Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Naweza peleka wapi ili nijipatie pesa kiasi kulingana na mali yenyewe. Nipo Ubungo Dar es Salaam Tanzania.
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Kama kichwa kinavyojieleza ndugu wana JF, kwa mwenye taarifa zozote, mmiliki au dalali wa nyumba maeneo ya upanga hapa dar es salaam natafuta nyumba ya kupanga maeneo tajwa. Naomba anicheki PM ili...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wana Jamii. Kama tangazo linavyosema nauza IPad yangu aina ya Apple Ipad Air 1, ni 16 GB na inaruhusu line yoyote na ni 4G na Camera iko vizuri sana. Aliekuwa interested tuwasiliane...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Bado hujachelewa! Jipatie Kinanda (Pedal) vya uhakika na bei nzuri guarantee yetu ni ya muda mrefu. Piga 0755549602: "qui bene cantat bis orati" St. Augustine.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
wakuu naomba kujua gharama ya kuprint jezi-kuandika namba na jina kwa dar na maeneo wanatoa hiyo huduma
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Jarida mahususi lililosheheni masuala mbalimbali ya afya, lishe mazoezi na mengineyo mengi limeandaliwa na wabobezi mbalimbali kutoka sekta ya afya. Karibu ujipatie nakala yako sasa kwa gharama ya...
0 Reactions
4 Replies
934 Views
Habari wakuu? Safirisha mzigo wako nasi kwa usalama na bei nafuu kabisa. Iwe unahama au kuna mizigo unaamisha sisi ndio chaguo sahihi. Gari zetu zote nyuma zimefunikwa ambapo inasaidia mzigo wa...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Mimi ni mwalimu wa ICT nina uwezo wa kufundisha maeneo yafuatayo; Basic Introduction to Computers Internet and Email Graphic Design Web design and development Social Media Management Pia...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Line ya uwakala Mpesa 135000 Sabufa spika tatu 140000 Sabufa nyingine 110000 tu Mazungumzo yote piga 0716358293 Wale wazee Wa nipunguzie karibuni pia bei za Jpm desktop Cpu zipo 3 CPU ram 2gb na...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari ya majukumu wakuu? Bila kupoteza muda niende kwenye mada, Mimi ni mfanyabiashara wa biashara mbalimbali ikiwemo mafuta, gesi n.k. Lakini pia mbali na hayo mimi nina kampuni ya ukandarasi wa...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
-Kipo Mvuti-Dar -Nauza kiwanja Mita 20×20 -maji yapo mita 20 kutoka kwenye kiwanja -Umeme upo mita 20 pia -upimaji shirikishi tayari Bei mil 5. maelewano yapo Nitafte kwa 0769353653
0 Reactions
7 Replies
1K Views
TOYOTA PPROBOX Year~2010 Grade~DX comfort-pkg Year~2wd cc~1490 Seat~2(5) •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• BEI~11.7mil {malipo kwa awamu} Malipo ya kwanza~5.7mil...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Shamba lipo njia ya mlandizi kutokea bagamoyo sehemu inaitwa miswe.. Eneo lipo katibuni na barabara . Zipo ekari tano kila ekari moja bei ni mil6 tu.. Uwezekano wa kupata zaidi upo pia.. Karibuni
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ram: 2gb HDD: 500gb Dual-core processor. Betty capacity: 3hrs. Serious buyers only: 0716000133 Location: Mabibo_Makutano.
0 Reactions
2 Replies
580 Views
*MRC Tanzania* Je! Una tatizo la utumiaji wa pombe au mihadarati Je! mtoto au mwenza wako ana tatizo la ulevi na utumiaji wa mihadarati Kwa huduma ya usaidizi wa kuachana na utumiaji wa pombe...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Section 20 inawakaribisha watu wote wenye biashara zao binafsi au kampuni ambao hawana TIN au leseni ya biashara kuweza kufanyiwa mchakato wa kuzipata. Na pia kwa wale wote wenye biashara za...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
VITANDA KWA BEI SIMPLE Kwa mtu yeyote ulieko arusha nakuletea kitanda kama hiko mpka chumbani kwako kama utahitaji na kukufungia nakufungia mwenyewe kwa Tsh330000 tu hakuna maelewano tena kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
nauza mashine ya kukamua sabuni ya mche inatumia engine ya diesel 20hp. Ukiwa na mashine hi utaweza zalisha aina yoyote ya sabuni ,wasiliana na mi.
0 Reactions
12 Replies
15K Views
nauza kiwanja kipo Moshi Kilimanjaro kata ya kirua vunjo kusini kijiji cha Uparo kina ukubwa was Metre 45 kwa 25 kina hati ya mauziano ya kijiji na kipobkaribu na lami kina nguzo ya umeme au kuna...
0 Reactions
3 Replies
994 Views
Be it any time of the year, Switzerland always stands photogenic. Here are the top ten attractions is Switzerland which you absolutely cannot miss when you visit the country. -------------...
0 Reactions
0 Replies
285 Views
Back
Top Bottom