Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
get it!
0 Reactions
1 Replies
707 Views
Jamani naomba anaefahamu wapi wanatengeneza vifungashio kama hivi anielekeze,namaanisha kiwandani kwa anaefahamu please! Maana kununua kwa rejareja kariakoo inaumiza kwa kweli,naomba kuwasilisha
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Green tea na luobuma tea ni mimea asilia ambayo ikichanganywa inaleta faida mbalimbali kiafya kwa matumizi kama chai ya asubuhi au jioni. Faida zake. 1. Inapunguza shinikizo la damu 2.Inapunguza...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Nauza Laptop aina ya Apple MACBOOK A1181 Specifications zake:- Processor 2.1ghz core 2 dual Display size 14 inch Ram 2gb Hdd 320gb Webcam ✅ Dvd writer✅ Wireless internet ✅ Os- mac os 10.7 lion +...
0 Reactions
2 Replies
989 Views
Hellow wadau!, Mimi ni mtaalam wa masuala ya video editing na videography kwa kutumia Adobe after effect + Premiere pro + Photoshop lakini sina mtaji wa kupata camera na kuwa na studio! So kwa...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
nahitaji wasaidizi Wa nne wawili Wa kike na wawili Wa kiume, wenye sifa zifuatazo; wawe na cheti cha chekechea wawe tayali kuvaa sare za kazi,(Suti,T-shirt, overall na tai Itategemea na kazi na...
4 Reactions
82 Replies
6K Views
Laptop yangu ipo sokoni -Dell Inspiron core i3 6th gen -15.6 inch -4GB Ram -500GB Hdd -window 10 Inakuja na software- -adobe acrobat reader -adobe photoshop -android studio -Mysql workbench -IDM...
0 Reactions
8 Replies
771 Views
Bei: 6mil.(million sita) maongezi yapo kidogo sana. Full Ac Full document Full vibali Gari haijawah kupata ajali wala haijawah kupigwa rangi. Call +255 693-204813 +255 757-482042 +255 717-671240
0 Reactions
1 Replies
3K Views
NI TV KALI SANA FULL HD VIDEO INAMUONEKANO MZURI,INAONESHA PICHA MNG'ARO WA HALI YA JUU INA PORT ZOTE HDMI, USB, MMC, VGA, AV etc, Tunauza kwa promotion kwa bei nafuu 650000, baada ya 30 itapanda...
0 Reactions
2 Replies
943 Views
Habari wakuu,toyota celica new model inaitajika,iwe kwenye hali nzuri na ambayo haijapa ajali,0689 211 494
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wapi naweza kupata neti yenye muonekano kama huu? nahitaji pieces nyingi
0 Reactions
1 Replies
726 Views
CC: 2000 engine: G1-vvti Gari nzuri haina tatizo Bei: 2.8mil (millioni mbili na laki nane) Call/whatsap 0783-489542
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari za leo wanajukwaa?. Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya Buguruni, kuanzia Buguruni sheli, Rozana, Malapa, hadi Msaada Gereji. Bajeti yangu ni 30,000/= nyumba uwe na maji na umeme...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wanajamvi ninaomba niwashirikishe wale mlio na uzoefu wa maisha katika wilaya tajwa mnisaidie kunishauri wapi naweza pata chumba cha kupanga hata kimoja pakiwa na ustaarabu kwa maana ya mitaa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
nlishapata
0 Reactions
0 Replies
309 Views
These are Big Washing Machine suit For Hotel use or even Commercial Laundry also for Children Boarding Schools. Even for Home use. mashine hizi ni kubwa, zinafaa kwa mahotelini hata kwa ufuaji wa...
2 Reactions
20 Replies
5K Views
Bei maelewano. Mwaka.1994 Engine cc 1938 4 cylinder full ac Haidaiwi.+ full vibari. Engine mpya. Gear box ziko poa san With no problem Can watsap or call 0713099309 Bei 2.5
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wadau simu aina ya samsung galaxy j7 2016 iko sokoni bei 350,000/= ina mwaka mmoja tangu niinunue. Karibuni sana!
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Laptop Dell core i7 GB 900, bei 450,000
1 Reactions
61 Replies
5K Views
Shamba linauzwa lipo Kimazichana Mkoa wa Pwani- kijiji cha Nyanduturu lukubwa wa hekari 9 limepandwa miche ya minanasi zaidi ya elfu ishirini(20,000). Minanasi bado michanga itaanza kuvunwa msimu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom