kuna rafiki yangu anamatatizo katika ndoa yake, ameolewa ana miaka mitatu sasa, anadai mumewe amebadilika sana baada ya kupata kazi yenye kipato kikubwa, kununua gari na kujenga nyumba ambayo...
Wengine saa hizi wanapata kabia kabariiiiidi na mishikaki/nyama choma, wengine soda ya baridi na chipsi kuku/mayai,wengine wali maharage/nyama na wengine loo mihogo na maji ya bariiidi, wengine...
Mama mmoja anayeishi huko kibaha na alikuwa mwalimu wa shule ya msingi na mlokole wa kanisa la kilokole picha ya ndege amefariki baada ya kutembea na rafiki wa mumewe.
jamani tego zingine mbaya...
Watanzania tunaitaji mamlaka sasa kukemea na kuamuru nyumba ndogo zote ama wale waanaotembea na wanaume wa watu ama wake za watu damu ya YESU kristo ikawachome na kuwateteketeza..Roho wa MUNGU...
Wenzangu dadangu mdogo anataka ku elope na boyfriend because she is fed up with my parents.She has been complaining that even though she is in college my parents are controlling her too much yet...
Wahshimiwa za jion naona jua lazidi kukimbia,nimekutana na mtu pale faya dk 20 zilizopita
akaniambia eye ameamua kukaa na mwanamke mwenzake wako nae ndani,kimeniuma sana dada mmoja aliekuwa...
Juzi nilikuta ugumvi wa majirani wangu, kaka mkubwa na mdogo wake, kaka ni mkubwa kwa miaka 15 hivi. Kaka mtu anasema mdogo wake hamjali kabisa ingawa yeye ndiye aliemsomesha hadi darasa la saba...
She never asks you to go into detail.
Ok, let me be more specific she never asks you to go into the details as they pertain to you, personally. In other words, she doesnt want to know anything...
Ok members I just want to hear from you whats your opinion concerning Adultery? I believe most religions forbids adultery but still ppl never give a second thought b4 committing this sin. what are...
Note: This article assumes you already know her this is not advice for men just trying to figure out if the Hooters waitress thinks youre cute, ok? This is for men whove already met the woman...
Maisha ya ndoa pengine ni "komedi" (usanii).. Kwa mfano zipo kauli huwa zinatolewa siku ya harusi zinaitwa "Nasaa za wazazi (wengine wanaita wosia kama kauli ya mtu anayekufa)" ambapo wazazi huwa...
Wakuu Mnajifunza nini hapa.............
Friendship among Women:
A woman didn't come home one night.
The next morning she told her husband that she had slept over at a friend's house.
The man...
Kwa wale tunaofuata imani ya kristo , tunasoma na kuamini kuwa:
Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu. Yeye huchanua kama vile ua, kasha hukatwa...
Inseparable couple dies on the same day
I don't know quite how it happens...sometimes appears as very uncommon cases, but it is said sometimes the bond between a husband and wife can be so...
Ukizima Moja, Zote zinazima!
Mwanaume na mwanamke wapo tofauti zaidi kuliko kufanana na hivyo ndivyo walivyo, kukataa haiwezi kubadilisha ukweli.
Mwanamke na mwanaume husikia na kuona vitu...
Hebu niulize swali la kizushi,wakuu ni kosa gani ambalo umeshawahi kulifanya ukiwa na umri wa miaka 25-30 wakati ulipokua chuoni,kazini ambalo limekugharimu huko baadae na au ambalo ungetamani...
Kuambatana!
Wanahitaji kuongea uso kwa uso!
Tumeona kwamba mwanamke anatakiwa (lazima) amheshimu mume ili mume naye ampende na matokeo yake kila mmoja aridhike na mwenzake na hatimaye kuwa na...
Think Twice!
If he hasnt become a Christian to get you to marry him, why would he become a Christian when he knows he has you as a wife?
By Lazarus Mbilinyi