Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Habari za wakati huu, Nipo kwenye wakati ambao unanifanya niwe na maswali mengi dhahania, japo uhalisia wa mambo nauona. Nilipopanga, kuna jamaa ameoa mwanamke ambaye nilikuwa nafahamiana naye...
12 Reactions
76 Replies
7K Views
Huyu dada mtu mzima alikuwa anafanya kazi ofisi moja ya serikali ipo katikati ya jiji la dar es salaam manispaa ilala. Alikuwa dada mtu mzima mzuri wa sura na umbo la haja. Boss wake mara nyingi...
4 Reactions
19 Replies
8K Views
Habari ndugu zanguni, ni miaka mitatu sasa tangu niingie kwenye ndoa, toka mwanzo wa mahusiano na mke niligundua tabia ambayo sikuipenda ,mke wangu alikuwa bado anawasiliana na ndugu wa ex wake...
49 Reactions
197 Replies
17K Views
Nimeoa Ndoa ya Kikristo ndoa ina miaka 4 na nina mtoto mmoja tumejenga ila mke wangu ameninunia now miez 7 navumilia tu hata sijui mwisho wake. Anasema hanipendi, upendo umeisha kwangu. Sababu...
23 Reactions
200 Replies
5K Views
Picha linaanza baada ya mwamba huyu kusitisha shughuli zote za USAID na Tz kuwa waanga wakubwa wa Tangazo hilo kwani iliajiri makumi kwa maelf ya watz kwenye sekta hiyo basi niwaibie siri na...
80 Reactions
255 Replies
7K Views
Hapa wengi Leo nitawashangaza Kuna Mdau kauliza huku. Hivi mliooa mlipata wapi Wanawake wa Kuoa? Ni swali ambalo mwanaume ambaye hajaoa anaweza kulichukulia poaaa poaa kabisa. Ukweli ni huo, na...
19 Reactions
42 Replies
2K Views
Mnaopinga ndoa mnaishi ulaya au America? Kama ni africa mnazingua. Sheria za wenzetu zinawabeba wanawake,mkiachana ni pasu kwa pasu,lakini sheria zetu zinawakandamiza wanawake. Ewe kidume...
2 Reactions
17 Replies
358 Views
Dunia sio…, Maisha yanatesa mno…, ukiona unafurahi basi kuna watu wako nyuma yako wanatesekea furaha yako leo…, siku na wao wakifurahi basi furaha yako itakatishwa kama sio kudhoofika..,. Maisha...
8 Reactions
19 Replies
1K Views
Waungwana shida ziko palepale! Twendeni kwenye mada Nafikiri sote humu tushakuwa kwenye mahusiano kwa muda fulani, na kila mahusiano yana vimbwanga vyake, asikwambie mtu kila mahusiano yana...
8 Reactions
211 Replies
12K Views
Sio kwa ubaya lakini kusema wanawake wa kanda ya Kaskazini hawafai jua wewe ni mvivu unapenda mseleleko, Wale ukiwatumia vizuri kutoboa kimaisha ni chap tu, hawazi mapenzi muda wote kama waliopo...
9 Reactions
28 Replies
2K Views
Women's ideal sense of romance is literally cheating. Sexual fantasy kubwa ya wanawake ni kucheat, na hii nimejifunza the hard way.(Hiki kisa ntakuja kukisimulia siku nyingine) Mwanzoni nilikuwa...
17 Reactions
61 Replies
3K Views
Hii Sera ya kataa ndoa ni Sera ya msingi na muhimu mno. Itasaidia kuonyesha ukweli na njia ambazo vijana Wanazo Ingia Chaka. swaga nyingi, michango, Picha kibao, halafu mwishobwa siku una Baki...
42 Reactions
294 Replies
7K Views
Hivi Wanaume wa siku hizi ni pre mature au shida ni nini? Mwanaume mtu mzima unajinyongaje kisa Wivu wa Mapenzi? Wengine wanaenda mbali zaidi Kwa kuua wapenzi na Watoto wao Sasa sijui inakuaje...
2 Reactions
8 Replies
563 Views
Wivu ni sehemu ya mahusiano ila ukizidi huleta ugonjwa wa kihisia na matokeo yake ni muathirika kujikuta anafanya maamuzi ya ajabu na yenye kushangaza Dunia. Ukiona mtu anafikia hatua ya...
1 Reactions
3 Replies
305 Views
Njooni huku; naona kwenye ule uzi mwingine tumevamiwa na jinsia ya upande wa pili, ngoja tuwaachie. Mahusiano ni kuvumiliana na kuchukuliana madhaifu yetu, ila kuna wakati unasema hapana, siwezi...
18 Reactions
137 Replies
3K Views
Nina Girlfriend wangu, nampenda sana. Naye ananipenda sana (kwa mujibu wa anavyodai). Nimeshakutana naye kimapenzi zaidi ya mara 2. Huwa najitahd kumfanyia kila kizuri Ofisi yangu inapatikana...
12 Reactions
50 Replies
1K Views
Wapendwa heri ya nwaka mpya 2025. Binafsi ninaamini kulingana na maandiko matakatifu katika kitabu cha mwanzo kwenye ile sura inayozungumzia uumbaji siku inaanza jioni (' ikawa jioni ikawa asubuhi...
22 Reactions
94 Replies
2K Views
Hamjamboni wote! Ukiona mtu yeyote mapenzi hayambabaishi ujue anatumie Kanuni ya kutowekeza kwenye mapenzi na kuwekeza kwa Mwanamke. Asije Panya yeyote akakudanganya kuwa usipokeeza kwa Wanawake...
7 Reactions
19 Replies
754 Views
Leo nimeona nishare hii story yangu. Ilikuwa hivi, nilivyomaliza chuo nilibaki Dar nikipambana na life. Ndani ya muda kidogo nikapata job bana, mshahara si haba. You can imagine umetoka chuo kwa...
211 Reactions
203 Replies
14K Views
Natamani kujiunga hili Chama la Wana ila roho bado inasita-sita. Nimejifungia sehemu bado natafakari
16 Reactions
74 Replies
980 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…