Naomba kuuliza: hivi wanawake huwa wana nguvu za kike?, huwa wanaishiwa/pungukiwa nguvu za kike?. Huwa naona matangazo- "dawa ya kuongeza nguvu za kiume". Mbona sijaona tangazo la kuongeza nguvu...
Nimepitia kwa karibu wanasiasa ndani ya kambi ya chama tawala cha ccm na nimebaini ya kuwa wengi wao afya zao ni mbaya na ingawaje hawako tayari kutueleza wanachoumwa kiukweli ukweli lakini dalili...
Wanajamvi nina mjadala/ swali. Though wengine wanaweza kuona ni private but binafsi naona sio vibaya tukishare mawazo
Je hygienicallly mwanaume/ mwanamke anahitaji kuwa na minimun ya chupi...
Nimesikia kwenye heading za magazeti ya kwamba chadema wamepata viti maalumu rasmi bungeni,nini kinamaanishwa hapa?kama kuna mdau anaelewa vizuri kuhusu hili basi atupe data.
Wana JF huyo Mdada anahitaji ushauri
Mimi ni msichana wa miaka 29 nina elimu ya form 4 na nikasoma Secretary VETA miaka 2 pamoja na Computer n.k…Nikabahatika kupata kazi kwenye kampuni...
...Kama ningepata nafasi.... ningeomba nipewe ruhusa ya kuongea na aliyefanya mapenzi na mbwa....japo kumuuliza tu ilijisikiaje wakati anfanya kitendo hicho na kitu gani kilichomfanya amfuate mbwa...
Waume wengi wa siku hizi (sio wote) ndio maana tunawaita wanaume suruali mwanaume kazi kupiga mizinga mara nitumie vocha, au anakuita kukupa ofa halafu anasema mimi nalipia chakula vinywaji...
Enzi zetu barua kama hii ilikuwa ukishaiandika, unatafuta nafasi ya umdhamiliae awe peke yake ili uweze kumkabidhi, kwa hiyo waweza kukaa nayo kwenye mfuko wa madaftari hata week nzima.
Na je...
Mkuu ulituahidi kuwa utarudisha chat room alhamis.....nilikumbuka lakini nikajua utakua unamalizia malizia kuirekebisha.....na pia shughuli za uchaguzi zimepungua kidogo.....na week end ndio hii...
Binti wa Miaka 10 Ajifungua Mtoto Hispania
Wednesday, November 03, 2010 1:33 AM
Mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 10 wa nchini Hipsania amejifungua mtoto baada ya kufanya mapenzi na mtoto...
Pamoja na uzoefu wangu nakiri hii iliyonikamata sasa balaa. Inanimalizia hela zangu lakini kuchomoka nimeshindwa. Walahi nikifanikiwa kuchomoka hapa na ISC nahama...
Baada ya kuishi kwa miaka ya kutosha Dar es salaam... baada ya kuchakachua na kuchakachuliwa na maisha(katika anga zote unazojua)...nadiriki kusema..DSM HAIFAI...HASA KWA MAISHA YA KULEA...