Unajua hapa kunakuwa na watu wanakuwa na maneno matamu kwenye chat zao kiasi cha kutamani kama ningepata wasaa nae...!
Lakini sasa sitamani tena
Juzi nilienda kwenye ofisi ya secretary mmoja...
Imethibitishwa kuwa, wanawake walio wengi wana viwiko vyeusi.
Weusi au usugu huo unatokana na wao kupendelea au kulazimishwa kutumia kwa muda mrefu staili moja ya kifo cha mende.
Utafiti huo...
Nina umri wa miaka 37 na nimeoana na mke wangu huyu miaka mitani iliyopita na tumejaaliwa mtoto mmoja wa miaka mimme na nusu sasa.
Maisha yetu kiuchumi na kimahusiano ni mazuri...kama kuna...
Nikiwa nimetulia pahala napata 'urithi wetu'...:A S-coffee:!! kaingia braza mmoja kapaki mkoko, akakaa meza ya jirani kaanza kuagiza kinywaji!! muda mfupi kaungana na kundi la watu watau akiwemo...
Hivi Wajomba na mashangazi, ma-braza na masiteri namba niwaulizage....?!!
Hivi, kwa zama zetu hizi za leo na utandagiza huu, wangapi wanaweza rudi kijijini kwenda kusaka demu au mvulana ambae...
John na Sauda wamekuwa marafiki machoni kwa wanajamii kwa muda mrefu. Lakini hivi karibuni wamekuwa na ugomvi usiyo na maelezo. John alikuwa akishirikiana na Sauda kwenye biashara zao na hata...
Wakuu naomba kuleta kwenu.
Kutokana na siasa za tanzania unavyozijua kampeni umesikia nyingi!Lakini leo ni siku ya Vijana Duniani,
Je katika kampeni za wana siasa wetu ulisha wahi kusikia mgombe...
Ukijaribu kuwauliza baadhi ya wale wa "enzi za mwalimu" watakuambia siku zile akina mama zenu wengi hawakuwa na kazi na hata kama aliandika mfanyakazi wa ndani yeye alilijitahidi kila kitu...
Kuna baadhi ya watu wanaopenda kubakia na vitu vya wenzi wao ikiwa kama hao wenzi wao hawaishi nao. Eti vitu hivi huwa vinawakumbusha kuhusu hao wenzi wao na huko waliko
Sasa kitu ambacho...
Ndugu zangu wana JF na umma kwa ujumla tujiadhari na kujikinga na gonjwa ili la UKIMWI dawa iliyopatikana bado inafanyiwa uchunguzi kabla ya kuthibitishwa na WHO kuwa inatibu ili gonjwa. Kwa hiyo...
Natoka kwa Job naelekea zangu home nafika nyumba moja kabla ya kufika kwangu (kwa jirani).
Nakuta Mke wa jirani anafua nguo za watoto wake watatu (3) wote wa kiume huku wakiwa wamemzunguka mmoja...
Habari wana JF!
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 33, nimeoa na ndoa yangu ina miaka miwili hivi sasa. Na nina mtoto mmoja.
Kabla sijaoa, mimi na mpenzi wangu tulikuwa tunaweza kufanya mapenzi...
Jana nimesoma kwenye gazeti habari kuhusu mtoto wa kike wa std 6 wa miaka 13 amefumaniwa akichinja kobe porini saa 4 asubuhi muda wa class....
kwa mujibu wa walioshuhudia (ilikuwa Moro mtoto...
Wapenzi,Wapwaz na Binamuz wote.Salaam
Kwanza nichukue nafasi hii kwa wale ambao bado hawajafahamu kuwa mimi ndio Gender Sensitive,kutokana na mambo fulani fulani ya kisiasa imebidi nije na jina...
Wenzangu recently tulikuwa tuna discuss wanaume tunaofanya kazi nao na inaonekana kwamba wale ambao wamesha oa ndiyo husumbua warembo ofisini sana tena hata mukienda trip official na mwanamume...
Wenzangu juzi mwenzangu akaniambia eti mumewe huwa analeta movie za porno waone kabla waelekee bedroom.yeye alisema kweli zinamleta juu kiasi ambacho mumewe kwa kawaida hawezi, tena haraka mno...
:bounce:Je umeshawahi kumkumbushia mpenzi wako jinsi alivyokuwa akikutokea/tokewa mpaka mkawa wapenzi na kuvuliana makufuli na kupeana raha kwa mara ya kwanza?