Mpenzi wako au mume wako au mke wako, tabia yake iko vile vile kama ulivyomkuta na kumpenda au kabadilika?
Vipi bebi wako mbususu na rungu anakupa kwa spidi ile ile kama mlivyoanza au siku hizi...
Naomba nianze moja kwa moja, tuchukulie mfano wa kwenye mahusiano ya kimapenzi, ukiona unabadilisha sana partners mara kwa mara ndani ya muda mfupi mfupi jipe muda wa kujitathmini wewe mhusika...
Mapenzi kuvunjika ni sehemu ya kawaida kabisa kwa maisha ya sasa lakini kuna jambo la kuzingatia hapa.
Mapenzi huwa yanauma sana pale ambapo mwenza wako anaondoka anakuacha ghafla ukiwa mpweke...
Hili nadhani ni tatizo la akili au sijui nini, yani tukipishaba kauli, kila kinachonihusu mimi kinafutwa hadi namba ya simu.
Baadae ana isave tena namba yangu ila ananisave majina ya ajabu ajabu...
Hi guys 👋👋
"Wanawake tunatumia muda mwingi kutafuta makosefu ya wanaume badala ya kuangalia nakua-acknowledge ya kwetu."
Ni muda mrefu sana sijaandika kitu humu ila leo nimeona nishee jambo na...
Utaskia hua inaniwasha, mara ooh huwa inanisababishia fangas, ooh nina aleji na harufu yake ntapata mafua sasahivi n.k,
nini kifanyike ili jamiii hii ya wanawake na wanaume pia wapende kutumia...
Wana MMU, na waumini wote wa mapenzi mpo salama?
Valentine yako iliendaje? Matarajio yalifikiwa? Ulipata ulichokuwa unafikiria ungepata? Valentine wako allitokomea? Au ulipata surprise ya mwaka...
Wakuu habari
Mtu anayejiita msomi katika ngazi ya uprofesa au hata Udaktari,anaeaminiwa mabilioni ya pesa kwa ajili ya mradi fulani wa kufaa jamii kubwa ya watu kama kijiji au hata mkoa au...
Wengi huwa tunashindwa kulitambua hili, hasa pale tunapokuwa wapofu wa huko tuendako.
Ndipo wahenga wakaja na msemo, ukiona nyani mzee juwa amekwepa mishale mingi.
Ikitokea mtu amekuja kwako...
Kwa wasioelewa maana ya no fap ni kukaa kwa muda fulani ambao wewe utajipangia bila kufanya tendo la ndoa ama namna yoyote ile yakukufanya utoe mbegu!.
Sasa humu jukwaani watu walianzisha uzi wa...
Inakuaje mtu unakosa raha ya maisha kwa ajili ya mtu mmoja unaempenda halafu yeye hana mpango na wewe. Duniani tupo watu zaidi ya 7 billion kwanini ujisumbue kung'ang'ania mtu mmoja ambae...
Kama uzi wangu niliyowahi kuutoa kuhusu kukutana na mrembo wa Malta
Niliondoka tarehe 12 February na Qatar air na kufika tarehe 13 Malta airport na baada ya taratibu zote za uhamiaji...
1. Je, uanaume umewaisha mnajua fika hamuwezi kutegemewa na familia?
2. Je, mmeyumba kiuchumi? Mali zinatafutwa. Leo huna kitu kesho unacho?
3. Mnaogopa kugongewa? Sababu ya kishamba saana...
Tabia ya ku ghost mtu kwenye relationship inatokana na nini hasa? Ni kwamba mtu anaogopa confrontation Au ni immaturity?
Kuna mtu wangu wa karibu kawa ghosted na boyfriend wale wa 3 years, hapokei...
Kiuhalisia hakuna anayependa kuishi na mwenzi wake mbali mbali, mnapokuwa kwenye mahusino ni muhimu mkawa pamoja, lakini kuna muda inatokea maisha yanawatenganisha kwa muda, katika hali hii ni...
Nataka kujua ndio ujanja, umaarufu, ukisasa, usomi, kiburi, majigambo, majivuno, dharau, umwamba au!!?
Na tena wakati unafanya hivyo upo kwako na mlishajenga pa kuishi na mwenza anakushirikisha...
Na hili huwakuta sana wakiwa wangali bado wana umri mdogo.Kwa mfano jirani kwetu kulikuwa na familia moja Walijaaliwa Watoto watano wa kike, na wote warembo, tofauti ilikuwa rangi tu (complexion)...