Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Location: Dar es salaam, mabibo
0 Reactions
5 Replies
875 Views
Kama kichwa kinavojieleza External Hard Disk 1TB aina ya TOSHIBA inauzwa Bei ya kitonga 120k Used Mahali Dar es salaam kokote unafikiwa. Kwa mawasiliano PM.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
jamani CPU nahitaji kwa bei nafuu kabisa
0 Reactions
6 Replies
953 Views
Kwa anaye hitaji Radio ya gari aje pm
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kupitia namba hizi 0714453589 0621711451
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Msaada nahitaji kufungua duka la viatu vya plastic maarufu kama yeboyebo kijijini, naomba mnielekeze wap naweza kupata viatu vya aina hiyo kwa bei nafuu kwa dar, pia naomba kujua kama kufungua...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Nahitaji Tourmaline gemstone top quality haraka iwezekanavyo. Kama unayo pita PM tuongee biashara
0 Reactions
1 Replies
483 Views
Fanya printouts chini ya dakika 3 tu,ukiwa na Portable Min Printer aina ya canon selphy cp900. Specifications;- a.ina print postcard size 4X6. b.ink cassette yake moja inafanya printouts 36...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Gari Aina ya BMW X5 inauzwa a gari ipo kwenye Hali nzuri ,inatumiwa na Mwanamke ,inauzwa kwa kuwa haitumiki Sana hivyo kukaa bila kutumika inaweza ikasababisha matatizo madogodogo .Bei ni milioni...
2 Reactions
33 Replies
5K Views
Kuna Samsung galaxy J7 ina 16HDD ram 2gb Camera 13mp haina tatizo lolote. Location dsm whatsApp or call 0755956211. Bei 250k nakupa na chaja.
0 Reactions
3 Replies
668 Views
Wakuu heshima iwe kwenu natafuta kagari hako tajwa hapo juu huenda kakawa kametelekezwa kutokana na model yake kenye bei rafiki kabisa kama kanavyoonekana hapo pichani
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari za saizi wakuu..!! Kuna 190000 nahitaji Flat screen nchi 24...kwa mwenye naye anifate PM...tufanye biashara...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nahitaji msaada wa kujua bei ya mahindi kwa jiji la dar.. bei ya mahindi ya kibaigwa na bei ya mahindi ya nyanda za juu kusini....
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nyumba zote hizi zipo umbali wa mita100 kutoka barabara ya Mandera(Mandera road). Huduma mhimu zote zipo. 1.Chumba Master na sebule Tsh120,000. 2.Chumba single na sebule Tsh80,000 (choo na sebule...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Habari wana JF biashara, naomba mwenye uelewa anisaidie nitawezaje kupata general supplier wa ream papers (karatasi za kuprintia A4) mondi (mfano tu) na nyingine yeyote, ili niweze kununua na...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Nauza Toyota allion ina cc 1490, imetembea millage 150,000 Price 5million Contact 0744952984 0718221009
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Nasafisha na Kurestore taa za magari na kuzirudisha katika Upya wake Kwa kutumia Kifaa cha Kisasa na Teknolojia Ya Kisasa Kabisa Kwa Gharama Nafuu kabisa ya SH Elfu 35 na kuzifanya taa zako...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ziko TABLET 2 KWA SASA SAMSUNG GALAXY 10.1 BEI 300K APPLE TAB2 BEI 200k SAMSUNG INATUMIA LAINI/wifi APPLE iinatumia WIFI Zote ni 10inch kwa 7.5inch. KARIBUNI SANA TUPO DAR Cont 0787101726
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Tunauza viatu vya ngozi almaarufu kama viatu vya kimasai. Kwa jumla na rejareja vya shanga bei ya jumla 8500 na vya ngozi jumla ni 8000/= tupo dodoma. Oda kuanzia pea 10 kwa mawasiliano piga...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
c.c 1980 mileage 100334km Bei 5.5M ni gari ya mwaka 2001. Haina shida yoyote. Engine haijaguswa Location Kigamboni Hamna dalali ni mimi mwenyewe muhusika unakaribishwa kuiona. Ilikuwa inatumiwa...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom