Nahitaji smart watch, iwe kwenye hali nzuri,
Aina ya Samsung nitazipa kipaumbele lakini pia brand nyingine zenye hali nzuri nitazizingatia.
Picha zije Kwa ....
0716403314
0765982838.
Asanteni wana...
Specifications zake :
3 GB DDR III RAM
HDD 500GB
32 GB eMMC STORAGE
INTEL INSIDE
WINDOWS 10 PRO
8 HOURS AVERAGE BATTERY LIFE
COLOUR: GOLD
VERY VERY SLIM AND PORTABLE HASWA.
IPO KATIKA HALI NZURI
Kiwanja kipo tegeta namanga mita 600 kutoka kibo complex
Ukubwa 800sqm
Mitaa mizuri na kiwanja kina hati
Bei 45m
Mawasiliano na maongezi zaidi wasiliana nami kwa
0756060183
Umepoteza tabasamu lako meno yana rangi ambayo hairidhishi mdomo unatoa harufu meno yanauma Dr. ts hii hapa ina g'arisha meno inaondoa kutokwa na damu kinywani inatibu jino bila kung'oa inaondoa...
Habari za time hii wa JF..
Yeyote anayefahamu aina/kampuni mzuri ya Pasi ya umeme naomba anitajie hapa ..
Maana Siku hz vifaa vingi ni fake..
Kuna mshikaji wangu alinunua pasi akatumia wiki tu...
Simu ni nzuri sana toka nnje ya nchi, bado iko poa sana, imetumika kidogo sana, na hina tatizo lolote, ni kuweka line tu na kuenjoy Iphone! haina mchubuko wowote,
maelezo ya simu
NETWORK...
Toyota Funcargo
Year-------1999
Drive-------2wd
Cc-------1290
••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
Bei-------9.2mil
{unaweza kufanya malipo Mara mbili}
Malipo ya awali-------4.6mil...
NI TABLET YA SAMSUNG GALAXY 10.1
ina ukubwa wa 10inch/7.5inch
Iko vizuri sana
Inatumia laini/wifi
INATUMA SMS/
INA CONTACT APP
HAIPIGI SIMU
BEI 300K
CONT 0787101726
KARIBUNI SANA WADAU
Nina Music System nilitaka kufanyia biashara bongo, ila kwasababu ya much too know na kukosa mwaminifu wa kushirikiana naye, huku nimeona inanijazia nafasi tu.
Muda wa kuzunguka na Van hapa sina...
Wakuu habari za mchana . Mimi ni mkulima nina alzeti kiasi cha gunia 100 nataka kuziuza ili nijiandae na kilimo cha mwakani, naomba mnunuzi au anayehitaji tusawasiliane, ziko Dodoma kama kilometa...
Mashine ya kukamulia juice ya miwa inauzwa ni ya umeme,ina roller mbili,ipo na kibanda chake kabisa,ni Tsh 2,000,000....bei inaongeleka,mashine ipo DAR ES SALAAM,SALASALA kwa mawasiliano 0693208482
Bei ya cement Dangote sh ngap kwa sasa? nahitaj miifuko 200 au zaid, kama unajua mahala gan naweza pata kwa bei nzuri zaid nitashukuru sana kama utashare details. Mimi nipo mkuranga. Nahitaj...
Toyota mark x
Year 2006
Engine capacity~2490cc
Drive~2wd
Grade~250G
Mileage~79,000km
••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
BEI~13.8mil
{malipo kwa awamu mbili}
Malipo ya kwanza~6.1mil...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.