Hopes mko poa wana MMU, ningependa kutoa mrejesho
Kuna siku nilipost kule love connect kuwa naitaji rafiki wa kike, ingawa niliweka vigezo vingi ambavyo wengi waliokuja PM walishindwa kuvikidhi...
Heri ya mwaka mpya nyotee!!!!
Aina tatu za ndoa
1. Kuoana kwa sababu huyu anataka kuoa na yule anataka kuolewa, wakakutana kwa haja hiyo. Kinachowakutanisha ni hiyo haja. Ikishatimia kila mtu na...
Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza kutumia maneno matamu. Na lazima ujue kuwa sio kila neno unalotumia litagusa moyo wa mwanamke...
Sehemu hii inaweza kufanyiwa kazi na mwanaume Rijali kwa kuzingatia yafuatayo
Pata utulivu wa akili kwa kutumia njia za kuvuta pumzi (Deep breath),kupiga miayo mfululizo,kutoa hewa tumboni kuja...
Msongo wa mawazo ni hali ya mfadhaiko wa kiakili ambao hujitokeza ghafla pale ambapo mtu anapokuwa na shida, tatizo,au kikwazo chochote ambacho hana uwezo wa kukabiliana nacho.Uwezo wa kukabiliana...
Salamu za Januari wajumbe,
Miaka ile ya ujinga, nilikuwa na mahusiano na binti mmoja, mahusiano yalinoga haswa kuna wakati nikadhani kabisa kuwa sasa huyu atakuwa mke na mama wa watoto wangu...
Mjuavyo tena katika mahusiano, kugombana na kurudiana ni kitu cha kawaida; mtakaa na kuombana msamaha na hatimaye mnafikia muafaka.
Jana jioni, mrembo akaamua kuja kunitembelea nyumbani kwa...
Kwa wale wadada waliowahi au wenye wapenzi wakurya watakubaliana na mimi juu ya hili ila tunataka mwanamke awe mwaminifu tu asiwe konakona au mduara utakula mema ya nchi.
Naombeni mfute ile dhana...
Niaje niaje.
Hii inagusa story muhimu kwenye maisha yangu halisi ingawa sitaingia ndani sana lakini nitagusa kidogo na code zitakuwa mubashara.
Picha linaanza niko chuo x ndio kwanza nimefika...
Hapa siongelei financially.
Naongelea katika upande usionekane katika macho ya nyama.
Namaanisha energy, namaanisha kiroho.
Nimesikia hapa na pale katika mada tofauti kuhusu jambo hili huku...
Nilikutana na usaliti kutoka kwa rafiki, anaongea shit kuhusu mafanikio yangu.
nilijitenga naye kwa muda (kumpa space)
aliniomba msamaha mara kadhaa, nikachukua muda wa kutafakari nikampa nafasi...
Habari wanaJF,
Naamini kwa idadi kubwa ya watu wa humu, kunaye mtu uliyewahi kumpenda na pia bado unampenda lakini kuna mambo yalitokea hadi hivi sasa haupo karibu nae au haupo nae katika...
Tatizo kubwa lilianza pale nilipogundua anachepuka na ex wake. Baada ya kuligundua hilo sikutaka kuchukua hatua za shari sana papo kwa papo, bali nilichukua hatua ambazo mpaka leo anashindwa...
Wakuu habari za asubuhi?
Hivi karibuni nilishare huu uzi hapa.
https://www.jamiiforums.com/threads/najuta-sana-kuharibu-ndoa-ya-huyu-jamaa-nitumie-mbinu-gani-kumuomba-msamaha.2278938/
So kilipita...
Kama kichwa cha habari husika
Nimejichunguza vya kutosha nashindwa bado kujipa majibu ya uhakika… ni mimi nina tatizo ama ni hali ya kawaida tu kwa kila mwanamke
Mimi sio mwenyeji sana kwenye...