Mpenzi anataka nikamtambulishe kwetu, tupo kwenye uhusiano mwaka wa saba sasa. Bado cjafikiria ndoa hata kidogo.
Naomba kujua umri mzuri kwa ke na me kuoana.
Pia nishaurini namna ya kumkatalia...
Wife is like TV
girlfriend is like MOBILE (Cell)
At home watch TV
go out bring MOBILE
No money, sell TV
Got money change MOBILE
Sometimes enjoy TV
but most of the time play with MOBILE
TV is...
ni muda mrefu sasa tangu nilipoanza kumwambia tutoke wote,lakini amekuwa akinizungusha zungusha akileta sababu nyingi ambazo mimi najua ni uwongo tu na hakuna lolote,jamani hivi kama mpenzi...
Wife is like TV
girlfriend is like MOBILE (Cell)
At home watch TV
go out bring MOBILE
No money, sell TV
Got money change MOBILE
Sometimes enjoy TV
but most of the time play with MOBILE
TV is free...
Nimepata haka ka article kwenye mtandao na nadhani katatufaa wengi humu!
Soma, Tafakari na kama imekukuna, Chukua hatua
How Do You Know If You Married The Right Person
During one of my...
Most the students when asked why petting they said they wanted to express love to their partners. Since most of the young people lack the ability to make flowery romantic speeches, they try to...
Wanajamii,
Kwa kweli mpaka sasa siku zinavozidi kwenda, furaha yangu ya kuwa Mtanzania inazidi kupungua. Nasema hivi kwa sababu nilizonazo.
1. Suala la Umeme: Umeme kwa sasa umekua kama ni...
Jamani mie nauliza nipate kufahamu kuna rafiki yangu anaishi na mwanaume (hawajafunga ndoa) Jana kanipigia simu kuwa huyo jamaa kapata nyumba ndogo na anamwambia kuwa waachane lakini mdada bado...
This is a powerful message in our modern society. We seem to have lost our bearing & our sense of direction.
**Story of Appreciation**
One young academically...
mnh, jamani?
Kwenye haya maisha ya 'Baba & Mama' (Ndoa) kuna wengine wanatushauri kuwa wakweli, ati "only the truth will sets us free!", kuna wengine wanatuonya, "kinywa huponza kichwa!"
Je...
Dear friends
Having some trouble from an old friend, who keeps calling me with abusive phone calls, midnight calls, beeping etc. I am using an iPhone, how can I stop her phone calls from...
wana jamvi naomba msaada wenu niweze kufanikiwa katika hili linalonisumbua akilini na nadhani wengi pia ni gumu kwao,nifanyeje lipi basi nijenge uaminifu wa hali ya juu sana kwa mpenzi wangu,yani...
Mwanamke aliyeolewa na akawa anapata maudhi fulani fulani kutoka kwa mumewe wajua huwa anajibu mapigo kivipi?
Dalili ya kwanza ni mapishi yanaanza kuwa bora liende........na ule ustadi uliouzoea...
This is a powerful message in our modern society. We seemed to have lost our bearing & our sense of direction.
**Story of Appreciation**
One young academically excellent person went to apply for...