Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Wale ambao mnahamia makao Makuu Dodoma karibuni kwa Viwanja,Nyumba na Mashamba aina zote -Viwanja na Nyumba za Biashara -Viwanja na Nyumba za Makazi -Mashamba ya kununua na Kukodi Call and...
1 Reactions
22 Replies
7K Views
Boss kashusha anahitaji Million 60 chapu kwa haraka vyumba 3 sebule kubwa store,jiko,parking kubwa fensi,gati,tank la kuhifazia maji liter 500 Location Ipagala Dodoma Mjini Piga simu...
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Habari wakuu, nahitaji nokia obama nne (nokia 1280) zile nokia za button imara toleo la zamani (zisizofutika button haraka kama za kariakoo za sasa hivi). Rangi yoyote iwe nyeusi, blue, nyekundu...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Kiwanja chenye Hati miliki/tittle deed, ukubwa wa ujazo (Square meter) 954 (ujazo wa kati yaani medium density)kipo kwenye mradi wa Madaganya Manispaa ya Morogoro, Barabara ya Morogoro-Iringa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
HTC ONE M9 IPO SOKONI WANAFAMILIA WA #JF RAM 3GB ROM 32GB warmly welcome ...price not fixed. Negotiable. Nb; ukitaka kuiona physically ruksa nipo dsm
0 Reactions
3 Replies
682 Views
SUBARU LEGACY B4 Year------2004 Drive------2wd Engine------cc1990 Other option------AW FOG NV •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• BEI------10.8Mil (Unaweza lipia awamu mbili) MALIPO YA...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamvi nina kuku wa nyama wapatao 200 ambao Mungu akipenda kuanzia tarehe 17/12/2018 nitaanza kuwatoa Hivyo naomba kama mtu ana uitaji na kuku hawa aje ani PM ili aweke oda mapema...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nissan Xtrail Year---2003 Grade---x Drive---4wd Engine---1990cc Other option---AW FOG NV •••••••••••••••••••••••••••••••••••••• BEI---11.9mil 0715558258
0 Reactions
0 Replies
525 Views
Pamoja na dollar zote wanazokusanya kila siku lakini hata website tu wameshindwa, www.tanzaniaparks.go.tz seemsto be dysfunctional. Wanatangaza kazi, wanasema uombe online, sasa fungua hiyo...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Ni Honda xelvis tv250,nilipewa na boss baada ya mkataba kuisha
0 Reactions
134 Replies
11K Views
Habari zenu wapendwa. Mchele huo super kilo 1600 ukichukua kuanzia kilo 20 tunakufanyia 1500 Delivery utachangia kidogo press order yako karbuni sana. Kwa mawasiliano tupigie kwa no 0713336158
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari zenu? Nina mtu namjua alikuwa na kibanda leo kwenye shuguli ya Firsta pale Leaders,kuku (100)bila kusahau nyama fillet ya mishkaki, utumbo supu ndizi mikungu ya kutosha. Kwa anayehitaji kwa...
7 Reactions
64 Replies
7K Views
used samsung galaxy grand prime 1 ram 1gb internal memory 8gb colour black internet 3g dar es salaam Bei 140, 000 contact 0712518770 picha tuwasiliane nikutumie watsap mana ku upload imenigomea
0 Reactions
0 Replies
480 Views
Toyota Runx Year----2002 Engine----1490cc Drive----2wd Other option----Rs •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• BEI----12mil {unaweza kulipia awamu mbili} Malipo ya kwanza----6.2mil...
0 Reactions
0 Replies
651 Views
Toyota Townace Noah Year-----------1999 Grade------------road tourer Drive-------------2wd Door-----------------4 Seat-----------------8 Other option------------AW AERO RR RS FOG...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Audi A4 Year---2005 Engine---1980cc Drive---2wd Other option---AW FOG L-SEAT L-SEAT •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• BEI---12.5mil {unaweza kulipia awamu mbili} malipo ya kwanza---6.7mil...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa wauza smartphone,lg g5 mpya genuine inahitajika...kwa anayeuza anicheki PM
0 Reactions
1 Replies
764 Views
1.Chumba Ubungo Maziwa Tsh60,000 miezi sita. 2.Chumba karibu na Mabibo Hostel Tsh50,000 miezi sita. 3.Chumba na sebule Riverside Tsh100,000 miezi sita. Nyumba na chumba cha kupanga karibu na...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari ndugu zangu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mi ni mfanyakazi wa tanga fresh naish tanga, Ila nina ofisi ya TIGO PESA, M PESA, MAX MALIPO, AIRTEL MONEY NA HALOPESA. Ofisi ipo...
6 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari! Nahitaji laptop Kwa yoyote anaeuza iwe dell, HDD atleast 500gb,ram 4gb iwe na uwezo wa kukaa chaji at least 4hrs.mwenye nayo naomba anicheki tafadhari!
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom