Shalom,
Kama mdau wenu mimi Wadiz naandika yafuatayo katika Hali ambayo naamini ndiyo ipasayo katika hoja mbalimbali zenye mashiko na kulinda uhalali wa baadhi ya wenye kukataa kuoa.
Na katika...
1️⃣ Kwanza, ni kawaida kwa wanaume kuwa na mshikamano wa kaka (bro code), lakini mara nyingine, hii inaweza kumfanya mwanaume kupuuza hisia na maoni ya mpenzi wake kwa sababu ya ushawishi wa...
Inawezekana ukawa unampenda, unamuamini au una malengo nae kwaiyo ukakataa kukubaliana na ninachokisema hapa, lakini huu ni ukweli mchungu ambao kwa kuwahi au kuchelewa kuelewa lazima ukubaliane...
𝗙𝗔𝗜𝗗𝗔 𝗭𝗔 𝗞𝗨𝗢𝗔 𝗠𝗪𝗔𝗡𝗔𝗠𝗞𝗘 𝗠𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗠𝗧𝗢𝗧𝗢
1.Unamuoa wakati ameshapevuka kiakili tayari (Hana utoto utoto).
2.Atalea vizuri watoto mtakao zaa kwa sababu ameshalea mtoto wa kwanza kwa hiyo anao uzoefu...
Kabla ya Kuoa au Kuolewa, Wataalamu wa Uhusiano wanashauri Wenza wajadili na kukubalianana kuhusu hali, tabia, matarajio na mambo mengine muhimu ikiwemo.
Ulipaji Bili zetu utakuwaje?
Mtindo wa...
Sijui hii hali itakoma lini inanitia hasira sana sijui kitu gani kinanifanya kuwa hivi aisee sasa sijui kwanini naogopa ogopa huu si ni ujinga? Wakuu naombeni msaada jinsi ya kutongoza aisee...
Wakuu,
Mwezi Mei mwaka jana, kuna dada yangu mmoja aligombana na mumewe na kukimbilia kwangu. Nilipoongea na mumewe, akasema yeye hana tatizo nae, arudi tu wayamalize.
Nilipomsihi dada arudi...
Helooo, Jf, Heloo Tanzania hatimae nimeopoa manzi ya kizungu, yaani ni full mahaba in the house. Sasa namuoa kama mke wa pili na ameridhia kazi kwenu na nyie mtafute kama wanapatikana kirahisi.
Habari za usiku waungwana..
Ni jambo lililo wazi kimaumbile kuwa mwanadamu mwenye utimamu wa akili na mwili anamhitajia mwenzake wa jinsia nyingine ili kukamilisha muunganiko wa kimaumbile...
Ipo hivi ndugu zangu, nimevuta kimada kimdada flani kisu hatari usafi ndio usiseme nawala bado hakajawa nabwawa, Najipigia mabao kama yoteeee, nakupitia haka kamdosho nimejigundua me nilijari tena...
Usiku wakuamkia leo nimelala na shemeji/wifi yenu. Tumeanza vizuri sana show kifo cha mende, tumepiga weeee.
Tukabadilisha style yeye akaja juu mimi nikawa chini maana huwa mara nyingi anapenda...
Habari zenu wanajukwaa,
Leo ningependa tuongelee kuhusu hili swala la kuoa wanawake Mabikra katika story zangu nikiwa kijiweni na Marafiki zangu nawambia kwamba nataka kuoa mwanamke ambaaye ni...
Salaam jamiiforum
Mimi ni mtu mzima sasa, Baba wa familia,naweza kuwa sipo sawa Kwa mambo mengi,ila nimeruhusu kukosolewa na kuimarisha uhusiano na jamii kiujumla.
Threads zangu nyingi...
Kila Mwanamke ambaye huwa anampiga matukio mwanaume mwema sana kwenye jamii huwa anazitumia njia hizi zifuatazo, vilevile mwanamke mwema sana kwenye jamii huwa anajikuta kwenye mahusiano na...
Zamani kabla ya kuingia ndoani nikiona watu wanaachana nilikuwa najiuliza hivi inawezekanaje mtu amuache mkewe au mumewe waliooana kwa bashasha zote, weee!! Kumbe ulikuwa ni utoto , ukikua...
Sawa mnitukane sina hela.
Vibinti tu ya 20+ yrs.
Mmoja akawa anampa mfano wa jinsi nyumba aliyekuwa amewekwa rafiki yake na bwana yake (mme wa mtu) alitoka kapa bila ya kupata kitu baada ya huyo...
Wanawake wa namna hii hakuna anachowaza zaidi ya shughuli, kwa masifa anatunza malaki ya pesa, hawazi maisha au baadae ya watoto. Yeye ni shughuli ukiwa hauna sasa anaenda kukopa huko, na vitu vya...
UZINZI ni NINI?
Imeandaliwa na
Magical power
Uzinzi
Ni tendo la kufanya mapenzi na mtu ambaye si mkeo au mume wako, na mara nyingi linachukuliwa kama kukiuka ahadi za ndoa au maadili ya...
Habari za jumapili waungwana wa jukwaa hili,
Katika hali ya kawaida kama ilivyozoeleka na wengi katika ulimwengu wa maraha na mahaba ukimuuliza mwanandoa sababu ipi iliyomfanya aolewe/ amuoe...
Kuna huu msemo unaelekea kuwa maarufu hasa kwa wanawake.
Unakuta mwanamke kaishiwa labda pesa utasikia anasema "nina Msukuma wangu nitamuomba pesa atanipa" au nina Msukuma wangu ananipenda huyo...