Wakuu, nimekuwa na wazo la kwenda Shinyanga kutafuta pisi moja ambayo nitatulia nayo tuanzishe familia.
Unaweza kuniuliza why Shinyanga? Kipindi kile Haji Manara alipomuibua Rushayna, baada ya...
Wanaume wapendwa,
Kabla ya kumtumia mwanamke pesa za kununua gauni, hakikisha umejinunulia suti nzuri.
Kabla ya kumtumia mwanamke pesa za kununua vipodozi, hakikisha umejinunulia manukato ya...
Za jioni wandugu
Wanasema kisichokuua kinakufanya uwe ngangari
Mimi mwana JF mwenzenu leo hii nimeamua kujipa adhabu kali ambayo inanitisha na kunifurahisha kwa pamoja mpaka sielewi kabisa
In...
Tumekaa Wakataa Ndoa na tulio ndani ya Ndoano, tumekuja na Ukweli Mchungu kwa Faida yenu wanawake
Ndoa sio lelemama, sio karata za Bahati Nasibu, na kwa hakika sio safari ya majaribio. Hii ni...
Hey guys
Imeshawahi kutokea ile hali umemuona mtu mara moja tu ukatamani awe wako?
Imenikuta stendi ya mabus mkoa fulani kuja Dar. Siku nafika pale nikamuona mkaka mmoja amazing,sijui kwanini...
Wazazi wakiafrika ni kama mmezubaa sana, mfumo wa uchumi ni zaidi ya kumsomesha mtoto na angojee ajira!.
Kuna jitihada fulani lazima zifanyike pia ndani ya familia kuhusu watoto wako na maswala...
Kila mmoja huwa anajisikia upweke baadhi ya nyakati.Upweke haubagui,hauchagui unatokea kwa watu wote duniani matajiri kwa maskini,wasomi na wasiofika shule,wazee kwa vijana,waliopo kwenye...
Kwa mujibu wa utafiti wa www.trustpilot.com wamefanya tafiti na kubaini kwamba kila mtu huwa anabeba chuki na kinyongo moyoni kwa vitu 7 kwa wakati mmoja.
Walifanya utafiti kwa kuchukua watu 12000...
Ni kweli wanawake wana huruma ila kuna wakati wanakua katili sana .
Je, nisahihi wanawake kutumia huruma zao ili kutimiza vitendo vyao vya kikatili dhidi ya kiumbe cha kiume ( mwanaume)
Nb: ili...
Prof. Anna Tibaijuka anasema bora hata ndoa zinazovunjika kwani hivi sasa hakuna ndoa, vijana hawaoi, wasichana nao hawaolewi.
Watu wanahangaika tu, asema ukiwa na miaka 30, unasema bado nini...
Naona mahusiano haya yatanishinda, asubuhi kaamka anataka nimtumie hela anunue gesi, mchana kanitumia meseji tena anataka nimsaidie kulipa ada ya chuo saa hizi anataka hela ya kwenda kusuka...
Salaam jamiiforum
Si ajabu kuona vijana Kwa wazee wanapishana katika madanguro au sehemu wanapojiuza wanawake.
Yaani vijana umri wa miaka 21 hadi 35 lakini pia kuna umri huu 35 mpaka 55 wote...
Nawaasa kama wanajamii kuna athari kwenye ubongo.
Usiponyanduana kila wiki, tena wastani ni angalau mara mbili (twice a week) kwa wiki, kuna hatari kubwa ya kuwa mtu Ndondocha.
Chukueni...
Habari zenu naomba kuuliza hivi ikitokea umeoa mke wa ndoa, siku ukafuma SMS na jamaa wakiwa wanatongozana na mkeo akaonekana kumkubalia mwamba japo hawajasex,
Je huyo mwanamke utaendelea kuwa...
Ndugu zangu salaaaam..
Nimekua natamani sana kuoa mwanamke mzuri kuanzia umbo kwa maana ya muonekano wa nje.
Ila mara kadhaa kumekua na baadhi ya watu wakisema kuoa pisi kali ni sawa na kulima...
I am in a relationship with somebody employed,but since we started the love my partner is so busy and he does not show a good communication between,most of the time I started to call and text...
Habari zenu jamani kwanza niwape pongezi kwa ushauri wenu unatusaidia sana
Mimi ni Mwanachuo wa SAUTI ninaomba ushauri, wakati nafika Chuo Mwaka wa Kwanza kwenye orientation nilikutana na mdada...