Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

REF: INSTALLING HUSBAND ! A woman writes to the IT Technical support..... Dear Tech Support, Last year I upgraded from Boyfriend 5.0 to Husband 1.0 and I noticed a distinct slowdown in the...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
WAPWA NA MABINAMU nina rafiki yangu ambaye huwa ananunua beseni zima la ndizi la dada mmoja hivi anayetembeza ndizi akisha nunua huyu dada anakaa kwake mpaka jioni anamchakachukua mpaka jioni...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Kati ya mambo ambayo wanawake wengi wanakosea au hawajui ni tabia za wanaume. Kimsingi binti au mwanamke anaposhawishiwa na mwanaume na kuwa na uhusiano wa kimapenzi, mara nyingi hupanga malengo...
1 Reactions
8 Replies
6K Views
nasikia kwamba wanaume wafupi manayajua mapenzi na wamejaliwa mfagio wenye saizi nzuri ambao hudatisha wanawake wengi. wanaume wafupi huwa na saizi isiyokera na pia isiyohitaji ufundi mwingi ili...
0 Reactions
194 Replies
22K Views
Baada ya kuoa na nakuvalishwa pete ya ndoa je nikiivua hiyo pete kuna kosa??kuwa nayo nakutokuwa nayo kidoleni ina sababu??
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Fikiria mmeoana na ndoa yako ina miaka zaidi ya kumi. Wote kibaiolojia mko fiti kabisa...!! lakini ndoa yenu haijabahatika kuwapeni mtoto ilhali jitihada za dhati...!! wewe kidume umechepuka...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Paid to do it, but fails to make his friend's wife pregnant after 72 Attempts A nice story, with surprising end: In Stuttgart, Germany, a court judge must decide on a case of honorable...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Kila kukicha wimbi la ukahaba linaongezeka ingawaje watu wanaelimishwa kuhusu ukimwi, halafu mbaya zaidi watoto nao wanajihusisha na ukahaba jambo ambalo ni hatari kwa afya na maisha yao, je...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Hivi katika mizunguko yako unakutan na demu Bomba mnaonge mnakubaliana na matumbua vyuku byere!!matanuzi yakufa mtu mnatoka club usiku mnaenda kwake unakuta anakichanga cha miezi 2!!na wewe huku...
0 Reactions
80 Replies
9K Views
Habari zenu wana JF, Napenda kuomba msaada wenu wa mawazo ili na mimi nipate ushauri wenye hekima. Nina rafikiangu alipata mchumba wakati yule kaka anamuomba dada huyo awe mchumba wake mungu...
0 Reactions
60 Replies
7K Views
Salaam aleykum! Wapendwa naomba mnijuze, mme wangu kila akisafiri anafunga kabati lake la nguo hii inaashiria nn? kipindi cha nyuma nilikuwa nampangia nguo zake baada ya kizinyoosha nikakuta kanga...
0 Reactions
51 Replies
5K Views
Hii ni kwa wale wapwa na mabinamu hasa hasa Teamo, Finest, Asprin, Keizer, Roya roy, Bigirita, G-Y etc ....pale mnapotoka kwenye infii wakati mnawai home.... 60 km/h - "It is well with my...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
usimtumbulie macho au kumlaumu kikojozi ujue hilo ni balaa.....................wengi wa vikojozi hutokea kutokana kuishi kwenye mazingira magumu wakiwa watoto.............................yaani...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
wana jf ,hii ni shida kiukweli natafuta mrembo lakini shida nikimfata mistari yote inapotea mpaka poz lina kwisha..naombeni maujanja
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Umeoa/umeolewa ushauri , mawazo au maelekezo yapi ni ya kuya fuata? unayopewa na mmeo/mkeo au wazazi? na kama mwenzi wako anafuata sana yale anayopewa na wazazi kulioko ya mmewe/mkewe je yupo sasa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
yaani kila ukienda sehemu utakutana na jina hili " MA.TA.KO. bar Hivi hili ninini kinapelekea kuitwa hv? Hata jina la bar linakuwa ni jingine ila duh linapachikwa hili jingine mmh inanikera sana...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
During one of our seminars, a woman asked a common question. She said, "How do I know if I married the right person?" I noticed that there was a large man sitting next to her so I said, It...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kumekuwa na wimbi kubwa la ushoga hapa nchini kwa sasa.Ni aibu na fedheha kwa jamii yetu ya kitanzania kuiga tabia hii ambayo ni kinyume kabisa na maadili yetu.inashangaza sana pale unapokutana na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimehamia nyumba ingine hivi karibuni, ya kupanga. Ni upande wa nyumba, chumba kimoja na sebule. Kasheshe ni jirani wa upande wa pili. Dada mmoja hivi. Hapo miaka ya nyuma kidogo nimewahi kuwa na...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Yaani ipo njemba moja ambayo ilimganda binti wa watu hadi akamegewa...........baada ya kuonjeshwa asali jamaa sasa adai hakufurahika na aona bora ajinasue..........wakati mwenzie afikiri sasa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…