show case hii kwa fundi wanauza 350,000/= mimi nauza 180,000/= ukubwa wake ni futi moja na robo kwa futi sita ina kasoro kama zinavyoonekana lakini ikiwekwa gundi itafanya kazi vizuri kabisa ipo...
Noah inauzwa inapatikana dodoma mjini.inatumika kufanya biashara kubeba abiria ,ipo katika hali nzuri
Engine haijafunguliwa ila ni gearbox tu ilibadirishwa
Bei ni milion 7 ila maongezi yapo...
Wakuu naomba msaada wapi nitapata vifungashio ninavoweza kupack dagaa kutoka Tanga dagaa uono, wana dar huita dagaa mchele, watu wa bara dagaa nyama waliochemshwa ndipo wakakaushwa... Wapi hapa...
Jaman wanajamii nina swali kidogo mm nataka fanya biashara ya nondo na cement !!nilikuwa nataka kujua bei ya nondo kiwandan tani moja ni shillingi ngapi kwa size zote na pia bei ya twiga cement...
KALIKWENDA DESIGNS
Tunabuni na kushona Nguo tofauti tofauti, za kike na za watoto, Toa oda tunakushonea kwa bei nafuu kabisa. tunapatikana Dar es salaam- Ubungo. tupigie...
Habari! Wakuu kuna biashara nafanya ya dagaa wa Zanzibar sasa nahitaji ongezea thamani kwa kufanya packaging niwe napeleka supermarkert na hata maduka mbali mbali na lengo Mtanzania mwenye hadhi...
Je unasumbuliwa sana na matatizo ya meno???
Hii ni dawa ya meno inayofanya kazi 10 kwa wakati mmoja (miracle toothpaste)
1)kwa wale wanaovimba fizi au zinatoka damu dawa hii inasaidia sana
2)kwa...
Wadau tablet tajwa hapo juu iko sokoni. iko vizuri ndani na muonekano wa nje bei 350k karibu ndug mawasiliano 0767101826
soon nakuwekea picha
TANGAZO LOLOTE LINALO HUSISHWA KUUZA TABLETI HII...
Pikipiki aina ya boxer kama inavyoonekana katika picha inauzwa kwa kiasi cha shilingi laki tano na nusu tu (550,000/=). Pikipiki ni nzima.
Ipo Dar salaam maeneo ya Tabata Magengeni.
Kwa...
Husika na kichwa hapo juu,ninauza samsung yangu J5 prime mpyaaaa kwa shida za kifedha jaman.
Pesa ya filed ishakata na nipo ugenini gem wadau nisaideni kwa hili.
Hii simu haina tatizo lolote na...
Mradi ni shughuli (endeavor) yenye malengo maalum inayopaswa kufanyika ndani ya wakati maalumu na kwa kutumia kiasi maalumu cha gharama. Ili mradi uweze kukamilika, rasilimali mbalimbali...
Uchambuzi wa Tatizo (Problem Analysis) ni hatua katika kipengele cha Uchambuzi wa hali halisi (Situational Analysis) wakati wa uibuaji wa mradi. Katika elimu ya miradi, tunaamini kwamba; kadiri...
imarisha mwonekano wako na fufua uzuri wako
kila mtu anangozi nzuri na yenye kuvutia kwa namna yake
lakini kuna mambo yanayo fanya tufubae ngozi zetu zisiwe nzuri kama inavyo takiwa
na haya...
imarisha mwonekano wako na fufua uzuri wako
kila mtu anangozi nzuri na yenye kuvutia kwa namna yake
lakini kuna mambo yanayo fanya tufubae ngozi zetu zisiwe nzuri kama inavyo takiwa
na haya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.