Jiunge sasa na Dstv kwa punguzo la bei ambapo utapata vifaa vyote kwa Tsh 79,000. Pia utapewa mwezi mmoja bure wa kifurushi cha Compact chenye Channels zaidi ya 90. Utashuhudia mechi zote za Uefa...
Dar es Salaam, Tanzania
printer 2015- inaprint karatasi 30 kwa dakika na ipo katika 'good' condition BEI 250,000/=
MAKABATI YA KUUZIA VITU VYA DUKANI AU KUPANGIA VITU VYA STESHENARI BEI NI...
Habari,
Viwanja vizuri, Vinapatikana MSUMI KWA BUNDALA, BEI KUANZIA Tshs. 3,500,000/= MPAKA Tshs. 6,500,000/= (Kama unavyoviona hapo kwenye Picha)
Tuwasiliane kwa Mob. 0654308809
Karibuni sana.....
Habari wakuu,
Nilikuwa nahitaji nianze biashara ya kukusanya Embe msimu huu maeneo ya Pwani humu na kuziuza.
Naulizia kuhusu soko likoje?
Nauza kwa jumla sio rejareja.
Range ya mzigo nnaotegemea...
Ninawaza hapa,kuna mtu anahitaji nimtengenezee (design) Research Proposal kwenye moja ya current issues lakini ameniuliza bei gani? Sina jibu,wajuzi mnisaidie.Minimum na maximum iwe bei gani...
Ni mashine ya ‘Massage’ nzuri Kwa ajili ya wale wanaosumbuliwa na matatizo ya kichwa kuumwa Mara Kwa Mara na wanaokosa usingizi.
Inasaidia msukumo wa damu na mishipa ya fahamu kufanya kazi Kwa...
Habari za Leo wanaJf
Nahitaji Circuit ya Simu aina ya Huawei ( U 8220 )
Ama mtu yoyote ambaye anafahamu zinapopatikana Circuit ya Simu hii kwa Hapa Dar es Sallaam naomba anielekeze/Anijulishe
Heshima kwenu wana jamvi natumaini mko poa .......
Hihi si ya kukosa msimu huu wa likizo.Mwalimu aliyebobea kufundisha masomo ya sayansi,ie Biology, chemistry,Mathematics na Physics anapatikana...
Habari kwa majina naitwa kipuso kilawe...ninatafuta soko la maziwa, kwa siku ngombe wangu wanauwezo wakutoa lita 180 mpka 200. Ninapatikana Dar es salaam mbezi beach.lita nauza 1600.
Habarini, Kiwanja kipo mbuyuni unaingia ndani kidogo kama kilometa mbili kasoro
Kiwanja ni tambalale,huduma kama maji,umeme na barabara vyote vipo
Kiwanja kina uzwa 45mil.Karibuni lakin kwa...
Toyota RAV 4 ya mwaka 1995 inauzwa, Engine capacity ni 1998, imetembea KM 159470.
Bei ni shilingi 8000000 tu. Ipo Dar-Es-Salaam. Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0713629999
*Printa inauzwaa dar *kiwa na sifa zifuatazo
Colour printing
Photocopy
Scanning safisha picha zako kwenye simu au laptop katika HD
0762612213 ipo dar mbezi beach
Bei yake laki tano tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.