Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Wapendwa.. nimeinasa asubuhi redioni katika hekaheka za kusaka ugali wa kila siku.... Zaidi ya asilimia 50 ya vdume waliopima vinasaba(DNA) vya watoto, wameonekana si baba halisi(kibaiolojia) wa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
MFANYABIASHARA Josephat Chengula (27), ameuawa kwa kupigwa risasi bega la kushoto baada ya kumfumania mke wake akiwa na mtu mwingine na kumtoza faini ya Sh 350,000 kitendo ambacho kimetafsiriwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habarini WanaJF. I met my long lost friend and we were sharing what has been happening in our lives. Huyo dada is full of life, has everything going for her, intelligent, and has never given up...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Habari wana jamii, Naombeni msaada wenu wa kiushauri, na naomba uwe ushauri wa ukweli kutoka mioyoni mwenu, maana hii ni true story its not a joke haya ni maisha yangu, mpaka nimeamua...
0 Reactions
67 Replies
7K Views
Recently mpenzi wangu kaniambia kwamba anataka kushift mapenzi yetu from lovers to just good friends, sikukubalianaa nae kabisa nikamwambia kama kweli ananipenda basi tuendelee kama tulivyokuwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Hivi mwanaume ni lazima ukunje ngumi kwa mkeo? Alafu unatembeza kipigo huku umevua sharti kama unapambana na dume.
0 Reactions
81 Replies
8K Views
Wadau jamani hapa kuna tatizoo!! Hivi naomba kuwekwa sawa katika hili jambo kwani nafahamu mambo haya kwenye jamii yanajirudia lakini inategemea ni wakati gani na mazingira yapi!,Mpenzi wangu...
0 Reactions
81 Replies
7K Views
Yawezekana hizi enzi zinaelekea ukingoni likija suala la usasa na ujana. Wadada kuanzia miaka 10 hadi 30 hivi hawatamani tena mavazi hayo. Wanapenda suruali na vipensi. Hii inanifanya kufikiria...
0 Reactions
39 Replies
8K Views
wapendwa naomba mnisaidie kwa hili, kwanini wanaume ni waoga sana kuingia kwenye ndoa? yani hata kama mmeishi pamoja ikija kwenye suala la ndoa ni kupiga kalenda tu, ni kwanini inakua hivyo? je...
0 Reactions
249 Replies
16K Views
Wakuu, yaani leo nimeamka na mood sijui tuiite melancholic au nini; i feel love, i want love, yet i hate it, i dislike na kadha wa kadha Kuingia kwenye gari ndo balaa likaanza, kuweka tu CD at...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Ni ajabu na kweli. Ndoa iliyodumu kwa masaa KUMI NA MBILI yaripotiwa Kenya.
0 Reactions
13 Replies
3K Views
...kwanza kabla ya yote za leo wandungu wapendwa. Leo nimekuja na swali, hivi ni sawa kweli kwa mtu kumuacha mpenzi/mme/mkee wake kwa sababu ya kutoambiwa "I love you", I miss you, and all the...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
The wife came home early and found her husband in their bedroom making love to a very attractive young woman. And she was somewhat upset. 'You are a disrespectful pig!' she cried. 'How dare you...
0 Reactions
1 Replies
960 Views
Wana JF nimekutana na kisa ambacho kimeniacha na mshangao wa ajabu na kujiuliza hivi binadamu wengine kwenye vichwa vyao kunasehemu ya akili ?, Hii ni baada ya kusikia gumzo la vijana wa Uswazi...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Wadau naombeni ushauri wenu nipo njia panda,Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29 sasa,nipo njia panda katika kutoa maaamuzi,nina wachumba wawili lakini sijui ni yupi nimchague awe mwenza wangu...
0 Reactions
91 Replies
8K Views
Huyu ni Binti wa 25 yrs old ana B/F kwa muda wa miaka 3 sasa na pia anasoma Elimu ya juu katika chuo kimoja ..kinachomsumbua ni kwa nini mpenzi wake hajatangaza nia juu yake mpaka sasa.. Siku...
0 Reactions
287 Replies
19K Views
Mzee mwenzangu na "mtani wa jadi" Bw. Rashid Othman - Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa anaoza wiki hii binti yake Sabrina kwa familia ya kina Zungu (Mbunge wa Ilala). Kwa niaba ya sisi "wengine"...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
A theology professor was teaching about proverbs 15:1. He asked his students, ‘Why do we shout in anger? Why do people shout at each other when they are upset?' Students thought for a while, one...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
:lying:Don't even try!! Wanawake wa sasa wanajua kipi kinaendelea katika soka. "Egypt wasn't qualify for this 2010 WC"
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau kuna mahali sipaelewielewi hivi!Hebu tutupie macho nako! Mke kaleta House girl kutoka huko Kondoa mpakani mwa singida mchanganyiko na mnyiramba na Ukoo waki iraqy!!!Nadhani umenielewa!Hiyo...
0 Reactions
58 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…