Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Habari za jumapili Wakuu! Miaka hiyo bhana! Niko zako mwaka wa Kwanza nikiwa Likizo. Nimerudi zangu Moshi. Sasa mtaa tuliokuwa tunakaa ni karibu na Kota za Polisi pale Moshi Mjini. Kwa wanaojua...
12 Reactions
22 Replies
2K Views
  • Redirect
Kutokana na changamoto za ajira n.k, mwanaume amekuwa akibebeshwa mzigo mzito wa punda kwa kisingizio cha kudumisha mapenzi. Je, unapambana vipi na mwanamke anaye omba omba hela kwa kisingizio...
8 Reactions
Replies
Views
INTRODUCTION Ashukuriwe Mhe. Raisi Mama Samia kwa kutuletea hizi ajira zaidi ya 11,000 hakika ameupiga mwingi.  PROBLEM Ila Sasa nataka kuongea na kuuliza mabaharia MMEJIANDAAJE NA NDOA/MAPENZI...
31 Reactions
147 Replies
10K Views
Wanawake wengi ambao wapo 30+ na hawana ndoa ni hawa... 1.Walikataa kutumia mili yao for free lunch,so wakaonekana na misimamo ya hovyo...as per continet(Africa) is taken into consideration...
16 Reactions
118 Replies
2K Views
Huyu mkaka mbona ananichezea akili. Leo kaniita nikaenda kwake kwa madai ya kunimiss. Kuna kazi nilimkuta anafanya kwenye PC ila baadae alichomoka nje mara moja Ile PC ikadisplay WhatsApp. Mimi...
40 Reactions
263 Replies
5K Views
Mimi ni mtu mzima miaka 30 nina mke wa miaka 25 nina watoto 2 katika ndoa ya miaka 6 mpaka sasa. Ndugu zanguni nina hasira nina hasira nina hasira sana Mungu tu anisimamie nisingie dhambini. Kwa...
53 Reactions
239 Replies
14K Views
Mimi ni Mama wa mtoto mmoja, sijaolewa ila nina kazi yangu nzuri tu ni Mhasibu katika Halmashauri moja hivi, kipato changu ni kizuri tena sana. Kuna mwanaume niko naye huu ni mwaka wapili...
9 Reactions
35 Replies
752 Views
Rafiki yangu wa karibu sana, ametumiwa video ya ngono ya. Mke wake mtarajiwa na hii ni ya. Majuzi tu, Sasa ubaya zaidi, mtu aliyekuwa akifanya nae mapenzi ni Rafiki yetu wa karibu! Sana pia, ina...
25 Reactions
144 Replies
5K Views
Wakuu unaweza kutana na pisi kali sana njia lakini inatembea na kuisimamisha tu inaeza ikachana mkeka ukaibika sana, maana saa nyingne unakuta ni mazingira yana watu. Ofcoz inakuwaga mziki sana...
13 Reactions
191 Replies
10K Views
Mwadila Wakuu nipo hapa uwanja wa fisi hapa manzese kutokea jana usiku saa nne kamili mpaka mida hii nikitafuta mke wa kumuoa hawa machangudoa. Kuna mdau wangu mmoja aliwahi niambia eti...
6 Reactions
26 Replies
4K Views
Mtoto Erickson Kimaro mwenye umri wa miaka nane anadaiwa kunyongwa na dada wa kazi Mei 31, nyumbani kwao Kimara Temboni jijini Dar es Salaam. Msichana wa Kazi za ndani mwenye umri wa miaka 13...
26 Reactions
192 Replies
7K Views
Wazee wa mahaba mpo? Huwa sielewi ambavyo huwa kunakuwa na mjadala kuhusu dada wa kazi kufua nguo za baba mwenye nyumba au kupika chakula chake, yaani ishu ni nini? Kama anafanya kazi nyingine...
6 Reactions
32 Replies
962 Views
Mishangazi na mijimama ina raha yake. Je, kuna umri siyo poa kupeana ujauzito? Kuna huyu kijana mcheza basketball ana miaka 22 ana uhusiano na amemzalisha mshangazi wa miaka 40. Vipi ingekutokea...
5 Reactions
24 Replies
578 Views
Katika maongezi na shemeji yenu amefunguka kuniambia "Yaani wanawake tunataka hela, twende mbele turudi nyuma tunataka hapa huku akipigisha vidole kama anahesabu hela" Maoni Yangu Naona ni sawa...
8 Reactions
32 Replies
719 Views
Yaani wanawake wapo wengi sana Kila Kona unakunana na mwanamke Tena sio mwanamke tu Bali ni mwanamke mrembo. Kwanini utembee na mke wa mtu? Yaani hakuna maumivu makali kama kuchapiwa mke wako...
30 Reactions
105 Replies
5K Views
Nina jambo zito ambalo limenifanya niwe na wasiwasi mwingi, na nataka kupata mawazo ya watu wengine ili nijue ni vipi niendelee. Hivi karibuni, nilikuwa nikichunguza simu ya mke wangu na kugundua...
11 Reactions
91 Replies
3K Views
Mimi na mke wangu hatukua na maelewano usiku wa jana, na hata asubuhi ya leo kabla ya kuondoka kwenda kazini, Kila mmoja bado alikua kamkasirikia mwenzie. Mimi na yeye wote tunafanya kazi mjini...
4 Reactions
14 Replies
753 Views
Habari za weekend! Kuna baadhi ya maneno watu wetu wa karibu wakiongea huwa yanatuumiza sana, sometimes inapelekea kupoteza interest ya kujenga maisha na huyo mtu. Kuna mwanamke flani nilikuwa...
72 Reactions
482 Replies
22K Views
  • Redirect
Ushawahi kufuma meseji au picha za kimahaba za mkeo na mwanaume mwingine?. Alafu reaction yake ikawa ni mgogoro mkubwa kwelikweli, mwanamke kwanza hakubali kosa yeye anamsimgizia Shetani tu...
0 Reactions
Replies
Views
Mchumba wangu amelala na Mtu na Mama yake, je atabadilika? Niko kwenye mahusiano na huyu kaka, huu ni mwaka wa pili. Kabla ya kukutana naye, alikuwa ameshaoa, lakini alikuja kuachana na mke wake...
12 Reactions
61 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…