Kati ya wanaume na wanawake ni wapi wanaogopa Ukimwi sana kuliko mimba na ni wapi wanaogopa mimba sana kuliko Ukimwi? Hasa kwenye mahusiano ambayo bado hayajawa kwenye mfumo wa ndoa.
mambo vip wana JF,hivi mmeshawahi kujiuliza kama kiungo mb.. cha mwanaume kingekuwa kama ufutio wa penseli je ni wangapi wangekuwa na vifutio mpaka sasa.nawakilsha na tujadili.
mambo vipi wana JF,hivi mmeshawahi kujiuliza kama kiungo cha mwanaume kingekuwa kama kifutio je ni wangapi wangekuwa na hivyo vifutio mpaka sasa toka wabarehe.nawakilisha kwa pamoja tujadili.
Kuna aina tofauti!
Aina za tendo la ndoa
Kuna wakati wanandoa hujikuta wanahitaji kuwa na tendo la ndoa ambalo ni perfect, kama tetemeko la ardhi, kama fireworks na kufika kileleni kwa mpigo...
Habari jamani...Nadhani hapa nitapata majibu mazuri na ya maana kuhusu hili swala.....Problem ni kwamba hapa nilipo nina demu wa kigambia ambaye nilikutana nae hapa ninapoishi,kukutana...
Stay married if you want kids
By Leah Ward Sears, Special to CNN
November 10, 2009 9:39 a.m. EST
STORY HIGHLIGHTS
Leah Ward Sears: Couples unwilling to make commitment to rewarding...
Ndugu zangu bila shaka wengi mwafahamu niko kwenye msako wa kutafuta mwenza na nilishatoa sifa naona watu wamegoma kunisaidia.
Sasa nimefanikiwa kupata kademu kamoja MATATA SANA! Shida huyo ni...
...mnh, Mwenzenu 'mshamba!'
Hizi social networking mbona ni kasheshe wajameni!...Facebook, Hi5, Twitter sijui Bebo nk...
Utakuta wanoalalama kwanini 'rafiki' anataka kum- add tena baada ya kum-...
mabinamu na wapwa salaam!,
nimekuja kivingine sio kama GP wa juzi, sasa ni GP mpya.
ebana wapwa na mabinamu hivi mfano unakutana na mwanamke anakwambia mfano 'Chrispin wewe ni handsome sana...
Mapenzi ni mamlaka huru ya hisia, mtu kwa ridhaa yake kudondosha moyo kwa yule aliyemhusudu. Ni vema kugundua mapema kwamba uliyenaye si wa maisha yako kuliko kuanza safari itakayokutia jakamoyo...
wakuu, hv kwa nini wanawake wengi huwa wanaona kama halali yao kuhongwa? s wote, lakini asilimia kubwa ya wanawake akiwa na mshkaji anaona matatizo yake yanaishia hapo...mara nataka vocha!, mara...
Je, wanandoa wote tungekuwa tupo makini (maombi) mara zote kiasi hiki ingekuwaje?
Mzuri kitandani?
Tunapooana kama wanandoa tunakubaliana kwamba tutakuwa tunafanya tendo la ndoa sisi wawili tu...
British couple are oldest in the world to divorce at age 98 - but man dies before he can enjoy the single life
By Luke Salkeld
A British man and his wife have become the oldest couple in the...
Eti Sivutiwi!
Wakati mwingine Inashangaza sana jinsi wanawake wanavyowawekea kiwango cha chini wanaume kuhusiana na hamu yao ya tendo la ndoa.
Hawajafahamu mwanaume kupewa zawadi ya tendo la...
Unaweza kupata kitumbua mara moja kwa wiki kutoka kwa my wife wako na mwenye kitumbua anafeel satisfied na anajua ww satisfaction nehii.
Kama ni wewe utafanyaje?
Ni kubusu tu!
Usiweke kiwango cha chini kumbusu mume wako au mke wako.
Hakikisha unambusu kila siku kabla ya kuagana asubuhi, muda wowote mchana na kabla ya kulala usiku hata usiku wa maneno...
Kulala vizuri ni kuwa sexy!
Pumzika
Wanawake ambao hujimyima usingizi hawapo sexy, hivyo kabla ya kufikiria kuwa na maisha mazuri ya kimapenzi na mke wako au mume wako zingatia kwanza kuwa na...
Eti Kulala Pamoja si Afya!
Tafiti za karibuni zinaonesha kwamba wanandoa kulala kitanda kimoja si afya kama kila mwanandoa yaani mke na mume kulala kila mmoja kitandani chake mwenyewe.
Kitendo...
Msaada kwenye tuta.
Jana Lunch time nilikua naongea na dada mmoja mfanya kazi mwenzangu ofisini ambae alinieleza kuwa anashangazwa sana na tabia ya wanaume ya ku-cheat katika relationship...