Ni mara ya kwanza kuandika hapa JF lakini nimekuwa nikisoma mara kwa mara post nyingi hasa kwenye hili jukwaa nimetokea kuvutiwa na post ya baadhi ya members na pia ningependa siku moja niwaone...
Siku za hivi karibuni nimekumbana na kisa hiki. Rafiki yangu ananiambia mke wake hataki kushiriki nae kisa ananyonyesha. Hoja yake ya mke ni myth iliyoshamiri ndani ya jamii kwamba sperms huchafua...
Nimepata swali nikaona si vibaya wana JF mkanisaidia.Nina jamaa yangu ana miaka 34.Siku moja huyu jamaa alikwenda kumtembelea dada yake anayeishi kama 50km toka kwake.Alipofika huko akakutana pia...
Leo wakati wa chakula cha mchana nikatoka na kabinti kamoja kageni kametoka chuoni siku za karibuni kwa ajili ya kupata mlo wa mchana.
Tukaenda florida pub na kuagiza mexican chicken na chips...
Hey yooh!...I know!i know it has been a while...but i just want to let you all know that I am so excited, I am getting Married to Nyani Ngabu. There is so much to do, so many plans to make. I am...
Life is too short to wake up with regrets. So love the people who treat
you right. Love the ones who don't just because you can. Believe
everything happens for a reason. If you get a...
Huu mkasa umetokea, lakini ichukulie ni wako...! Imagine wewe unaye BF/GF/Wife/Husband, ambaye upo naye kwa miaka zaidi ya mitano sasa, na pengine mmeshazaa! Na kama ulitokea mapishano ni...
Take care of your parents....
A simple man tells how his booking an air ticket for his father, his first flight, brought emotions and made him realize that how much we all take for granted when...
1. No body is supposed to say "I want everything" except women
2. When a man likes something, he will think what he will do to get that thing.
3. When a woman likes something, she will figure out...
Hi people,am so desperate,before i tell you my story please dont judge me jus help me with yo advice.
Am a female afed 27 years with two kids. am a graduate. i have been in love with my sister's...
Mwezi ujao tunatimiza miaka mitano ya ndoa na my lovely wife wangu. Je nifanye nn kizuri kama kumbukumbu ya hii siku. Naomba ushauri nifanye nini kizuri kwa mke wangu na familia yangu kwa ujumla...
Hi wana JF?
Ni hivi, kuna lililonikabili hivi sasa mpaka nakosa raha. Nimeoa na nimekuwa nikiishi na shemeji yangu wa kiume pamoja na dada yangu.
Huyu shem kaanza kujitegemea takribani miezi tano...
hembu tufurahi pamoja leo na nacheka tu sijui na nini hembu leteni mambo mazuri niendelee kufurahi kuna siku unaweza amka na kisirani tu
GREAT DAY LOVE U ALL MWAAAAAAAAAAAAAAA
Jamani wana JF (the Home of Great Thinkers), naombeni niwaulize kuhusu hili;
Mtu mwenye BF/GF/Husband/Wife, lakini inapotokea kwa namna moja ama nyingine, akajua kuwa mwenzie anachukuliwa na...
jamani kwa wale wenye ndoa help me out,nasikia ukishaingia kwenye ndoa i mean ukiolewa ni lazima kilasiku mfanye lile tendo wewe na mwenzio,sasa mimi nauliza hivi huwa hamchokani?au haukinai?hiyo...