Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
karibuni wakuu .uzi huu unajumuisha mkusanyiko wa magari mapya tunayouza. ofisi zetu zipo dar es salaam jengo la quality center barabara ya nyerere road kama unaelekea airport karibuni sana...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Wakuu nahitaji kununua mashine ya kufulia nguo lakini nshindwa kujua brand ipi iliyoimara.nataka nimpumzishe shemeji yenu na vurugu za kufua naomba mnifahamishe aina gani iliyo bora na imara
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Habar wana jf,Heri ya Mwaka Mpya!!! Mm n mgen humu!! Natafuta simu kwa yeyote anae uza!! Simu iwe n kampun la Tecno au Samsung!!! Bajet yangu n laki mbili (200,000)!! Alie tayar akuje pm
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Wadau, natafuta fremu ya biashara maeneo ya Mbezi Msumi (Wilaya Ubungo). Mwenye kujua plz nicheki kwa 0755 255 768.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Msaada tafadhari kwa yeyote mwenye office table au anaejua mahala naweza pata kwa bei isiozidi 80000 anisaidie Pia kama kuna mtu anauza kitanda anaweza nitext inbox tafadhari
0 Reactions
0 Replies
491 Views
RI
0 Reactions
0 Replies
702 Views
Habari wanajf! Bila kupoteza muda,naomba kama kuna member anayejua a,b,c...za bei ya mahindi kwa sasa.Mimi nina mahindi nataka kuyauza.Napenda zaidi kama nikipata bei za Dar. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Je Taa za Gari lako zina ukungu, Zimepauka?Kupelekea hupati Mwanga wa Kutosha wakati wa Usiku?Na Ushafikiria Kununua Taa Nyingine? Kama Ni NDIO Basi sasa huna Haja ya Kuwaza Kununua TAA NYINGINE...
0 Reactions
2 Replies
814 Views
Wapi napata hizo bidhaa wadau, ninazihitaji. Shukrani!
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wana JF, tunatafuta mzani (New or second hand) kwa ajili ya kupimia magari ya mizigo kiwandani kwetu. Au hata mtu anaetengeneza platforms atengeneze then atuuzie. Mzani uwe na uwezo wa kupimia 10...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Msaada jamn at kuku aina ya broilers na chotara wap wana soko sana naomben msaada kwa anaefahamu
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni muda kidogo nlinunua ili nifunge kwangu....nilinua nje ila sijawahi itumia. Ina caméra 2, dvr na hardisk ndani, installation câble yenye kurefu zaidi ya mita 100...etc Yaani Iko complète...
0 Reactions
5 Replies
914 Views
Nina Tangawizi iliyolimwa mwaka jana. Iko wliayani Madaba - Ruvuma. Mwenye uhitaji au anayeweza kuniunganisha na Somo tuwasiliane. 0765686062
0 Reactions
0 Replies
500 Views
habari wana JF nina mkaa mbadala kwa ajiri ya matumizi ya viwandani, mashureni, na majumbani, mkaa huu natengeteza na maranda na mfinyanzi ni mzuri sana unakaa mda mref kuliko huu wa miti na pia...
2 Reactions
15 Replies
5K Views
Niliandaa hii plan kwaajili ya mteja wangu mmoja hapa Tanzania lakini hatimae alikosa kiasi cha pesa cha kuwekeza katika mradi. Mradi unahusisha kusindika lita elfu kumi (10,000L) za maziwa...
4 Reactions
2 Replies
897 Views
Moja lipo km 78 toka Dsm kwenda Mkuranga,lina mikorosho,linapakana na mto usiokauka,usafiri wa daladala toka mbagala upo. Halifai kwa kilimo cha mazao ya nafaka,linafaa kwa matunda na ufugaji wa...
1 Reactions
25 Replies
11K Views
Nataka mbuzi 100 dume wa kilo 20+ wa miaka 2 na juu.... nipo teyari kuja mkoani... km unayo inbox na picha kwenye what's app tufanye biashara Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Ndugu zangu wana JF naomba kwa yeyote anaeuza Gar Aina ya VW TOURAN anijulishe......
0 Reactions
1 Replies
693 Views
Back
Top Bottom