Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Habari kwa watu walioko zanzbar Nahitajio kupata Home theater Used Bajeti Ni Laki Na Nusu Hadi Laki Mbili Isizidi. Kwa Ambao wapo huko mnafanya biashara mnaweza kuniagizia na nikapokea huku Dar...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ni pampu mpya za kuuzia mafuta ya taa zimetengenezwa china...zipo mbili BEi 12 million Negotiable 0685574141
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Lipia 50% ya gari unayotaka kisha lipia kiasi kilichobaki ndani ya miezi 24 huku ukiendelea kutumia gari lako. Below ni check list yetu Kwa maelezo zaidi Pm
4 Reactions
59 Replies
29K Views
Umetafuta Fundi wa gari yako mwaminifu na mtaram&mzoefu ujampata shoo diesel service ndio jibu lako kwa gari zote za diesel , 1kz, 1hz, 3L, 2L, pajero, dayna, canter pamoja na fusso zote pia kwa...
0 Reactions
177 Replies
41K Views
Ndugu zangu nawasalimu! Huenda lisiwe jukwaa sahihi lakini naomba msaada; Ni wapi hapa TZ naweza kupata majani ya Mnanaa (Curry Leaves). Wale wazoefu masoko kama kisutu, Buguruni na sehemu...
1 Reactions
178 Replies
49K Views
Habari wakuu, kwa yeyote anayehitaji dada wa kazi ambae ni mchapakazi na anawajibika katika kazi zake, nipo hapa. Nina uzoefu wa miaka 3 katika U-house girl. Endapo utapenda nije kufanya kazi na...
0 Reactions
23 Replies
39K Views
Wakuu natafuta infinix note3 pro ama infinix note5 kwa bei ya maelewano (sio ya dukani) Location npo Dar es salam
0 Reactions
3 Replies
899 Views
Wewe ni mtendaji wa Taasisi/Kampuni au mtu binafsi (an individual) na una NDOTO ya kujifunza na kutekeleza MRADI kwa manufaa yako binafsi na jamii kwa ujumla? Timiza NDOTO yako leo kwa...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari za jumatatu wakuu wapendwa, Ni matumaini yangu yu wazima wa afya na mungu anasaidia katika pilika pilika za kila siku za utafutaji wa mkate. Sihitaji kuwapotezea muda maana wazungu...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wa salaam, Kwa wakaazi wa Dar es salaam , pamoja na wafanyabishara wa nguo za mitumba, ni wapi naweza pata nguo za jumla kwa Dar esalam Asante.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hi Leo tujadili kwa pamoja njia ambazo unaweza ukatumia kupunguza gharama wakati wa ujenzi 1. Kuchagua simple design(avoid complex design) au tuseme chagua ramani nzuri na rahisi haina...
3 Reactions
13 Replies
6K Views
NAUZA CHAIN SAW KWA TSH 600,00/= KWA MAELEZO ZAID TUWASILIANE KWA 0653137555
3 Reactions
11 Replies
4K Views
Ndugu zangu nawasalimu, Iweni na heri Ninahitaji kupata mbegu ya mpunga aina ya SARRO na kama ni vema kunipatia elimu zaidi ya kijiografia unaweza kuniambia maana nipo mkoani Mara na nahitaji...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Nipo Dar es salaam, waungwana naomba msaada wa kujua wapi maduka ya wajasiriamali ya kuuza materials ya kutengenezea sabuni za kunawia mikono
1 Reactions
5 Replies
6K Views
Nipo dar kama unacho weka ofa yako hapa na mahali ulipo kiwe kina hali nzurib
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Je unasumbuliwa na kukosa mafanikio katika maisha? Je unaandamwa na nuksi na mikosi? Je unatafuta mafanikio ila huyapati? Je unasumbuliwa na walozi na wachawi? Je unasumbuliwa matatizo ya kiafya...
0 Reactions
0 Replies
845 Views
Habari za jumapili wadau,Nauza Shamba lingine ,ekari moja ,Ruvu Kisabi,.liko pembeni ya mto.mazao yanayokubali,Mahindi,mpunga,tikiti maji,bamia ,n.k.pia zuri kwa ufugaji wa Samaki,hakuna haja ya...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Mwenye simu tajwa hapo juu tuwasiliane dau laki 2...njoo pm
0 Reactions
3 Replies
581 Views
hii ni kwa ajili yako uliye ajiriwa ambaye huja ajiriwa unaye taka kuongeza kipato chako semina hii ni bure njoo unufaike kiuchumi Kwa maelezo zaidi kuhusu namna ya kufika eneo la tukio piga...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
*USIULIZE MAJANI YA CHAI ULIZIA BARAKA CHAI* Baraka Chai(Chai uipendayo) Ikiwa katika radha tatu tofauti ,baraka tangawizi,baraka masala na baraka black Inasambazwa na Bahari Cosmetics Ltd,Nyerere...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Back
Top Bottom