Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
MWENYE SIMU YA SAMSUNG A5 aniuzie . niekee picha yake na bei pia specification zake. niko DAR
0 Reactions
6 Replies
879 Views
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu napangisha Chumba kimoja kukubwa sana eneo kilipo kipo kimara kilungule mwendo wa dk 5 kwa bajaji adi barabara kuu ya morogoro sifa ya chumba kina ukubwa wa 13...
1 Reactions
1 Replies
946 Views
Khabari za mda huu wapambanaji! Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Sisi ni vijana tulohitiku chuo kikuu hapa nchini, tumeamua kuungana kufanya biashara ya dagaa, tumeshaanza na...
0 Reactions
0 Replies
906 Views
KIWANJA kipo Kitunda, kinyantira. Kipo km 6 kutoka banana stand. Kiwanja kipo tambarare na sehem yenye mpangilio mzuri wa makazi. Maji, umeme na barabara ni salama. Ukubwa wa Kiwanja ni meter...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nahitaji BB Q20 Ikiwa kwenye hali nzuri. Njoo inbox. Weka picha hapa.
1 Reactions
0 Replies
483 Views
Salaam waungwana humu ndani Mabibi na Mabwana Nawaletea 1. Kiwanja ukubwa 20x20 maeneo ya king'azi Kinyerezi dar es salaam kinauzwa bei yake milioni 6. 2. Vingine vya kukata kata 15x15 au...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
habari wana jf.. nina kuku wa kizungu(wanyama) bei ni shilingi 6000.... mahali walipo ni survey karibu na mlimani city
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nauza magauni mazuri ya kisasa Bei: sh. 30,000 tu Free size Mikoani pia natuma Dar nafanya delivery. Sehemu zote Call/whatsap +255 783-489542
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Tunafanya kazi zifuatazo....Audit (Ukaguzi), accounting(uhasibu/mahesabu), tax advice (kodi), management, information technology and human resource consulting, Financial advisory services...
0 Reactions
1 Replies
667 Views
Bei ni laki 8 ( laki nane) kwa mwezi maongezi yapo na malipo niya miezi 6 ( miezi sita) Nyumba inavyumba v3 vya kulala Chumba kimoja ni master ( master bedroom) Ina sebule kubwa ( sitting room)...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tunahitaji t-shirts: tuwasiliane kwa maelezo zaid kama unazo au una mtu unamfaham anaweza kutusaidia kuzipata. Njoo ukiwa na dondoo zifuatazo: 1. Bei kwa tshirt 2. Hizi bei ni printed au not...
2 Reactions
5 Replies
892 Views
Nauza Shamba. Heka TATU . Lipo Mlandizi kwa Dosa njia ya kwenda Ruvu jeshini, barabara ya kwenda Bagamoyo. Heka Tshs 4,500,000. kilometer TANOkutoka Mlandizi kituoni Serious buyer njoo inbox
0 Reactions
5 Replies
885 Views
Bei ni milioni 15 ( milioni kumi na tano) maongezi yapo kidogo sana Kiwanja kipo Mkoa wa Dar es salaam Tanzania maeneo ya BUNJU B kwa mpemba umbali kutoka lami kuu ya bagamoyo load mpaka kufika...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Bei ni laki 4 ( laki nne) kwa mwezi na ilipwe miezi 6 ( miezi sita) APPARNTMENT hiyo inavyumba v2 vya kulala vikubwa Chumba kimoja ni master ( master bedrooms) Ina sebule kubwa nzuli nayakisasa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Material: velvet Color: purple Price: 230000 Used: once Place: Banana- ukonga Contacts: 0714870956
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mara nyingi katika biashara huwa unajikuta unakwama kwa sababu mbalimbali. Sababu kubwa ikiwa ni kutokuwa na taarifa sahihi kwa wakati sahihi. Je unajua kwamba tunaweza kukufanyia Free business...
1 Reactions
0 Replies
534 Views
Inauzwa shilingi laki na sabini..maeneo ya kinondoni Biafra..haina tatzo lolote kwa mawasiliano...n PM au 0659563178 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
10 Replies
2K Views
ninakiasi cha kati ya laki moja na nusu mpaka laki mbili na nusu nahitaji simu yenye ram above 2gb au 2gb ila iwe na condoition nzuri sumsung tecno nokia au uawei nipe jina la simu na bei yake...
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Samsung galaxy J7 Prime, Gold color. Excellent Condition 3gb ram 16gb rom Charger, earphones intact. Comes with cover and screen protector. Price 350,000/=
0 Reactions
7 Replies
831 Views
Back
Top Bottom