Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Salaam wanajukwaa. Nikiwa na akili timamu na miaka 35, nimefikiria sana juu ya mustakabali wa maisha yangu. Mimi ni mfanyabiashara na mtoa huduma mbali mbali, Wakati bado nipo kijana nilikuwa...
4 Reactions
42 Replies
1K Views
Habari za jumapili Nina tatizo nimekaa nalo mda mrefu saana..ila kwa sasa nataka niache nioe niwe na familia naombeni msada wenu. Mimi nina umri wa miaka 33 mwaka 2003 kulikua na House girl...
13 Reactions
74 Replies
4K Views
Ukihitaji salamu subiri kwanza FaizaFoxy anikubalie ombi langu,tofauti na hapo utaambulia gunzi ukapikie Mapupu! Sometimes huwa nawashangaa baadhi ya wanaume kumtupia lawama kijana Harmonize...
9 Reactions
68 Replies
4K Views
Msitofautiane sana...mfano elimu,ukwasi,elimu,mila na desturi,imani n.k Awe rafiki yako...mnaweza jadili mambo ya michezo,cinema au burudani mkafurahi mkiwa wawili tuu tena kwa mda mrefu na...
2 Reactions
5 Replies
163 Views
UZI WA KIJOBLESS ( c&p:x) Leo ngoja niwape stori moja hivi. Kuna siku bhana mteja alinicheki akasema anahitaji mataulo matano meupe. Nikasema haina shida umepata, nipe location akanitajia ila...
4 Reactions
16 Replies
451 Views
Mwanaume anaweza kuwa mcheshi na mwenye kuvutia pele ambapo anataka kukusogeza uingie kwenye mtego wake kwa miguu yote miwili. Kwa harakaharaka anaweza kuonekana mkamilifu kumbe ana taswira...
2 Reactions
39 Replies
2K Views
Ntaka niolewe lakini niendelee kuwa na uhuru wangu! Nina mchumba wangu ambaye Mungu akipenda, mwezi huu mwishoni tunafunga ndoa. Hata hivyo, nimeshaanza kuogopa. Sio kwamba ananifanyia kitu...
27 Reactions
144 Replies
5K Views
Hivi mwanamke akiwa na mimba ya miezi miwili inampelekea kubadilika kabisa maana mimi mke wangu kabidilika sana yaani mpaka imefikia hatua ya kutaka kumuacha.
16 Reactions
87 Replies
2K Views
Mwanamke wakifikisha umri wa miaka 40 kwa 50 hubadilika kitabia na hulka zao kwa sababu ndo umri wao wa 'last card' au wa mwishwo kwenye ndoa kabla ya kua Bibi na kuanza kulea wajukuu. Wengi...
27 Reactions
70 Replies
3K Views
Tulikaa vizuri mimi nayeye na alionesha kuridhia kuwa na mimi, Wakati namtongoza nilimwambia najitafuta, akakubali maisha yangu, yeye akawa anafanya biashara ya kuuza duka la perfumes mainly (na...
28 Reactions
137 Replies
8K Views
Hili ni jambo la kushangaza sana, huyu jamaa kwao walikuwa masikini alafu nyumbani kwao ni mbali na shule, hivyo kwa kuwa tulikuwa marafiki tulioshibana na discussion tulikuwa tunafanya pamoja...
19 Reactions
299 Replies
30K Views
Salaam jamiiforum hope my wazima. Jamani maisha ndiyo haya haya,utake usitake bado utaishi kwenye mfumo wa maisha ya watu wengi. Ukijipata kidogo kimaisha ukawa na uwezo fulani basi umetengeneza...
5 Reactions
27 Replies
506 Views
Haijalishi kuwa wewe ni dini gani, kabila gani, una kazi gani na cheo gani hapa duniani, mfumo wa uzazi wa mwanaume unafanana Na mifumo ya uzazi ya wanaume wengine wa viumbe vingine, hasa wale...
53 Reactions
373 Replies
31K Views
Niseme machache huku nikitamani kusikia testimonies za wengine zinasemaje. Upendo: Tunajifunza kupitia watu walio tuzunguka na matukio yanayotuzunguka. Pia kupitia Elimu mashuleni na Media...
2 Reactions
12 Replies
521 Views
My son, Before you send a woman money to buy a dress, make sure you have bought a nice suit for yourself.. Before you send a woman money to buy makeup, make sure you have bought that expensive...
4 Reactions
9 Replies
262 Views
Mm binafsi Kuna madeni ambayo nadaiwa ni zaidi ya laki 2 kwa watu tofauti Ila sitaki MKE wangu ajue hata Kama nilifanya matumizi ya ndani. Je, Kuna hasara, madhara au faida gani kumshirikisha...
3 Reactions
16 Replies
341 Views
Habari zenu, Niko kwenye mahusiano na mwanamke ambaye kwa sasa ana miaka 30 kanzidi mwaka mmoja. mahusiano yana zaid ya miaka 6. (haya mahusiano hayakua straight mana kuna muda nlikua nahama mkoa...
23 Reactions
250 Replies
4K Views
Habari zenu wana JF Nimekuwa nikileta story ya huyu mwanaume ni kama huu ni uzi wake wa 4 ama wa 3 nikihitaji ushaurii kuhusu mahusiano yetu mimi na yeye.. ninafikiri Leo Hii ndio itakuwa mara ya...
18 Reactions
297 Replies
6K Views
Habari! Kama unamjali kijana mpe ushauri wako hapa kabla hajaanza kutumika. Vijana wengi wanapotea kwa kukosa ushauri nasaha. Naomba uzi huu utumike kuwapa ushauri vijana wetu ambao wanaingia...
2 Reactions
14 Replies
276 Views
Katika dunia ya sasa ambayo mapenzi ni kama game play, watu wanaingia kwenye relationships wakiwa na kipima joto, wasiwe na mtu atakaye waumiza, or asiwe juu sana or chini sana based on...
8 Reactions
21 Replies
683 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…