenye mahusiano kwa ajili ya pesa na sio mapenzi ya kweli. ukiondoa pesa kwenye mahusiano au ndoa asilimia kubwa ya wanawake hawatoona sababu ya kubaki kwenye...
Habari za saa hii wana Jf
Naomba msaada wenu wa mawazo juu ya swala hili, kama kichwa cha habari kinavyojieleza;
kwa miezi mi3 hii nmekua na mahusiano ya kimapenzi na kijana karibu na maeneo...
Eti ni udhaifu 🤷🏾
Hivi ni kweli wanaume mnafikiri kwa namna hii au ni baadhi tu ya vijana wasiojielewa?
Kama humuombi mkeo au mpenzi wako msamaha ukikosea, huwa unamalizaje migogoro kwenye...